Wabunge CCM wamempitisha Ndugai kugombea Uspika

Wabunge CCM wamempitisha Ndugai kugombea Uspika

HAYA SASA KAZI IMEANZA"
kuna watu wasio jielewa walikuwa wanasema magufuli atakuja na serikali yake mpya kabisa yenye utofauti na serikali iliyopita.."mwanasheria mkuu kateuliwa yule yule"...spika asubuhi ya leo wabunge wa ccm wamempitisha ndugai..huyu ndugai

-alikuwa ni naibu spika kwenye serkali iliyopita
-ni mtu mwenye jazba sana na hawezi kuendana na kasi ya bunge la sasa
-alimpiga rungu kichwani mgombea mwenzake wa ccm kwenye kura za maoni
-kuna kipindi wakati anapiga kampeni aliunga mkono sera ya lowassa mpaka ikasemekana kuwa mgombea wa urais ccm alikasirika

"hivi leo hii mtu aliyekwa na imani na sera za mpinzai wako unaweza ukaruhusu awe spika kwenye serikali yako?,ccm ina wenyewe na wao ndio wanaamua"
 
Huu mwingine upuuzi tu. lowassa has nothing with this. hao ni wana ccm, mfuasi wa lowassa ni yule aliyejitoa hadharani na kuhama naye hao wengine maisha yao bila ccm hayawezekani

Si unajua wanajaribu kutengeneza antagonism katika utawala huu lakini wafahamu hila zao zimefika mwisho na watabanwa mpakq waombe pooo
 
Ina maana lowasa anakuwa kikwazo cha Watanzania kupata huduma za kijamii?
Kama ni mtu wa kuvuta maendeleo ya nchi yetu, nini kinafanya mumpende na kumshabikia kuwa anafaa?
 
HAYA SASA KAZI IMEANZA"
kuna watu wasio jielewa walikuwa wanasema magufuli atakuja na serikali yake mpya kabisa yenye utofauti na serikali iliyopita.."mwanasheria mkuu kateuliwa yule yule"...spika asubuhi ya leo wabunge wa ccm wamempitisha ndugai..huyu ndugai

-alikuwa ni naibu spika kwenye serkali iliyopita
-ni mtu mwenye jazba sana na hawezi kuendana na kasi ya bunge la sasa
-alimpiga rungu kichwani mgombea mwenzake wa ccm kwenye kura za maoni
-kuna kipindi wakati anapiga kampeni aliunga mkono sera ya lowassa mpaka ikasemekana kuwa mgombea wa urais ccm alikasirika

"hivi leo hii mtu aliyekwa na imani na sera za mpinzai wako unaweza ukaruhusu awe spika kwenye serikali yako?,ccm ina wenyewe na wao ndio wanaamua"
Sasa unalalamika, unahabarisha au ulitakaje? wanaopiga kura kumteuwa mgombea uspika wa ccm ni kina nani?
 
Unatuwekea na YouTube tuangalie mboga za kijani!! Fyuuuuuuuu
 
Pamoja na mambo yote kitu ambacho Wadanganyika hamtaki kujifunza Inawezekana kweli magufuli haziivi na Nduga lkn kumbuka RAIS ni wa CCM na SPIKA anaweza kuwa wa CCM so linapokuja swala la Maslahi ya NCH na CCM chama kinapewa nafasi kubwa hutasikia mikwara aidha kwa Magufuli au kwa Spika hii mambo cc wengine tumeifatilia kwa muda mrefu.....kwahiyo huwa hatuamini ktk conflict huko CCM

Wanajaribu kujiweka sawa kisaikolojia make wanaelewa watakavyoshughulikiwa huko bungeni
 
Hapa kazi tu
 
Attachments

  • 1447670148632.jpg
    1447670148632.jpg
    75.9 KB · Views: 313
Źungu alisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe el huyo ni ccm kweli. Akson atosha
 
Sasa unalalamika, unahabarisha au ulitakaje? wanaopiga kura kumteuwa mgombea uspika wa ccm ni kina nani?

usipanic,magufuli anachaguliwa watu wa kufanya nao kazi,yeye hana nguvu yoyote kwenye chama...
 
Yeah,habari zipo muda sana humu na mitandao mingine Ukitaka soma hapa:-

Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli leo ameshusha lundo la tuhuma kwa naibu spika wa bunge na mgombea ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM ndugu Job Ndugai, imethibitishwa.

Magufuli amemtuhumu Job Ndugai kwa kitendo chake cha kueleza hadharani kuwa anaiunga mkono kauli ya Edward Lowassa ya kuunda tume maalum kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji jimboni humo.

Magufuli amesema kuwa kitendo hicho kinaonyesha jinsi ambavyo Job Ndugai asivyo na imani naye kama mgombea wa urais kupitia chama chake na wala asisingizie migogoro.

Aidha habari za ndani zilizopatikana jimboni humo ni kuwa Job Ndugai alikuwa miongoni mwa wana CCM walio na imani kubwa na Edward Lowassa ingawa kwa sasa hajaeleza msimamo wake baada ya Lowassa kuitosa CCM.
..................
Mimi nipo na timu ya watu wa ndani kabisa wa John Magufuli mikoani.

Link ya JF hii hapa: https://www.jamiiforums.com/uchaguz...hadharisha-kuunga-mkono-kauli-za-lowassa.html

Hiyo link ya huyo muongo unaiamini?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
kwa wanaofatilia siasa Kinana ni swahiba mkubwa wa Lowasa na Dr Tuli lilikuwa chaguo la Magufu sasa kaangukia pua mtrule wa rais bado wabunge wa ukawa wameazimia kuhakikisha hahutubii Bunge huu Ni mwanzo mbaya kwa Dr Pombe Magufuli...

hongera Kinana, Hongera Lowassa....

Hahaha😅😅😅 Tufanye unachosema ni kweli. So what?😅😅😅
 
Hapo imeng'ata kwa wapinzani, mwaka huu bakora za vichwa watazipata sana. Ninafikiri kutokana na hili, kila siku ya vikao ni lazima wahakikishe kuna ambulance za kutosha. Bakora za vichwa si mchezo. Si mnakumbuka yule aliyeshushiwa wakati wa kura za kuteua mgombea kupitia chama chao.
 
Back
Top Bottom