Yaani umemsahau wasira au ni ndugu yako
Wabunge kadhaa tayari wametangaza kustaafu au kuacha kugombea nafasi za Ubunge mwaka 2015. Kila mmoja akiwa na sababu tofauti ila wengi inaonekana ni kiwewe cha kushindwa baada ya kugundua kuwa wameshindwa kuwasaidia wapiga kura wao. Wengine ni uzee, au kujipanga na kugombea Urais kwani katiba ya sasa hairusu kugombea vyote kwa wakati mmoja, na wengine ni kuzongwa na kashfa na ufisadi. Wengine wameamua kubadilisha career nk. Kila sababu walau inaonyesha swala la kung'ang'ania ubunge linaanza kupungua kadiri miaka inavyokwenda. Wananchi ongezeni kasi ya kudai haki zenu na kuwawajibisha wabunge na serikali ili kasi ya mendeleo ipatikane na wavivu na walaghai wale kona.
Majina ya ambao tayari wametangaza kuachia ngazi na majimbo yao
1. Mustafa Mkulo -
2. Bernad Membe- Mtama
3. Zitto Zuberi Kabwe- Kigoma kaskazini
4. Anna Makinda--- Njombe
5.Mizengo Pinda --Mpanda
6. Samweli Sita -----Urambo Mashariki
7. P. Ndesamburo -----Moshi Mjini
8.
9.
10.
11.
12.
Majina ya ambao hawafai kurudi Bungeni 2015 kwa uzembe/uvivu/tuhuma/mzigo kwa taifa/hawana mchango/hawana sifa wala
uwezo na ufisadi
1. John Komba
2. Karamagi
3.Maji marefu
4.Sofia Simba
5. Ngeleja
6.E Lowassa
7. David Mathayo
8.Cyril Chami
9. Anna Kilango Maleccela
10.Shukuru Kawambwa
11.Andrew Chenge
12.
13.
14.
15.
Nitaendelea ku-Update list na kuiweka live mpaka 2015. Stay on your words.
Mkuu Ben nalijua hilo kwamba ni mfalme wa nyuki kwa maana ya kuhamasisha ufugaji wa nyuki na siyo kwamba ni mfalme wa nyuki yaani nyuki mkubwa! Ndio maana nikasema ufugaji nyuki ni sehemu ya mkakati wa kilimo kwanza kwa hiyo ameanzia ufalme wa nyuki, kesho wa mahindi, keshokutwa wa ufugaji samaki, nk, nk hadi atakuwa mfalme wa kilimo kwanza. Anaenda incrementally !!!
LEMA kafanya nini wewe mbona mnamtukuza sana chama hakiendeshi kama duka nyie ebooWABUNGE WENGI WA MAGAMBA HASA WAJANJA WASHASOMA ALAMA ZA NYAKATI WENGI KUEPUKA AIBU WATAACHIA NGAZI CHEZEA M4C NA LEMA WEWE. Magamba yanababuka ka nini.
Mkuu hiyo statement imenitisha kama kuzimu! Wajanja huwa wanatanguliza: KWA MAPENZI YA MOLA.
Hivi Andrew Chenge bado kakomaa, hatoi tamko!
Ongeza na Masele wa jimbo la Mbogwe -GeitaWabunge kadhaa tayari wametangaza kustaafu au kuacha kugombea nafasi za Ubunge mwaka 2015. Kila mmoja akiwa na sababu tofauti ila wengi inaonekana ni kiwewe cha kushindwa baada ya kugundua kuwa wameshindwa kuwasaidia wapiga kura wao. Wengine ni uzee, au kujipanga na kugombea Urais kwani katiba ya sasa hairusu kugombea vyote kwa wakati mmoja, na wengine ni kuzongwa na kashfa na ufisadi. Wengine wameamua kubadilisha career nk. Kila sababu walau inaonyesha swala la kung'ang'ania ubunge linaanza kupungua kadiri miaka inavyokwenda. Wananchi ongezeni kasi ya kudai haki zenu na kuwawajibisha wabunge na serikali ili kasi ya mendeleo ipatikane na wavivu na walaghai wale kona.
Majina ya ambao tayari wametangaza kuachia ngazi na majimbo yao
1. Mustafa Mkulo -
2. Bernad Membe- Mtama
3. Zitto Zuberi Kabwe- Kigoma kaskazini
4. Anna Makinda--- Njombe
5.Mizengo Pinda --Mpanda
6. Samweli Sita -----Urambo Mashariki
7. P. Ndesamburo -----Moshi Mjini
8.
9.
10.
11.
12.
Majina ya ambao hawafai kurudi Bungeni 2015 kwa uzembe/uvivu/tuhuma/mzigo kwa taifa/hawana mchango/hawana sifa wala
uwezo na ufisadi
1. John Komba
2. Karamagi
3.Maji marefu
4.Sofia Simba
5. Ngeleja
6.E Lowassa
7. David Mathayo
8.Cyril Chami
9. Anna Kilango Maleccela
10.Shukuru Kawambwa
11.Andrew Chenge
12.
13.
14.
15.
Nitaendelea ku-Update list na kuiweka live mpaka 2015. Stay on your words.