Wabunge CCM wamempitisha Ndugai kugombea Uspika

Wabunge CCM wamempitisha Ndugai kugombea Uspika

Pasco,your second defeat,TKO
 
Last edited by a moderator:
TUNA Imaaaaaaaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na Ndugaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Naomba UKAWA washirikiane vizuri na Ndugai wasiweke mgombea kuonyesha wanamuunga mkono.

Nasema hivi kwa sababu alionyesha ukomavu wa kiti wakati wa kujadili suala la Escrow.
 
MBIO ZA USPIKA: Kamati ya wabunge wa CCM leo wampitisha Job Ndugai kuwania nafasi ya Spika wa Bunge baada ya wagombea wengine; Abdula Mwinyi na Dk Tulia Ackson kujitoa kuwania nafasi hiyo.
 
Yeah,habari zipo muda sana humu na mitandao mingine Ukitaka soma hapa:-

Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli leo ameshusha lundo la tuhuma kwa naibu spika wa bunge na mgombea ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM ndugu Job Ndugai, imethibitishwa.

Magufuli amemtuhumu Job Ndugai kwa kitendo chake cha kueleza hadharani kuwa anaiunga mkono kauli ya Edward Lowassa ya kuunda tume maalum kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji jimboni humo.

Magufuli amesema kuwa kitendo hicho kinaonyesha jinsi ambavyo Job Ndugai asivyo na imani naye kama mgombea wa urais kupitia chama chake na wala asisingizie migogoro.

Aidha habari za ndani zilizopatikana jimboni humo ni kuwa Job Ndugai alikuwa miongoni mwa wana CCM walio na imani kubwa na Edward Lowassa ingawa kwa sasa hajaeleza msimamo wake baada ya Lowassa kuitosa CCM.
..................
Mimi nipo na timu ya watu wa ndani kabisa wa John Magufuli mikoani.

Link ya JF hii hapa: https://www.jamiiforums.com/uchaguz...hadharisha-kuunga-mkono-kauli-za-lowassa.html

Pamoja na mambo yote kitu ambacho Wadanganyika hamtaki kujifunza Inawezekana kweli magufuli haziivi na Nduga lkn kumbuka RAIS ni wa CCM na SPIKA anaweza kuwa wa CCM so linapokuja swala la Maslahi ya NCH na CCM chama kinapewa nafasi kubwa hutasikia mikwara aidha kwa Magufuli au kwa Spika hii mambo cc wengine tumeifatilia kwa muda mrefu.....kwahiyo huwa hatuamini ktk conflict huko CCM
 
Yametimia. Nasubiri kwa shauku kubwa kusikia Tulia Akson akitangazwa kuwa Naibu Spika

Kasome kanuni dogo, naibu spika nikinyanganyiro tofauti na spika. Naibu spika kugombea Zungu mwenyewe hana mpinzani.
 
kwa wanaofatilia siasa Kinana ni swahiba mkubwa wa Lowasa na Dr Tuli lilikuwa chaguo la Magufu sasa kaangukia pua mtrule wa rais bado wabunge wa ukawa wameazimia kuhakikisha hahutubii Bunge huu Ni mwanzo mbaya kwa Dr Pombe Magufuli...

hongera Kinana, Hongera Lowassa....
 
Nikikumbuka nachoka.waheshimiwa wakae chonjo !!
 
Attachments

  • 1447668766072.jpg
    1447668766072.jpg
    56 KB · Views: 418
Watu hawajui, watu wote walionyuma ya Lowassa wataenguliwa mmoja baada ya mwingine...........hii sio awamu ya nne hii. Hapa kazi na Bakora hakuna maneno.
 
Jidanganyeni, ni kinana ndo alomuita Lowassa kapi la CCM, UKAWA mnapenda kujipa mahope, ngoja kwanza Ndugai awabane wahuni wenu bungeni ndo mtajua CCM sio chama cha mchezo!
 
kwa wanaofatilia siasa Kinana ni swahiba mkubwa wa Lowasa na Dr Tuli lilikuwa chaguo la Magufu sasa kaangukia pua mtrule wa rais bado wabunge wa ukawa wameazimia kuhakikisha hahutubii Bunge huu Ni mwanzo mbaya kwa Dr Pombe Magufuli...

hongera Kinana, Hongera Lowassa....

sasa kwanini kinana huyo huyo aliangalia lowassa akichinjwa mchana kweupe???
 
Jidanganyeni, ni kinana ndo alomuita Lowassa kapi la CCM, UKAWA mnapenda kujipa mahope, ngoja kwanza Ndugai awabane wahuni wenu bungeni ndo mtajua CCM sio chama cha mchezo!

kama jasho liliwatoka tulipokuwa 48 itakuwaje sasa hivi 125
 
kwa wanaofatilia siasa Kinana ni swahiba mkubwa wa Lowasa na Dr Tuli lilikuwa chaguo la Magufu sasa kaangukia pua mtrule wa rais bado wabunge wa ukawa wameazimia kuhakikisha hahutubii Bunge huu Ni mwanzo mbaya kwa Dr Pombe Magufuli...

hongera Kinana, Hongera Lowassa....

Unaota.
 
Back
Top Bottom