Wabunge ambao wamesema wanastaafu 2015

Wabunge ambao wamesema wanastaafu 2015

Hivi ni kweli kuwa wabunge wote wa upinzani wanafaa kurudi bungeni 2015?can you be fair to say that?
 
Yaani umewasahau wenje, shibuda, H.kiwia,mdee, shilinde, msigwa, sugu, na wote watokanao na chama cha wachaga!!
 
Wengine ni kwa sababu ya kutaka madaraka makubwa (zitto), wengine ni kuogopa nguvu ya umma.
6. Nasikia hata Dewji hatagombea. Lakini hata akigombea atajuta kwanini amegombea

Kumtoa Dewji Singida ni kazi kubwa.CHADEMA wala chama chochote hakiiwezi hiyo kazi.Wananchi ni maskini sana na hawana elimu.Ukisikia kudanganyika kwa kanga na Tshirt ndo huko Singida.....Dewji na jamaa mmoja anaitwa Mazala ni mabingwa wa kutoa virushwa vidogo unapokaribia uchaguzi.
 
Felix mkosamali- muhambwe kibondo hata gombea tena (underperformance), Chiza kajoro- buyungu (underpeformance)
 
Mh Sokwe yeye vip hajatoa tamko maana yule ni jana la Taifa
 
Kuna wabunge pia wa upinzani naona hawafai kurudi tusiweke ccm tu tuwe wawazi kifikra
 
Mkuu Ben Saanane ufugaji nyuki ni sehemu ya mkakati wa kilimo kwanza! Basi amekuwa mfalme wa nyuki, kesho mfalme wa mahindi hadi mwisho kabisa mfalme wa kilimo kwanza!

Mkuu Kimbunga,

Pinda anajulikana kama Mfalme wa Nyuki huko Katavi.Alitawazwa Rasmi katika hafla ya kuuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013.Alinyijakulia Tuzo ya kuwa Mfalme hodari wa Nyuki....Tuheshimu Tuzo za watu.Soma hapa

MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Pinda apewa tuzo ya Mkoa wa Katavi *Atangazwa rasmi kuwa Mfalme wa Nyuki
 
nami nimsubiria wa jimbo langu atoe tamko nijipange nichukue jimbo hATA KAMA hataki tutapambana ndani ya chama maana mwelekeo wa chama c mzuri ndani ya wilaya mbunge anaonekana kwa nadra jimbon makazi yke ni ARUSHA WAKati wananchi wa jimbo walimwamini vya kutosha mwaka 2015 madiwani 15 na ccm 17 c mwingine namzungumzia MHE akonaay MUSTAPHA -jimbo la mbulu(chadema).
 
Lazaro Samwel Nyalandu-Singida Kaskazini na Alhaji
N:B Anne Kilango mtoeni kwenye list maana ni mpambanaji.Atatufaa wakati chama chao kikiwa cha upinzani.
 
Mkuu Kimbunga,

Pinda anajulikana kama Mfalme wa Nyuki huko Katavi.Alitawazwa Rasmi katika hafla ya kuuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013.Alinyijakulia Tuzo ya kuwa Mfalme hodari wa Nyuki....Tuheshimu Tuzo za watu.Soma hapa

MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Pinda apewa tuzo ya Mkoa wa Katavi *Atangazwa rasmi kuwa Mfalme wa Nyuki

Mkuu Ben nalijua hilo kwamba ni mfalme wa nyuki kwa maana ya kuhamasisha ufugaji wa nyuki na siyo kwamba ni mfalme wa nyuki yaani nyuki mkubwa! Ndio maana nikasema ufugaji nyuki ni sehemu ya mkakati wa kilimo kwanza kwa hiyo ameanzia ufalme wa nyuki, kesho wa mahindi, keshokutwa wa ufugaji samaki, nk, nk hadi atakuwa mfalme wa kilimo kwanza. Anaenda incrementally !!!
 
Wabunge kadhaa tayari wametangaza kustaafu au kuacha kugombea nafasi za Ubunge mwaka 2015. Kila mmoja akiwa na sababu tofauti ila wengi inaonekana ni kiwewe cha kushindwa baada ya kugundua kuwa wameshindwa kuwasaidia wapiga kura wao. Wengine ni uzee, au kujipanga na kugombea Urais kwani katiba ya sasa hairusu kugombea vyote kwa wakati mmoja, na wengine ni kuzongwa na kashfa na ufisadi. Wengine wameamua kubadilisha career nk. Kila sababu walau inaonyesha swala la kung'ang'ania ubunge linaanza kupungua kadiri miaka inavyokwenda. Wananchi ongezeni kasi ya kudai haki zenu na kuwawajibisha wabunge na serikali ili kasi ya mendeleo ipatikane na wavivu na walaghai wale kona.

Majina ya ambao tayari wametangaza kuachia ngazi na majimbo yao

1. Mustafa Mkulo -
2. Bernad Membe- Mtama
3. Zitto Zuberi Kabwe- Kigoma kaskazini
4. Anna Makinda--- Njombe
5.Mizengo Pinda --Mpanda
6. Samweli Sita -----Urambo Mashariki
7. P. Ndesamburo -----Moshi Mjini
8.
9.
10.
11.
12.

Majina ya ambao hawafai kurudi Bungeni 2015 kwa uzembe/uvivu/tuhuma/mzigo kwa taifa/hawana mchango/hawana sifa wala
uwezo na ufisadi

1. John Komba
2. Karamagi
3.Maji marefu
4.Sofia Simba
5. Ngeleja
6.E Lowassa
7. David Mathayo
8.Cyril Chami
9. Anna Kilango Maleccela
10.Shukuru Kawambwa
11.Andrew Chenge
12.
13.
14.
15.

Nitaendelea ku-Update list na kuiweka live mpaka 2015. Stay on your words.
professor maghembe anafuatia hapo vinginevyo magwanda wanachukua kwa ulaini
 
Dr. Hamis Kigwangalah Nzega
Lameck Airo Ryorya
 
Kuna haja ifanyike critical analysis kutambua ni mbunge gani tunamhitaji arud na nani hatumuhitaji, Mimi naona kuna wabunge wengi ambao majimbo yao wengi wetu hatuyajui kabisa hasa huko pembezon mwa nchi,basically, utakuta wabunge hao hakuna wanachofanya ila sema inaccessibility na lack of information on their performance ndo inawaokoa. Huko nadhan hata M4C huwa haifiki na hata ikifika ni rasharasha tu. Hatuwezi kuikomboa nchi kutoka kwa maCCM kama jitihada zetu km chama zimeconcentrate kwenye miji mikubwa. Huku kwenye miji mikubwa hata usipowahutubia,wapiga kura wanasikia na kuona live utumbo unaofanywa na serikali. Huko mbwinde ndipo kuna dire need ya kuelekeza nguvu na kupiga kambi ya kudumu.

Kuna haja sasa chama chetu kifanye studies kubaini likelihood ya kupoka jimbo toka kwa maCCM na pia kuidentify potential areas za kuelekeza nguvu ili kukusanya majimbo hayo. Majimbo yapo mengi sana coz wabunge wa kuchaguliwa ni almost 240, hapa hata tukitaja we can hardly mention 50% ya majimbo hayo, meaning, majimbo mengi hayafahamiki na hivyo hata performance ya wabunge wake haifahamiki. Mtu anaweza akawa anatoa povu bungeni, ila ukienda kwenye jimbo lake utaona huruma.

Approach ya sasa ya M4C ya kuwaachia viongozi wa maeneo husika wasambaze ujumbe wa m4c kwenye kata na vijiji vyao, inaweza isiwe effective sana. Kuna haja hili lifanyiwe utafiti wa kina. Ni very simple, angalien/hesabun watu wanavyorespond kwenye mikutano waliyopo viongoz wa kitaifa na ile ambayo hakuna viongoz wa kitaifa bali mikutano inaongozwa na viongoz wa maeneo husika. Then detailed analysis inaweza ikafwata kuhoj wananchi kwann wamehudhuria/kwann hawajahudhuria mkutano husika etc. Utafiti wa aina hii ni muhimu sana kwa ustawi wa chama.

Chama hakina budi kiinvest handsomely kwenye tafiti mbalimbali ili kiwe na first hand information. Kwa mfano si vyema kumsimamisha mgombea wetu kwenye jimbo flan wakat hakuna utafiti wowote uliofanywa na chama au mgombea katika eneo husika. Remember, Matokeo yanakuwa determined na mawazo ya wapiga kura, they way they strongly believe on the candidate and part as well as actions taken by the part towards good results. Tukitaka kuchukua majimbo kwa mtindo wa bahati nasibu, it will take ages.
 
Back
Top Bottom