Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,293
- 61,282
Watalipana posho wao na mademu zao
Sana Mkuu wanafurahia wizi
Watalipana posho wao na mademu zao
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCMMwsmbieni Mbowe awapandishie na nyie
Acha wale tu mpaka wenyewe waseme inatosha,na wakiona
Haitoshi waendeleee kulaaa tu
Maana hakuna namna
Hilo bunge si wamelitengeneza
Wenyewe
We ushawahi ona wapi mbunge aliyeshinda kura na kuwa wa kwanza
Anambiwa,hapana msimuweke huyo
Muwekeni fulani nafasi yake
Ova
Kuna bunge basi au ngendembwe tu?Hili bunge la awamu hii ni la kipekee, kwamba walikuwa na kazi pevu sana pale Dodoma hadi wafanye sherehe ya kuhitimisha vikao vya bajeti? Kwamba wamepigania sana Wamach pale Dodoma? Kwamna wamewatetea sana wananchi pale Dodoma?
Hawa hawajajua kuwepo na kutokuwepo havina impact kwa raia wa kawaida, hajajua hilo.
Wamepitisha Bajeti kaasilimia zote, hakukutokea hata chembe ya mvutano kama enzo za zamani, Bunge limekuwa ni yes kila sehemu, than eti wanapiga sherehe ya kuhitimisha Bunge.
Nchi nyingi huwa Mapinduzi ni ya kuondoa viongozi madarakani ila Tanzania tunahitaji mapindizi ya kuling'oa Bunge pekee, Hawa ndo huenda wanachangia sana matatizo ya nchi hii make kwanza ni full kujipendekeza, full kusifia, full kujikomba komba kwa Serikali hasa Rais. Bunge limegeuka kuwa Holday Camp ya watu kwenda kuuzia sura.
Ila alaumiwe sana Mwendazake, hili ndo aina ya Bunge alilolitaka, Mama kalikuta tu.
Wahuni WachacheHakuna bunge hapo, hilo ni kusanyiko la wahuni tupu na majangili ya nchi
Ukimtoa Kishimba wengine wote ni makanjanja tupuWahuni Wachache
Jamaa kazi yao kubwa ni kupiga pesa za ummaSana Mkuu wanafurahia wizi
Hatari sanaKwamba posho kwasasa ni 560,000?
Jamaa kazi yao kubwa ni kupiga pesa za umma
Mbunge pale ni Kishimba haya mengine ni majangili tupu ya nchiUtajua ni kweli Hebu angalia hela za miradi zikipigwa husikii MB akilia bungeni na kusema hapakaliki mpaka hela za jimbo langu zipatikane kwa ajili ya wananchi wangu hasha
Wao ndio wapigaji
Tumekunywa sana , tumekula na kushiba. We endelea jumaa mwenge keyboard badala ya kutafuta mate wa familia yako.Hili bunge la awamu hii ni la kipekee, kwamba walikuwa na kazi pevu sana pale Dodoma hadi wafanye sherehe ya kuhitimisha vikao vya bajeti? Kwamba wamepigania sana Wamach pale Dodoma? Kwamna wamewatetea sana wananchi pale Dodoma?
Hawa hawajajua kuwepo na kutokuwepo havina impact kwa raia wa kawaida, hajajua hilo.
Wamepitisha Bajeti kaasilimia zote, hakukutokea hata chembe ya mvutano kama enzo za zamani, Bunge limekuwa ni yes kila sehemu, than eti wanapiga sherehe ya kuhitimisha Bunge.
Nchi nyingi huwa Mapinduzi ni ya kuondoa viongozi madarakani ila Tanzania tunahitaji mapindizi ya kuling'oa Bunge pekee, Hawa ndo huenda wanachangia sana matatizo ya nchi hii make kwanza ni full kujipendekeza, full kusifia, full kujikomba komba kwa Serikali hasa Rais. Bunge limegeuka kuwa Holday Camp ya watu kwenda kuuzia sura.
Ila alaumiwe sana Mwendazake, hili ndo aina ya Bunge alilolitaka, Mama kalikuta tu.
View attachment 2277177
Mbona anaomba omba mitaani kwa kampeni uchwara ya join the chain?Ukoo wenu wote hakuna mwenye mali hata 1/1,000 ya Mbowe, Mbowe anaweza kuwafunga ukoo wenu wote mkala na kusaza na kazi yenu kubwa ikawa kwenda haja kubwa kila mara.
Muulize maza ako ana majibu mazuriMbona anaomba omba mitaani kwa kampeni uchwara ya join the chain?
Hamna tajiri ombaomba Dj anawadanganya sana
Maza ko ni mke wanguMuulize maza ako ana majibu mazuri
Kama PhD zote zingekua kama wewe basi ni hasara tupu.Tumekunywa sana , tumekula na kushiba. We endelea jumaa mwenge keyboard badala ya kutafuta mate wa familia yako.
Mfumo wa corruption umesharasimishwa zinahitajika juhudi kubwa mno na za muda kiasi kubadili mindset za watanzania.Tungekuwa na wazalendo nchi hii hao wahuni wote walitakiwa kufutwa hadhi ya ubunge na wangepelekwa gerezani mara moja kwa makosa ya matumizi mabovu ya pesa umma. Ni vile tu tupo kwenye corrupt society.