Wabongo tulichekwa bure! Kumbe hata wakenya nao!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Miaka ya nyuma kdg alikuja mzungu akatengene sinema ya docmentary,ikionyesha wabongo hasa kanda ya ziwa wakila mabaki ya sangara toka viwandani, maarufu mapanki! Kumbe hata wakenya hali imewakumba! Source Citizen tv! Leo saa moja!
 
tena kule naona hali ni mbaya zaidi.......wanawake inawabidi wajiuze ili wapate mapanki.......
kweli muosha huoshwa......walitucheka sana enzi zile
 
Ni upuuzi kulinganisha umasikini wa nchi yako na jirani zako wa kiafrika. Nilifikiri ungesema ''kumbe hata wafaransa wapo hivi?'' na hasa ukizingatia kuwa ile filamu ilitengenezwa na ''mzungu'' wa kifaransa.
 
Tabia ya waswahili ni kusema bora tukose wote......roho mbaya tu...wamekaa kumwombea jirani yao njaa kisa wao wana njaa!
 
Hapo sasa! Halafu sijaona kabisa uhusiano wa ile filamu na wakenya.
 
Miaka ya nyuma kdg alikuja mzungu akatengene sinema ya docmentary,ikionyesha wabongo hasa kanda ya ziwa wakila mabaki ya sangara toka viwandani, maarufu mapanki! Kumbe hata wakenya hali imewakumba! Source Citizen tv! Leo saa moja!

Darwin's nightmare. That was the truth wasn't it? Let them laugh.
 
Two wrongs do not make a right, your neighbor's poverty does not make you rich.
 
karibu tena,tuendelee na muktadha..tabia za utoro hazifai.

teh teh teh! Kwi kwi kwi abh! Matumbo bhana, unachekesha kweli! Mi nilirudi nakuta umejikunja ktk kidoro chako cha futi mbili na nusu na mbu kibao wamekuzunguka nikasepa! Unafunguka saa hizi! Lete muktadha nipo gado sasa! Nasema na narudia tena walitucheka mno! Hilo halina ubishi wakasahau methali ya "mwenzako akinyolewa..."!
 
sasa mbona ukunistua?kuna siku utaitiwa mwizi kuchungulia mageto ya watu..by the way geto kwangu nafuga mbu,na huo ndio ubinadamu..kila mtu akiwafukuza wakale wapi na hawana mashamba?
 
teh teh teh! Angalia usipate maralia sugu. Ntazuka mida mida,nawahi bar!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom