mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,543
- 138,519
Hilo bunge si wamelitengeneza wenyewe....kwa sasa tuache kulalamika,Acha dawa ituingie taratibMfumo wa corruption umesharasimishwa zinahitajika juhudi kubwa mno na za muda kiasi kubadili mindset za watanzania.
Kutofuata sheria ni jambo linalokubalika kabisa katika jamii zetu.
Ova