Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Wamekuwa wakifanya 'chokochoko' makusudi kabisa, ili wamlazimishe spika kutumia kanuni awatoe, ili waende majukwaani na kukitumikia chama chao.

Tukio la Arusha nalo limefanywa kisiasa, kwani wabunge wote wa CHADEMA wamepanga kutohudhuria bungeni, ili wapate fursa za kukaa majukwaani na kukitumikia chama.

Wito wangu kwa CHADEMA, ifike wakati sasa taifa mlipe kipaumbele kuliko chama chenu, bunge la bajeti ni bora zaidi kuliko mnayo angaika nayo huko Arusha.[/QUOTE]
Umekunywa lita ngapi za gongo?
 
HAMY-D hivi wewe ni mtu wa namna gani? Hivi usikute ni mtu mzima na wajukuu juu halafu anakuja na bandiko la kijinga.
 
Tumia akili zako vizuri wewe au ndo form4 wa 2012 nini. Chadema wakifanya mikutano yao bila kuathiri mahudhurio yao bungeni hakuna anaekosoa.

Lini wabunge wa ccm walikacha bunge kisa maswala ya chama.

Kwani kuwa chadema mpaka uwe mburura? Mnaniboa sana mnapo kuwa norrow minded.

Nimependa namna ulivyorespond. Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe kwamba wabunge wa CDM kutohudhuria vikao vya bunge kuna athari yake! Lakini yafaa nini kuhudhuria vikao ambavyo mwisho wa yote jibu litakuwa ndiyoooooooooo whether kilichokubaliwa kwa mtindo huo hakina manufaa kwa makabwela? Jibu la ndiyooo mara nyingi hutoka kwa wabunge wa CCM ambao ni robo tatu kwa idadi bungeni. Hii maana yake ni kwamba wabunge wa CCM wanakitumikia chama na serikali yao hadi bungeni. Ni kwa mantiki hiyo huenda wabunge wa CDM wameamua kuendelea na majukumu mengine huku vikao vya bunge vikiendelea.
 
Mtoa mada hana akili tena ni mfinyu elimu, huwe acha wananchi wakitaabika na kukimbilia posho za bungeni akati wananchi hao hao ndio walikuweka pale jali maisha ya watu na shida zao kwanza mengine baada hongera wabunge wa chadema kwa kuwa sambamba na sisi watu chini,
 
Wito wangu kwa CHADEMA, ifike wakati sasa taifa mlipe kipaumbele kuliko chama chenu, bunge la bajeti ni bora zaidi kuliko mnayo angaika nayo huko Arusha.

Tumeshuhudia mabunge ya Bajeti 50 yaliyopita, Umasikini, Ujinga na mengineyo ndio kwanza yanaongezeka mpaka leo serikali inashindwa kuweka wazi trend ya wasiojua kusoma na kuandika kwa miaka kadhaa. Matokeo yake kila siku turifae mwaka 92.
 
kwani waliopo hawana mawazo?
au umeona umuhimu wao sasa?
kutokuwepo kwao kuna sababisha usikilize mawazo mfu kila wakati huna tofauti na mimi hata bunge sasa sifuatilii mpaka watakapo rudi
 
SIO BURE WEWE UMETUMWA!KWA HIYO WALIOKUFA WEWE HUNA HABARI NAO?MARA NGAPI HATA KAMAWAPO NA WAMETOA MCHANGO MNAWADHARAU?KAENI WENYEWE HUMO BUNGENI BILA BUGDHA ILI MFURAHI KUMBE UMEWAMISS EEEH?sitaki nataka! ndo ile hadithi ya sungura na na ndizi.Kumbe umegundua mchango wao ee?kichwa maji!
 
CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.
 
ni watoto pekee ndio hususa, si ajabu CHADEMA kufanya hivyo maana bado wanakua level yao ni ya chekechea katika ulingo wa siasa
 
CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.

Kama kujua Kiingereza ndio kuelimika, basi mimi sikitaki kabisaaaa wandugu!!!
 
CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.

wabunge wa TZ si wa waongea kingereza uchwara, nenda kule, eti MPs is out?wapi na wapi?si uandike kiswahili tu, zero wewe
 
CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.

Ooh yes! I agree with you 100% that according to your perception you are right to talk whatever nosense your heard is capable of thinking!!!
ila kwa wengine tunaona wako sahihi kwa kuwa hakuna jema ambalo wapinzani wamepinga ndani ya Bunge letu tukutu kutetea maslahi ya watanzania wakafanikiwa!
 
CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.
This English is horrible! A grade 3 kid can write better English than this. Are you preparing yourself for an interview? I assure you with this kind of English you will not make it. Too bad!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
sure...too bad to be good! but let the boy try his level best to learn english by posting nosenses!
 
Si haba! Kwa kiinglish hiki naye analamba book 7 kwa siku kutoka kwa vilaza wenzie wa lumumba. Wabunge wanaosinzia na kusema ndiyoooooo pale dodoma wamekusaidia nini?
pumba tupu
 
Mke wa mtu sumu, mtoto wa mtu sumu, mke wa jirani sumu kama kuna mzee ana tabia hiyo aache
 
Du Kiinglish hiki!
M.a. laya advera Senzo anawadhalilisha wanawake wenzie..Bunge la Tanzania lina wabunge wachadema tu the rest ni mapunguani na wenye wazimu usiokuwa na dawa zaidi ya kifo..Eti mbunge anamwachia waziri muda wake ili ajibu hoja za wabunge wa upinzani halafu anaendelea kujiita eti nayeye ni mbunge wa wananchi?Kweli Ccm ilaaniwe na nitakuja kumwaga daho yaho wanaccm kadhaa kabla sijafa mimi tena wale wa aina ya liwalo na liwe
 
Si haba! Kwa kiinglish hiki naye analamba book 7 kwa siku kutoka kwa vilaza wenzie wa lumumba. Wabunge wanaosinzia na kusema ndiyoooooo pale dodoma wamekusaidia nini?
pumba tupu

as unaota au? Hakuna chama kinachoweza kuunda serikali hapa tz zaidi ya ccm. Hutaki unaacha
 
Back
Top Bottom