Swala la idadi ya wabunge tulishalisemea sana hata wakati wa wapinzani. Ktk Sera yaChadema mwaka 2020 tulipropose Serikali ya majimbo. Wabunge wasiozidi 100 tu. Hii inaendana na .atakwa ya wananchi ktk Rasmi ya katiba mpya ya warioba.kujadili jambo kwa kutumia furaha sana au uchungu sana hutoa matokeo yasiyofaa.
leo hii tunaona wabunge 600 hawafai, sababu si robo wala 1/8 wanatoka upinzani, ni sababu hakuna kabisa mbunge kutoka upinzani. inawezekana kabisa tungekuwa na wabunge 300 wa upinzani story zingekuwa tofauti....