Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.

Chama kilipata msiba mkubwa. huoni hilo kama sababu kubwa tosha kusitisha shughuli za siasa kwenda kuzika? bandiko lako ni bandiko la mlevi aliyetoka baa saa nne hizi. kalale
 
CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.

If you have found the values they lost just take them!! They are yours and your family!!
 
ccm ni mahira tu, yameua arusha ili kuokoa halmashauri...
 
This English is horrible! A grade 3 kid can write better English than this. Are you preparing yourself for an interview? I assure you with this kind of English you will not make it. Too bad!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

better tht than urs. U cramed some sentences not even knowing the meaning..ndio nyie mlikuwa mnakariri hadi nukta, swali likibadilishwa namba tu, unakufa kama mnyama wa porini
 
CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.
You can go to hell. We are not playing CCM's games anymore.
 
as unaota au? Hakuna chama kinachoweza kuunda serikali hapa tz zaidi ya ccm. Hutaki unaacha

sasa kama serikali ya ccm inatuua kwa mabomu bado tunaihesabu nayo ni serikali au ni wahuni tu..
 
Wana jf; napenda sema mawili ya moyoni.
Kwanza upinzani umekuwa kwa kasi mno katika huu muongo wa digital
pili chadema wanatisha,,tukubali au tukatae.....
 
you are childish and yo felow ccmajambazi who never think-instead steal walafi kupitiliza
chadema gud party cause they thnk wright and openly reveal bushits that are done with evidence,thats why you never jail them,hahah mbulule
 
CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.

Huu ulimbukeni wa kujadili mambo ya Tz kwa Lugha ya kikoloni utakwisha lini?hivi dhana ya kudhani ukiongea Kingereza unakuwa ni Msomi ilianzishwa na Nani?kumbuka taaluma(Elimu)hupatikana kwa Lugha za Kifaransa,Kijerumani,kichina,kirumi,kireno nk Hata Rais wa Spain itaty Rusia German China hawazungumzi Kingereza hata wakiwa UN wanahutubia kwa Lugha zao Ndio Maana Rais wa China alipokuja hapa akatoa mfano akitegemea viongozi wa hapa watazungumza kiswahili lakini ikawa kinyume ! Naomba tukipende Kiswahili lugha adhimu kwani pale England wale wazawa wote wanazungumza Kingereza lakini si wote ni Wasomi lakini kwa Kuwa ni Lugha Yao wanaipenda na wameilazimisha Nchi kuiona Bora kuliko Lugha mama Kiswahili
 
sasa kama serikali ya ccm inatuua kwa mabomu bado tunaihesabu nayo ni serikali au ni wahuni tu..

mlijilipua wenyewe bana acha kudanganya watu, unadhani hatujui? Damu za watz zitawadaini haki zao mbele za mungu
 
Mke wa mtu sumu, mtoto wa mtu sumu, mke wa jirani sumu kama kuna mzee ana tabia hiyo aache

ccm ni sumu zaidi kwani hawajaenda hata kuhani msiba Ars kwa watoto wa wanaccem wenzao waliowaua kinyama.
 
Hey, u chademas, hivi hii lugha iliyotumika hapa mtu kama mbowe, sugu msigwa wanaelewa kweli?
 
Mke wa mtu sumu, mtoto wa mtu sumu, mke wa jirani sumu kama kuna mzee ana tabia hiyo aache

ccm ni sumu zaidi kwani hawajaenda hata kuhani msiba Ars kwa watoto wa wanaccem wenzao waliowauawawa kinyama.
 
ccm ni sumu zaidi kwani hawajaenda hata kuhani msiba Ars kwa watoto wa wanaccem wenzao waliowaua kinyama.

ccm ina viongozi wengi wenye heshima zao, pale walienda viongozi wa mkoa wa arusha wa chama, nyie si mnafatana ili kuongeza idadi na uzito kwa sababu mko wachache?
 
Back
Top Bottom