Ndugai kama ni yule yule, bunge litamshinda...Kuna wakati alikuwa anazidisha hasira kwenye maamuzi (tolarance limit yake iko chini sana) hekima na busara ipo chini pia...
Nilitarajia kupitishwa. Namwonea huruma kwa kuwa bunge hili litakuwa la moto ile mbaya.