Wabunge CCM wamempitisha Ndugai kugombea Uspika

Wabunge CCM wamempitisha Ndugai kugombea Uspika

mang"ombe utayajua tu. Ndugai ni mtu mtulivu mvumilivu na mwenye busara sana. hakuna mtu smart kama Ndugai
 
Ndugai nilimwona kwenye kura za Maoni ccm akimpiga mwenzie na rungu sijuwi yaliishia wapi, mnaona kwa hasira alizonazo hataweza kuendesha bunge la safari hii, nashangaa kinana kumtangaza mtu kama huyo,

ahaaa..ana hasira kama Morani wa kimasai vile.

Ndugai-1.jpg
hqdefault.jpg
 
Mbona Ngugai ni team Lowassa? Lowassa kamweka mtu wake unachezea pesa wewe?

...to b practical hii habari ya 'team lowassa' ni kinyesi tayari ktk karo la vinyesi vya ccm...nzi ndo bado inawavutia...! ccm na serikali yake chini ya bw. magufuli is far, far, far above anything lowassa left ktk ccm...! jidanganyeni..! "hapa kazi tu ...!"
 
Angekuwa haelewani na Rais asinge ingie top 3 wewe jidanganye wanao ingia top 3 wanakuwa cleaned na scanned CCM sio chandim
 
watoe kabisa nje ya fensi ya bunge...kuleee upande wa pili wa barabara
 
Aliye kuwa anafaa kuwa kipaza sauti ni Azan Zungu. Ndugai labda abadilike aache hasira za karibu.
 
Yametimia. Nasubiri kwa shauku kubwa kusikia Tulia Akson akitangazwa kuwa Naibu Spika

ule Dr tayari kateuliwa asubuhi kuwa Mbunge na inasemekana atakuwa Waziri Wa sheria na katiba
 
Acha umbayuwayu wewe alokudanganya Ndugai ni team Lowassa nani, ?? peleka akili ya Bavicha huko

Mbayuwayu ndege mwelevu uweza kupaa centimeter 10 kutoa aridhini uwezi kumfananisha na mtu asiye na maharifa
 
angekuwa team lowasa hata asingefika hiyo top 3,, wamuulize nchimbi kilichomkuta na u-team lowasa wake,, Dk Pombe anaujua mtandao wote wa lowasa so hawezi ruhusu makapi kushika nafasi kubwa
 
Back
Top Bottom