Hakuna kosa hapo CCM itabaki kutawala nchi hatuwezi kuwapa wapinzani elimu hawana.
Hakuna mwenye sera mnapiga kelele bungeni hata hamjui sababu yakuwepo bungeni wamepoteza muelekeo wabunge wengi waupinzani darasa la 7.
Unaongea nini wewe mleta mada CCM imeshinda 80percent kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa bado sana kupewa nchi hamna uwezo wakuendesha nchi.
Kuna ck nitafanya jambo hamtaamini maana inakela sn
Tushirikisheni Ester Matiko alikuwa na hoja gani...?
Mwenye access na video ya hiyo event tafadhali upload hapa ili hii aibu isambazwe kwa wale wote walio na digital devices. Ni wajibu wa kila mtanzania ku-spread awareness kwa society ya kwetu, na hiyo video naamini itasaidia kuwaamsha watanzania wengi ambao bado wako kwenye usingizi pono.
Sawa sawa nini?hata hujui unataka nini?rudi shule upate elimu
Hivi huyu Ester Bulaya mbona haeleweki. Yuko CCM au UKAWA?