Mimi ni kamanda lakini kuna wabunge wangu wengine huwa siwaelewi.........kama Grace Kiwelu huwa faida yake pale bungeni ni nini.........?.......
Nimeuliza tu...........
Lissu,Mbowe,Mnyika,Jambazi Leema,na wala kaya wengine kina sugu wanahusika hapa
Aeshi Hillary kwakweli asiruidi, anachangia anatetemeka, sijui mle ndani kuna baridi kali kuliko la sumbawanga,Ningependa kuona Esther Bulaya akirudi bungeni na hasa akiwa upinzani...she is too inteligent to be in ccm.
I will be disapointed to see Nkamia-Kondoa, Mshama, Aesh-sumbawanga na maccm wengine wengi
Unaonekana unafurahishwa na Lusinde, Rage, Mch Lwakatare, Shekifu, Maji Marefu, Wassira, Lowassa, Chenge, Tibaijuka na mabubu wengine kutoka chama chako eeh, kama hao ni wabunge wako bora na unataka warudi bungeni basi chukua like nchi iko salama,
Lissu,Mbowe,Mnyika,Lema, wasingekuwepo hawa bungeni nadhani kungekuwa ni kulala kama kina wasira
CCM wamezoea kulala na kuiba sasa wakipelekwa puta na vijana wa chadema wanaomba miungu yao wasirudi bungeni, ndio maana kuna wakati walipinga bunge kuwa "live" presha ilizidi. Na bado bunge lijalo moto utawaka mara 100 ya huu
Aeshi Hillary kwakweli asiruidi, anachangia anatetemeka, sijui mle ndani kuna baridi kali kuliko la sumbawanga,
Lowasa hagombei tena ubunge, Atakuwa Rais wako baada ya oktoba, kwahiyo, jikite kwenye mada husika.