Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Abbas zuberi mtemvu
Nia ni kuing'oa SISIEM madarakani,
lakini haya majembe ningependa yawepo tena bungeni
1. Deo Filikunjombe
2. Ester Bulaya
3. James Lembeli
Kwa utashi wetu na kwa maslahi mapana ya nchi kuna wabunge ndani ya bunge letu la awamu hii wameonyesha kuwa na kiwango cha chini sana cha uelewa wa mambo na hata ushiriki wao wa mijadala bungeni umekua hafifu sana, kwa ukurasa huu tujadili watu hawa bila ushabiki wa vyama na bila upenzi wa vyama ili kutokurudia makosa ktk uchaguzi ujao wa uktobar,kuna wabunge wamewaangusha wapiga kura wao ktk maeneo mengi, ni wapi mbunge wako au wa eneo jingine amewaangusha wapiga kura wake au ametuangusha sote kama taifa.
4. Peter Sserukamba
5. Chris Ole Ssendeka
6. Kangi Lugora
7. Keissy
MaCCM woote pamoja na Zitto Kabwe
MaCCM woote pamoja na Zitto Kabwe