Wabunge wa CCM hawastahili kurudi Bungeni except Kangi Lugola,Ester Bulaya, the rest wanastahili kurudi except Shibuda,Zitto,Arfi,Somebody(Nyerere viti maalumu) and co
Wanajamii forums ni Mbunge Gani Unahisi hawezi kushinda kiti chake cha Ubunge Katika uchaguzi mkuu?
Kwa utashi wetu na kwa maslahi mapana ya nchi kuna wabunge ndani ya bunge letu la awamu hii wameonyesha kuwa na kiwango cha chini sana cha uelewa wa mambo na hata ushiriki wao wa mijadala bungeni umekua hafifu sana, kwa ukurasa huu tujadili watu hawa bila ushabiki wa vyama na bila upenzi wa vyama ili kutokurudia makosa ktk uchaguzi ujao wa uktobar,kuna wabunge wamewaangusha wapiga kura wao ktk maeneo mengi, ni wapi mbunge wako au wa eneo jingine amewaangusha wapiga kura wake au ametuangusha sote kama taifa.
MaCCM woote pamoja na Zitto Kabwe
Wale wote waliochukuwa mafao ya milioni 230.
Rose Camil sijui kaenda kumuwakilisha nani Pale Bungeni. yafanywe maamuzi magumu ya kutompendekeza tena hata kama mumewe atachukia.maslahi ya taifa yatangulizwe kwanza mahaba yawekwe kando