Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,025
Maswali gani haya mkuu saa hii? unataka alshabab waje kutafuta mtu wao huku? Acha kuleta balaa.Nauliza tu....Kinana ni raia wa Tanzania.....????
Maswali gani haya mkuu saa hii? unataka alshabab waje kutafuta mtu wao huku? Acha kuleta balaa.Nauliza tu....Kinana ni raia wa Tanzania.....????
hakuna kitu kama hicho wewe, unakisia tuu.Mbona Ngugai ni team Lowassa? Lowassa kamweka mtu wake unachezea pesa wewe?
Na aanze kumtandika Mnyika, yule yamaa anayependa kukusanya saini za Mabwana.
Yeah,habari zipo muda sana humu na mitandao mingine Ukitaka soma hapa:-
Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli leo ameshusha lundo la tuhuma kwa naibu spika wa bunge na mgombea ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM ndugu Job Ndugai, imethibitishwa.
Magufuli amemtuhumu Job Ndugai kwa kitendo chake cha kueleza hadharani kuwa anaiunga mkono kauli ya Edward Lowassa ya kuunda tume maalum kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji jimboni humo.
Magufuli amesema kuwa kitendo hicho kinaonyesha jinsi ambavyo Job Ndugai asivyo na imani naye kama mgombea wa urais kupitia chama chake na wala asisingizie migogoro.
Aidha habari za ndani zilizopatikana jimboni humo ni kuwa Job Ndugai alikuwa miongoni mwa wana CCM walio na imani kubwa na Edward Lowassa ingawa kwa sasa hajaeleza msimamo wake baada ya Lowassa kuitosa CCM.
..................
Mimi nipo na timu ya watu wa ndani kabisa wa John Magufuli mikoani.
Link ya JF hii hapa: https://www.jamiiforums.com/uchaguz...hadharisha-kuunga-mkono-kauli-za-lowassa.html
Huyu Kinana naye si nasikia ni #TeamLowassa
Kuna tetesi kuwa mwishoni mwa bunge la 10 alipelekwa Ulaya kupata training ya ku-control hasira na jazba pamoja na kujenga hali ya kujiamini (self-confidence)! Pengine hilo litasaidia kidogo. Wakati akirejea nchini ndipo alipotupeperushia picha yake akiwa katika first class ya A380 ya Emirates. Inaelekea walimu wake walisahau kupima level yake ya ulimbukeni. Wangeligundua hilo nalo lingewekwa kwenye program ya kukarabati personality yake!Ndugai kama ni yule yule, bunge litamshinda...Kuna wakati alikuwa anazidisha hasira kwenye maamuzi (tolarance limit yake iko chini sana) hekima na busara ipo chini pia...