Wabunge Sherehe za nini kuhitimisha vikao vya Bajeti?

Hili bunge la awamu hii ni la kipekee, kwamba walikuwa na kazi pevu sana pale Dodoma hadi wafanye sherehe ya kuhitimisha vikao vya bajeti? Kwamba wamepigania sana Wamach pale Dodoma? Kwamna wamewatetea sana wananchi pale Dodoma?

Hawa hawajajua kuwepo na kutokuwepo havina impact kwa raia wa kawaida, hajajua hilo.

Wamepitisha Bajeti kaasilimia zote, hakukutokea hata chembe ya mvutano kama enzo za zamani, Bunge limekuwa ni yes kila sehemu, than eti wanapiga sherehe ya kuhitimisha Bunge.

Nchi nyingi huwa Mapinduzi ni ya kuondoa viongozi madarakani ila Tanzania tunahitaji mapindizi ya kuling'oa Bunge pekee, Hawa ndo huenda wanachangia sana matatizo ya nchi hii make kwanza ni full kujipendekeza, full kusifia, full kujikomba komba kwa Serikali hasa Rais. Bunge limegeuka kuwa Holday Camp ya watu kwenda kuuzia sura.

Ila alaumiwe sana Mwendazake, hili ndo aina ya Bunge alilolitaka, Mama kalikuta tu.
Yule mwendazake alikuwa hopeless kbs! Pale hakuna bunge ni wapuuzi fulani hivi. Wanalipwa mabilioni kupiga makofi tu, halafu hayana aibu kbs!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuling’oa Bunge au kutokukubali elfu kumi mnazopewa wakati wa kampeni

Mkiacha nja mtapata wa kuwasemea
Sasa hapo wanasherehekea mikataba na hizo hela zitakavyopigwa
Acha wale tu mpaka wenyewe waseme inatosha,na wakiona
Haitoshi waendeleee kulaaa tu
Maana hakuna namna

Hilo bunge si wamelitengeneza
Wenyewe

We ushawahi ona wapi mbunge aliyeshinda kura na kuwa wa kwanza
Anambiwa,hapana msimuweke huyo
Muwekeni fulani nafasi yake

Ova
 
Hili bunge la awamu hii ni la kipekee, kwamba walikuwa na kazi pevu sana pale Dodoma hadi wafanye sherehe ya kuhitimisha vikao vya bajeti? Kwamba wamepigania sana Wamach pale Dodoma? Kwamna wamewatetea sana wananchi pale Dodoma?

Hawa hawajajua kuwepo na kutokuwepo havina impact kwa raia wa kawaida, hajajua hilo.

Wamepitisha Bajeti kaasilimia zote, hakukutokea hata chembe ya mvutano kama enzo za zamani, Bunge limekuwa ni yes kila sehemu, than eti wanapiga sherehe ya kuhitimisha Bunge.

Nchi nyingi huwa Mapinduzi ni ya kuondoa viongozi madarakani ila Tanzania tunahitaji mapindizi ya kuling'oa Bunge pekee, Hawa ndo huenda wanachangia sana matatizo ya nchi hii make kwanza ni full kujipendekeza, full kusifia, full kujikomba komba kwa Serikali hasa Rais. Bunge limegeuka kuwa Holday Camp ya watu kwenda kuuzia sura.

Ila alaumiwe sana Mwendazake, hili ndo aina ya Bunge alilolitaka, Mama kalikuta tu.
Wanafanya hivyo kwa sababu wanajua walipa kodi wa nchi hii hawana uchungu na kodi zao ndiyo maana kuna mabilioni yanachezewa kuwalipa mishahara na posho wabunge wasiokuwa na chama. Ni Tanzania tu huu upuuzi unafumbiwa macho.
 
Hili bunge la awamu hii ni la kipekee, kwamba walikuwa na kazi pevu sana pale Dodoma hadi wafanye sherehe ya kuhitimisha vikao vya bajeti? Kwamba wamepigania sana Wamach pale Dodoma? Kwamna wamewatetea sana wananchi pale Dodoma?

Hawa hawajajua kuwepo na kutokuwepo havina impact kwa raia wa kawaida, hajajua hilo.

Wamepitisha Bajeti kaasilimia zote, hakukutokea hata chembe ya mvutano kama enzo za zamani, Bunge limekuwa ni yes kila sehemu, than eti wanapiga sherehe ya kuhitimisha Bunge.

Nchi nyingi huwa Mapinduzi ni ya kuondoa viongozi madarakani ila Tanzania tunahitaji mapindizi ya kuling'oa Bunge pekee, Hawa ndo huenda wanachangia sana matatizo ya nchi hii make kwanza ni full kujipendekeza, full kusifia, full kujikomba komba kwa Serikali hasa Rais. Bunge limegeuka kuwa Holday Camp ya watu kwenda kuuzia sura.

Ila alaumiwe sana Mwendazake, hili ndo aina ya Bunge alilolitaka, Mama kalikuta tu.
Hili la sherehe NI hatari Sana kwa ustawi WA usalama wa Taifa hili, kijijini watu hawana maji, madawa, etc vijana hawana Ajira halafu haya yanafanyika...wakati kuna watu hawana uwezo WA kupata mlo mmoja kwa siku
 
Back
Top Bottom