Wabunge ambao wamesema wanastaafu 2015

Wabunge ambao wamesema wanastaafu 2015

Majina ya ambao tayari wametangaza kuachia ngazi na majimbo yao
1. Mustafa Mkulloo - morogoro-------- Makubaliano maalum na Malisa kama sikosei.
2. Bernad Membe- Mtama------------------ Urais
3. Zito Zuberi Kabwe- Kigoma kaskazini------ Urais (Msitilie manani sana huyu, hata aliwahi kuahidi kuwa 2010 hata gombea na badala yake atajikita na kujiandaa kwenda kufundisha lakini haikuwa hivyo)
4. Anna Makinda--- -Songea(Siyo Songea ni Njombe)------ Anastaafu na Kumuachia Mwanyika wa Barrick
5.Mizengo Pinda --Mpanda-------------------------------- Anakwenda kutumikia nafasi yake mpya ya Ufalme wa Nyuki.
6. Samweli Sita -----Urambo Mashariki--------------------- Urais
7. P. Ndesamburo -----Moshi Mjini------------------------- Anastaafu
8. Shukuru Kawambwa ------------------------------- Anampisha Ritz namba wani.
9. Harrison Mwakyembe----------------- Itategemea na upepo wa Mgombea nafasi ya Urais chamani mwao unavyokwenda, au namna atakavyoshauriwa.
10. Mark Mwandosya --------------------------------------- Sababu za Kiafya
11.
12.

Nitaendelea ku-Update list na kuiweka live mpaka 2015. Stay on your words.

1. Mustafa Mkulloo - morogoro--------

4. Anna Makinda--- Songea

Nitaendelea ku-Update list na kuiweka live mpaka 2015. Stay on your words.

Hujui hata majimbo yao halafu unaanza kudanganya watu hapa? Thread nzuri mkuu embu fanya homework yako halafu ulete zenye uhakika hapa! pamoja
 
Nafikiri kuna wengine wanatakiwa kupumzishwa kwani hawana msaada wowote kwa wananchi na bunge. Kwa mfano Komba
Usimsahau na Tyson ingawa na yeye eti ana ndoto za kuwania urais wa Tz
 
Nafikiri kuna wengine wanatakiwa kupumzishwa kwani hawana msaada wowote kwa wananchi na bunge. Kwa mfano Komba

Mbona mnemsahau maji marefu? Sofia simba? Mkulo? Karamagi na ngeleja ni majimbo yaliyo wazi ayo..
 
Japo EL, hajatamko kutogombea lakini hata gombea tena!.
Hawa wawili pia hawatagombea kutoka na kuwa ni "spent force!"
John Memose Cheyo na Agustine Lyatonga Mrema.
P.
 
Dr Mwakyembe-Kyela!Linasubiriwa tamko tu wana Kyela tuingie mitaani kushangilia ushindi wetu wa kuondoka kwa Mbunge aliyeitwala Kyela kwa "mkono wa chuma"!!(Take my word seriously and if possible put it in your bank account)

...Haa ha ha ha, sasa Malafyale si unajua ushindi wa mezani haunogi,mie binafsi bado ningependa Mwakyembe aendelee mpaka 2020...
 
adamu malima kuna kijana wa cdm anajiandaa kumng'oa mzee wa mapete

ngeleja

mzee wa gombe hapa anachukua ester bulaya

mwigulu nchemba anachukua kitila mkumbo

mfalme wa nyuki

ole medeye wa arumeru mashariki hapa atachukua kijana wa cdm

ole sendeka hapa anachukua ole millya
Mbona mnemsahau maji marefu? Sofia simba? Mkulo? Karamagi na ngeleja ni majimbo yaliyo wazi ayo..
 
Uko sawa Mkuu M4C wakiongozwa na kamanda wa anga Mbowe, kamanda wa adhini Lema, kamanda wa sheria Lisu na kamanda wa jukwaa Dr PHD Slaa anzeni mashambulizi kuna viti Kama 70 vya kuongezea bungeni 2015 ili kumrahisishia kazi prezda Slaa Inatakiwa ccm wapate majimbo %20 cuf %5 ccj % 0.01 nccr % 0.01 tlp %1 maana mrema mbishi sana APo vunjo ili Tufanye kazi kwa ufanisi...

adamu malima kuna kijana wa cdm anajiandaa kumng'oa mzee wa mapete

ngeleja

mzee wa gombe hapa anachukua ester bulaya

mwigulu nchemba anachukua kitila mkumbo

mfalme wa nyuki

ole medeye wa arumeru mashariki hapa atachukua kijana wa cdm

ole sendeka hapa anachukua ole millya
 
Mteketa- Kilombero
Amekashifu wananchi kuwa hakushinda kwa kura zao bali pesa zake!
 
Mwakyusa na mwandosya wao vip hawataki urais?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yule mwarabu wa Bahi Omar Baduwel alie kamatwa na Takukuru kwa rushwa anatakiwa akae mwanzo kabisa kesha sema hata gombea tena!
 
Kwenye list ya wabunge ambao hawafai kurudi na inafaa wapigwe hata risasi basi usisahau kumuweka ADEN ISMAIL RAGE kwani huyu jamaa kapatelekeza sana nyumbani Tabora, ukipita vitaa vyote kuanzia kiloleni, cheyo, ng'ambo na pote watakwambia koz kazi ya huyu mbunge ni mpira tu pale simba sport club.
 
Mbona mnemsahau maji marefu? Sofia simba? Mkulo? Karamagi na ngeleja ni majimbo yaliyo wazi ayo..

Sofia Simba ni mbunge wa jimbo gani mkuu? Au ni lile la pilau na kugawa kanga za mipasho kupitia ule mfumo wa 'kapu'
 
Back
Top Bottom