Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Days are now countable before you know who is arrogant and pompous: Kagame has called you 'four Bs' because you are so opportunists! Shame on you Magamba: remember that we are not ready to be gambalaizid any more with your bloodgambastinking propaganda.
 
Chris Lukosi, unalalamika nini sasa wakati na wewe unachangia kuwapa hizo sifa kwa kuwaanzishia uzi hapa JF? Jitambue tafadhari!
 
Last edited by a moderator:
Publicity hiyo unaamka tu unamtukana Kikwete unatoka front page.
 
...mzee wa maji taka,na we unaunga foleni ya buku saba....?
 
na ndo maana wanauojua kusoma alama za nyakati wanajua Chadema kitapoteza viti vyote vya ubunge kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015

Kweli kabisa kama kilivo poteza viti vitano vya udiwani na jumla ya kura zote, zake zikawa chache lol!
 
Same rubbish from same person!K.u.b.w.a J.i.n.g.a
 
Sasa,kukamatwa kwao kuna kuuma nini? Kamshauri jk,pinda,lukuvi,wassira waache kutumia dola kukabili upinzani,zaidi zaidi wanawapa umaarufu makamanda.Hii ndio chadema bhana....tulizaliwa ili tufe na kufa ni haki yetu,hata mtuue tutatetea wananchi kwa nguvu zote hakuna kurudi nyuma.
 
NDUgu zanguni,

Nimegundua kuwa kila kukicha Hawa makamanda WA Chadema wamekuwa wakifanya upuuzi WA kila aina ili wakamatwe halafu wawe gumzo mitaani.

Ningependa kuwashauri waheshimiwa sana makamanda,

Hebu fanyeni kazi za kulijenga taifa, huko jela mnamaliza vya kula vya wanaostahili kuwa huko,

Au ile harufu ya lupango Kwenu Ni manukato.

Cc, Sugu, Lema na wengineo wapenda misifa....

JITAMBUE!
Nina mtenda kazi(mbwa) ambae kama kawaida yao wao hutii mabwana zao bila kujali kama ni fisadi au mwema mradi anapewa chakula! Nafurahi kukufananisha na huyo mtenda kazi wangu jinsi unavyojinasibu na mashaitwan wa kijani nina hakika wewe ni mtenda kazi wao! Hongera kwa kujitambua!
 
Nina mtenda kazi(mbwa) ambae kama kawaida yao wao hutii mabwana zao bila kujali kama ni fisadi au mwema mradi anapewa chakula! Nafurahi kukufananisha na huyo mtenda kazi wangu jinsi unavyojinasibu na mashaitwan wa kijani nina hakika wewe ni mtenda kazi wao! Hongera kwa kujitambua!
Ina maana Sugu ndio anaitwa hivyo?
 
Back
Top Bottom