Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Nilijua tu kuwa jf mwenye pumba ni Hamy d, nilipoona title tu nikajua mpuuz huyu atakuwa yeye. Hanaga logic ktk thread zake tena anaanzisha mpaka thread 7 kwa siku halafu zote ni pumba na matusi. Endelea kusafiria mbeleko ya mods ila ipo cku nao watakuchoka watakuban. Unatukanaga sana matus kwa Mbowe na Slaa ila unaachiwa. Kwa akil yko fnyu unadhan taifa linajengwa bungen. Vingap vzur chadema wameshaur bungen ila havfanyiw kaz na serikal ya ccm? we unataka waende na matofal wakajenge taifa mle bungen? Haya watanzania wamekufa na chadema wanawazika kama utu unavyoelekeza, ww unataka waacha mazish waende bungen watoe hoja halaf hamzishugulii bali mnazomea. Wajenge taifa vp sasa? Mleta uzi acha upuuz. I bet u must hav disability in ur brain and thinking, acha ujinga na fikir kabla hujaanzisha uzi mwanamtoka pabaya wewe.

bavicha kwa matusi na kejeli hawajambo.
 
Huna jipya mtoa mada! Mara ngapi tumesikia Rais yupo Dodoma na kuitisha mkutano na wabunge wa CCM wakati bunge likiendelea? Hii si kutumikia chama cha mapinduzi? Kama ingekuwa kutumikia taifa Rais angeitisha mkutano wa wabunge wote wa Bunge la Jamhuri na si wale wa CCM tu! Acha propaganda isiyoeleweka.

Tumia akili zako vizuri wewe au ndo form4 wa 2012 nini. Chadema wakifanya mikutano yao bila kuathiri mahudhurio yao bungeni hakuna anaekosoa.

Lini wabunge wa ccm walikacha bunge kisa maswala ya chama.

Kwani kuwa chadema mpaka uwe mburura? Mnaniboa sana mnapo kuwa norrow minded.
 
ukicheka na nyani utavuna mabua,sasa hivi ccm wanafanya mambo kilaini kabisa bungeni.napinga hauta ya wabunge wote wa chadema kutokuwepo bungeni
 
Leo naona hujamtaja Mbowe.......

badbio460.jpg
 
Nilijua tu kuwa jf mwenye pumba ni Hamy d, nilipoona title tu nikajua mpuuz huyu atakuwa yeye. Hanaga logic ktk thread zake tena anaanzisha mpaka thread 7 kwa siku halafu zote ni pumba na matusi. Endelea kusafiria mbeleko ya mods ila ipo cku nao watakuchoka watakuban. Unatukanaga sana matus kwa Mbowe na Slaa ila unaachiwa. Kwa akil yko fnyu unadhan taifa linajengwa bungen. Vingap vzur chadema wameshaur bungen ila havfanyiw kaz na serikal ya ccm? we unataka waende na matofal wakajenge taifa mle bungen? Haya watanzania wamekufa na chadema wanawazika kama utu unavyoelekeza, ww unataka waacha mazish waende bungen watoe hoja halaf hamzishugulii bali mnazomea. Wajenge taifa vp sasa? Mleta uzi acha upuuz. I bet u must hav disability in ur brain and thinking, acha ujinga na fikir kabla hujaanzisha uzi mwanamtoka pabaya wewe.

bluetooth23,

Wewe kwako mtu mwenye logic ni yupi?

Jibu ninalo, ni mtu anae isifia CHADEMA hata kwa maovu.

Sasa kama mtu anae isifia CHADEMA hata kwa maovu yao, basi sipo tayari kuwa mtu mwenye logic kwako.

Kama CHADEMA hawaoni umuhimu wao bungeni, kama unavyosema eti michango yao haithaminiwi na serikali, sasa kwanini wasibwage manyanga na kujiuzulu ili wapunguzie taifa mzigo wa kuwalipa mishahara?

Kwanini walipwe mishahara minono na posho rukuki halafu hawahudhuri bungeni?
 
Last edited by a moderator:
Tope tupu Hakuna la maana alote mtoa mada

Ningeleta mada ya kumpamba Slaa na Mbowe hata kwa kuwalaghai mngeniona wa maana?

Hapa unasemwa ukweli tu hakuna habari za kupepesa macho wala kubwabwaja maneno.

Principle ya ukweli ni lazima i-prevail, Ukweli uwa mchungu.
 
Linawezekana,KAMA BAJETI KUU INAJADILIWA NA WAO HAWAPO BUNGENI,wanamaanisha nini?
kama ni maziko ya watanzania wangemtuma mwakilishi,ndo mana kunakuwa na matawi ya chama kila mkoa,wilaya hadi kijiji na wengine wawepo kwenye mjadala wa bajeti kuu
Alafu bajeti akipita watasem ni ya ccm,wakati hawakuwepo kutoa changamoto,
sasa wanaomba uongoz wa nini.?me nawapongeza baadhi wa chadema kama mnyika,zito wanafam walichotumwa na wananchi
Hao hawafanyi siasa wanafanya propaganda ndio mana magamba yanawakomalia wanajua kbs kisiasa hawana mtaji sasa mtaji ni machozi na dam za watu hivi mnaendaga huko kufanya nn mnapigwa wao wanasepa mtaisha mjue hamna kiongozi hata mmoja hapo nahodha huwa wa mwisho kushuka chomboni kikizama kusoma hamjui picha nayo je hamuioni? hakuna mahali popote duniani ambako aliyenacho aliweza kuleta ukombozi wa aina yoyote
 
bluetooth23,

Wewe kwako mtu mwenye logic ni yupi?

Jibu ninalo, ni mtu anae isifia CHADEMA hata kwa maovu.

Sasa kama mtu anae isifia CHADEMA hata kwa maovu yao, basi sipo tayari kuwa mtu mwenye logic kwako.

Kama CHADEMA hawaoni umuhimu wao bungeni, kama unavyosema eti michango yao haithaminiwi na serikali, sasa kwanini wasibwage manyanga na kujiuzulu ili wapunguzie taifa mzigo wa kuwalipa mishahara?

Kwanini walipwe mishahara minono na posho rukuki halafu hawahudhuri bungeni?

Hata siku 1 sijawahi kusikia maovu ya chadema ila wao ndo wanafanyiwa maovu mengi sababu tu CDM ni nguvu ya umma, hakika subiri 2015 utaona, wengi wataomba hifadhi huko ughaibuni.
 
Last edited by a moderator:
Wana-JF;

Suala la wabunge wa CHADEMA kuendekeza chama chao kuliko utaifa (bungeni) kwa sasa limedhihiri.

Wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakikosa vipindi vingi vya bunge, tena kwa ujumla wao, huku wakizijua athari zitokanazo na mahudhurio mabovu.

Wamekuwa wakifanya 'chokochoko' makusudi kabisa, ili wamlazimishe spika kutumia kanuni awatoe, ili waende majukwaani na kukitumikia chama chao.

Tukio la Arusha nalo limefanywa kisiasa, kwani wabunge wote wa CHADEMA wamepanga kutohudhuria bungeni, ili wapate fursa za kukaa majukwaani na kukitumikia chama.

Wito wangu kwa CHADEMA, ifike wakati sasa taifa mlipe kipaumbele kuliko chama chenu, bunge la bajeti ni bora zaidi kuliko mnayo angaika nayo huko Arusha.

Hammy D una laana... huwezi kuwa mtu... Shetani na majini wanaweza kuwa ulivyo kiakili... Na me nafikiri wewe ni msukule! Kumbuka hata wewe una mwisho... Badilika sasa hivi uombe Mungu mwisho wako uwe mzuri kwa kuwa hakika na wewe utakufa.
 
quote_icon.png
By Kimetah Linawezekana,KAMA BAJETI KUU INAJADILIWA NA WAO HAWAPO BUNGENI,wanamaanisha nini?
kama ni maziko ya watanzania wangemtuma mwakilishi,ndo mana kunakuwa na matawi ya chama kila mkoa,wilaya hadi kijiji na wengine wawepo kwenye mjadala wa bajeti kuu
Alafu bajeti akipita watasem ni ya ccm,wakati hawakuwepo kutoa changamoto,

sasa wanaomba uongoz wa nini.?me nawapongeza baadhi wa chadema kama mnyika,zito wanafam walichotumwa na wananchi
Hao hawafanyi siasa wanafanya propaganda ndio mana magamba yanawakomalia wanajua kbs kisiasa hawana mtaji sasa mtaji ni machozi na dam za watu hivi mnaendaga huko kufanya nn mnapigwa wao wanasepa mtaisha mjue hamna kiongozi hata mmoja hapo nahodha huwa wa mwisho kushuka chomboni kikizama kusoma hamjui picha nayo je hamuioni? hakuna mahali popote duniani ambako aliyenacho aliyeweza kuleta ukombozi wa aina yoyote
kusoma hamjui picha nayo je hamuioni?
kiongozi unamaanisha nini apo?
hakuna mahali popote duniani ambako aliyenacho aliyeweza kuleta ukombozi wa aina yoyote
mkuu aliye na nini?na hao chadema wana nini?
 
Wana-JF;

Suala la wabunge wa CHADEMA kuendekeza chama chao kuliko utaifa (bungeni) kwa sasa limedhihiri.

Wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakikosa vipindi vingi vya bunge, tena kwa ujumla wao, huku wakizijua athari zitokanazo na mahudhurio mabovu.

Wamekuwa wakifanya 'chokochoko' makusudi kabisa, ili wamlazimishe spika kutumia kanuni awatoe, ili waende majukwaani na kukitumikia chama chao.

Tukio la Arusha nalo limefanywa kisiasa, kwani wabunge wote wa CHADEMA wamepanga kutohudhuria bungeni, ili wapate fursa za kukaa majukwaani na kukitumikia chama.

Wito wangu kwa CHADEMA, ifike wakati sasa taifa mlipe kipaumbele kuliko chama chenu, bunge la bajeti ni bora zaidi kuliko mnayo angaika nayo huko Arusha.

Pole sana Hammy D or whatever you call yourself!! kwa bahati mbaya sana you seem to know the words to post a thread BUT you miss their meaning!!

Utaifa sio kufumbia macho na masikio Ufisadi; utaifa sio kukumbatia rushwa; utaifa sio kuendekeza ufisadi; utaifa sio kudumaza demokrasia; utaifa sio kukandamiza haki za binadamu; utaifa sio kubweteka wachache wamalize raslimali za nchi wakati majority wakiteseka katika umasikini tororo!!!

Penye dhuluma hakuna amani; usiwe mvivu wa kusoma, fuatilia historia ya dunia nzima; look at what is happening today in turkey na Brasil!!

Wanachotakiwa kukifanya wabunge wote progressive; wanaharakati; asasi za kiraia na viongozi wa dini ni kusimama pamoja kupigania ukombozi wa fikra miongoni mwa watanzania ili wajitambue na kuukataa udhalimu huu wa CCM na vikaragosi vyao in all its manifestations.

Uhuru kwanza; utaifa na maendeleo baadae; that is the logical sequence of actions kwa hapa tulipofikia Tanzania! we can not allow to hide real issues under the carpet any more.
Aluta continua!

When things get tough; we are nearer the top!! the feeble and fickle will collapse; the tough get going and history is on their side, they will triumph.
 
Wahi Lumumba ukapate mgawo wa kumaliza wiki, unalala nyumbani kwa ukiwaza CDM muda wote badala ya kufikiri mustakabali wako na familia yako. Hao waliojazana huko bungeni wanafanya nini cha maana zaidi ya kulala, kugonga meza na kupitisha mambo wasiyoyajua
 
point taken..
kama mnauchungu na i nchi,waufanyie kazi uo ushauri
 
quote_icon.png
By HAMY-D bluetooth23,

mtu mwenye logic ni yupi?

Jibu ninalo, ni mtu anae isifia CHADEMA hata kwa maovu.

Sasa kama mtu anae isifia CHADEMA hata kwa maovu yao, basi sipo tayari kuwa mtu mwenye logic.

Kama CHADEMA hawaoni umuhimu wao bungeni, kama unavyosema eti michango yao haithaminiwi na serikali, sasa kwanini wasibwage manyanga na kujiuzulu ili wapunguzie taifa mzigo wa kuwalipa mishahara?

Kwanini walipwe mishahara minono na posho rukuki halafu hawahudhuri bungeni?
Wana-JF;

Suala la wabunge wa CHADEMA kuendekeza chama chao kuliko utaifa (bungeni) kwa sasa limedhihiri.

Wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakikosa vipindi vingi vya bunge, tena kwa ujumla wao, huku wakizijua athari zitokanazo na mahudhurio mabovu.

Wamekuwa wakifanya 'chokochoko' makusudi kabisa, ili wamlazimishe spika kutumia kanuni awatoe, ili waende majukwaani na kukitumikia chama chao.

Tukio la Arusha nalo limefanywa kisiasa, kwani wabunge wote wa CHADEMA wamepanga kutohudhuria bungeni, ili wapate fursa za kukaa majukwaani na kukitumikia chama.

Wito wangu kwa CHADEMA, ifike wakati sasa taifa mlipe kipaumbele kuliko chama chenu, bunge la bajeti ni bora zaidi kuliko mnayo angaika nayo huko Arusha.

huo ndio ukweli tupunguze siasa
 
Pole sana Hammy D or whatever you call yourself!! kwa bahati mbaya sana you seem to know the words to post a thread BUT you miss their meaning!!

Utaifa sio kufumbia macho na masikio Ufisadi; utaifa sio kukumbatia rushwa; utaifa sio kuendekeza ufisadi; utaifa sio kudumaza demokrasia; utaifa sio kukandamiza haki za binadamu; utaifa sio kubweteka wachache wamalize raslimali za nchi wakati majority wakiteseka katika umasikini tororo!!!

Penye dhuluma hakuna amani; usiwe mvivu wa kusoma, fuatilia historia ya dunia nzima; look at what is happening today in turkey na Brasil!!

Wanachotakiwa kukifanya wabunge wote progressive; wanaharakati; asasi za kiraia na viongozi wa dini ni kusimama pamoja kupigania ukombozi wa fikra miongoni mwa watanzania ili wajitambue na kuukataa udhalimu huu wa CCM na vikaragosi vyao in all its manifestations.

Uhuru kwanza; utaifa na maendeleo baadae; that is the logical sequence of actions kwa hapa tulipofikia Tanzania! we can not allow to hide real issues under the carpet any more.
Aluta continua!

When things get tough; we are nearer the top!! the feeble and fickle will collapse; the tough get going and history is on their side, they will triumph.

MTK,

Kwanza nikupongeze kuwa miongoni wa wana-CDM wachache wanaoweza kujenga hoja bila ya kujaza matusi kwenye sentensi, kama CDM ingekuwa na watu wa aina yako, basi ushindani usingekuwa uadui kama hali ilivyo jengeka sasa.

Back to the topic;

Suala la kupigania ukombozi wa fikra sio jambo baya, tena hata mimi na chama changu CCM tupo kwenye hiyo vita kwa muda sasa, maana 'ujinga' ulitangazwa kama adui, kwahiyo ni lazima tushirikiane wote kupambana nao.

Lakini kuleta ukombozi wa kifikra kusizuie mambo mengine ya msingi kusimamiwa, CHADEMA ni lazima ikubali kugawa majukumu.

Suala la Arusha lingepaswa lifanywe kwa uwakilishi, ili itoe fursa kwa wabunge wengine wakaisimamie serikali, sasa kitendo cha wote kukusanyana na kuelekea upande mmoja huku pande zingine zenye kuhitaji uwepo wao zikiwakosa, sio jambo jema.

Suala hapa ni mgawanyo tu, wajifunze hili.
 
Last edited by a moderator:
[/COLOR][/I][/B]

huo ndio ukweli tupunguze siasa

Kimetah,

Yani mimi siwaelewi wabunge wa CHADEMA, kusema bungeni hamna la maana ni kuwadharau wapiga kura wao walio watuma kuwawakilisha.

Hata kama bunge lina changamoto, ni wazi wao kama viongozi ni lazima wakabiliane nazo, ila kukimbia changamoto ni upuuzi unaofanywa na wabunge wa CHADEMA ambao ni lazima utawagharimu tu. Wananchi wameona, wananchi wataamua.
 
HAMY-D
Your right kiongozi,wasitufanye wao ndo perfect kwa kila wanachokisema
Alafu watu humu wanakuwa washabiki wa kisiasa zaidi pasipo kuangalia mhusika anatakiwa afanye nin,kwa vip na wakati gani?
2endelee kuwaelimisha mkuu
 
Nawasiwasi ww hufuatilii bunge chunguza utagundua magamba wengi hawapo bungeni fanya kitu kimoja angalia leo upande wa wapinzani nawa chama twawala utaona.pili julize hao wanaosema naunga mkono 100% wannini?
 
Back
Top Bottom