Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Ni ukweli wa dhahiri kuwa Sisiem hivi sasa imekuwa choka mbaya.Asante Mungu kwa kuendelea kudhihirisha unafiki wa maccm. Hii chama imechoka imechakaa
Lakini cha kushangaza wanapoambiwa na wabunge wa upinzani kuwa wamechoka na wanahitaji kupumzishwa, wanataka kurusha ngumi!
Hata hivyo kitu ambacho angalau kinatia matumaini ni kuwa 'uhai' wa hao magamba unaelekea kufika kikomo chake nwezi Oktoba mwaka huu.