Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
yangoswe muachie ngoswe unataka umaarufu humu jamvini kwa kujipaka kinyesi walichokitoa wenyewe wa wanakitemea mate nakukikunjia pua puuuuuuptuuuuuuuuuuuuuu
 
Tumia akili ndogo tu binti, tembelea mtandao angalia picha za mikutano yao (baada ya wao kutolewa juzi bungeni) kwenye majimbo yao, then utajua bado wanazidi kukubalika au hapana.
 
Mkuu mimi naona ungekamilisha list kama ungemaliza na Mhe. Mbowe, huyu jamaa wananchi wa Hai walikuwa hawajui kama kala sifuri kidato cha sita (6), sasa wamejua na wamechachamaa kwelikweli, wamesema hata awape Bilicans bungeni awamrudishi.

Mimi npo hai muda wote na nimekua nkifatilia siasa muda mrefu hamna hzo habar, ukwel ni kwamba Hai ata mboe asiponadi sera zake anapendwa sana kwa ngazi ya ubunge.
 
Kwa mnuika "ume bugi men" ila kule arusha mjini naomba roho mtakatifu awashukie wanaarusha wasifanye tena makosa kumchagua lema tena kama atasimamishwa
 
Uliyeweka uzi huu huna akili timamu!mtoto mwenye miaka 5 anaweza kukushnda mtu mzma japo mwili wako wote umejaaa MAVUZI kila sehemu!
 
Paid in full. Ndoto za Abunuasi, aliota anajenga ghorofa hewani!!!! Ngoja wakumiminie haki yako hapa!!! Kama wamekutuma waambie wanaota na udenda unawatoka na tongotongo, wafute mdomo na macho vizuri.
 
[h=5][/h][h=5] [/h][h=5]
"mission accomplished : leo ndio tumemaliza ziara baada ya kupita chunya, mbeya mjini, kyela, kiwira na mbarali na kufanya mikutano mikubwa...tumekubaliana na wananchi kote kuwa ndugai akizingua tena ni kukomaa naye yeye mwenyewe na sio askari tena..."

[/h]

Huyu ni Mbunge na Muwakilishi wa wananchi ambaye unategema ataleta maendeleo jimboni kwake na nchini?AKili yake muda wote inawaza mambo kama haya,
Vyama kama CHADEMA vinavyoleta wabunge wenye uwezo finyu na hafifu wa kufukiria kuhusu amani ya nchi,maendeleo ya Taifa na utekelezaji wa ilani ya chama chao hatuna haja nao tena,Tumekosea awali,uchaguzi ujao wasiambulie hata kura moja.
Yaani Mbunge ameamua kuanika Siri ya CHADEMA kuwa wamekubaliana kuwa waanzishe fujo bungeni na wadeal na Job Ndugai.
Dr.slaa unafuga watu kama hawa?
Mbowe unafuga watu kama hawa?
Ni kitendo cha kuita na kuwatoa unyago wa kisiasa mara moja,angalau akili zao ziweze kujiongeza kuhusu maendeleo ya nchi hii.
DR.SLAA UMEONGOZA HIYO ZIARA NA UMEKUBALIANA NA WANACHI UPUUZI HUU>?AU MBUNGE WAKO HAJITAMBUI?
 
Mbna sioni fujo au macho yangu? Stop being....! watu tunakuja JF kusoma hapa zenye kichwa na mikia sio upuuzi.
 
hata mimi nilimshangaa sana SUGU, KWA NINI ALIMZABA KIBAO ASKARI ALIYETUMWA NA NDUGAI BADALA YA KUMZABA KIBAO NDUGAI? WATU KAMA AKINA NDUGAI WAKATI WA KUPIGANIA UHURU KULE SOUTH AFRICA WALIVIKWA MATAIRI NA KUCHOMWA MOTO! SUGU ANGESOGELEA KITI CHA SPIKA NA KUMZABA VIBAO KAZAA HUYU KIBARAKA
 
Huwezi kuletewa haki yako kwenye bakuli la dhahabu ----julius nyerere, kutegemea watu kama akina ndugai kupata haki ni sawa na kutegemea supu kwenye chungu kitupu, kuanzia sasa tutawaheshimu cdm kama mtamshugilika ndugai in person, akileta za kuleta ili tusipate katiba mpya chapa kiabo mbele ya tbc
 
sasa mbona wa bunge wa namna hiyo ndio tunawa hitaji?

wewe endelea kumchagua komba akasinzie bungeni.

Na hapo maneno hayo ni busara kabisa kuliko ku deal na askari ni bora ku deal na ndugai mwenye inferiority complex.
 
"mission accomplished : leo ndio tumemaliza ziara baada ya kupita chunya, mbeya mjini, kyela, kiwira na mbarali na kufanya mikutano mikubwa...tumekubaliana na wananchi kote kuwa ndugai akizingua tena ni kukomaa naye yeye mwenyewe na sio askari tena..."

Huyu ni Mbunge na Muwakilishi wa wananchi ambaye unategema ataleta maendeleo jimboni kwake na nchini?AKili yake muda wote inawaza mambo kama haya,
Vyama kama CHADEMA vinavyoleta wabunge wenye uwezo finyu na hafifu wa kufukiria kuhusu amani ya nchi,maendeleo ya Taifa na utekelezaji wa ilani ya chama chao hatuna haja nao tena,Tumekosea awali,uchaguzi ujao wasiambulie hata kura moja.
Yaani Mbunge ameamua kuanika Siri ya CHADEMA kuwa wamekubaliana kuwa waanzishe fujo bungeni na wadeal na Job Ndugai.
Dr.slaa unafuga watu kama hawa?
Mbowe unafuga watu kama hawa?
Ni kitendo cha kuita na kuwatoa unyago wa kisiasa mara moja,angalau akili zao ziweze kujiongeza kuhusu maendeleo ya nchi hii.
DR.SLAA UMEONGOZA HIYO ZIARA NA UMEKUBALIANA NA WANACHI UPUUZI HUU>?AU MBUNGE WAKO HAJITAMBUI?

Wewe na mkeo/mumeo/babako/mamako ndo mnafugwa. CDM wanajitambua hafugwi mtu pale wote wana mawazo huru poleni wana wote mfugwao na Kninana aka kaa mbali na tembo alias alshaabab!
 
Mkuu sina shida na hoja zako mimi nakubaliana na wewe pasipo mashaka aina hii ya wabunge ni kelo kweli.
Hawa ni vema wakatoswa vinginevyo ni vigumu kufikia maendeleo ya taifa.
 
Sijawahi kuona wabunge wa ajabu kama hawa wa cdm mbunge anapigana du!
 
Wewe na mkeo/mumeo/babako/mamako ndo mnafugwa. CDM wanajitambua hafugwi mtu pale wote wana mawazo huru poleni wana wote mfugwao na Kninana aka kaa mbali na tembo alias alshaabab!
Bavicha ni tatizo kubwa kwa taifa.
 
Sijawahi kuona wabunge wa ajabu kama hawa wa cdm mbunge anapigana du!
Hawa ndio wabunge wa mfano.....

5.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom