Wabongo true love sio asili yetu

Wabongo true love sio asili yetu

Kweli hii ipo sana, kwa both men and women. Nafikiri ni kukosa uelewa tu; wengine wanafikiri ndio anakupima kama unampenda kweli au sijui anataka tu uone kuwa hujampata kirahisi, amekusumbua! Unaweza kusema pia ushamba na ulimbukeni unahusika hapa. If you can, jaribu kumpunguzia attention uone atafanyaje...ila uwe prepared inaweza ikakuumiza zaidi!

Good advice,kutokuelewa kwa wengi wetu(wao)ndio sababu ya yote hayo!
 
Bitter truth

Nimegundua, kwa mwanamke ili uishi bila presha, bora kukaa na mwanamme anayekupenda saana
Mwanamme kama hakupendi, atakufanyia vitimbi kama nini, huwa hawajifunzi kupenda

hahaha pole...kashakuona wakawaida ndio maana....he never loved u tto begin with.
 
Bitter truth

Nimegundua, kwa mwanamke ili uishi bila presha, bora kukaa na mwanamme anayekupenda saana
Mwanamme kama hakupendi, atakufanyia vitimbi kama nini, huwa hawajifunzi kupenda

hahaha sawa anakupenda sana lakini kama wewe humpendi mwisho utaona kero tuu na utaanza kutoka nje....matters of the heart are tricky kusema kweli
 
Hujapata sehemu husika ndo mana.. Ipo tena icyosemekana Nina ushahidi na wengi.. Km koooote ulikopita haujapat , vuta subira atatokea ulopangia atakupenda mpaka utaona ni kero.. Ucogope umri kwani, "ITS NEVER TOO LATE 2 LOVE OR 2 BE LOVED..
This is true!
 
Vipi na wewe emeshakaliwa kooni na mtu nini? Mi nawaza kukimbia ili nikipata mwingine nimkazie.

ah mapenzi ni kamali, ukiona leo umeliwa unajipanga upya ili kesho ucheze vizuri karata zako. Ila sasa hakikisha hufilisiki kwenye hii game.

pili, wewe upo kwenye relaltionship tu ila unaichukulia too serious wakati hata ndoa zenyewe watu hawachukulii serious hivyo maana waweza pata stroke bure.

take it easy, we imagagine tu kwamba unacheza karata tena ule mchezo wa LAST CARD then mtu kalamba kadi zako zeto, hapa changa upya karata anza another game ikibidi kucheat ili ushinda we fanya tu, ur too young to be serious
 
Sio bahati, ni kutumia akili badala ya moyo
Mwanamme kama hakupendi kivile wew kwake utakuwa sex partner tu, hawezi jifunza kukupenda sanasana atakuheshimu tu. Ila siku akikuchoka hakuna njano hutaiona

Ngastuka mapema, nkajinyakulia yule anayenipeeeenda, afu mie kawaida
SO nakula shushu tu

Bahati yako ila wengi wetu tuna huu msiba wa mijanaume isiyo na fadhila
 
ah mapenzi ni kamali, ukiona leo umeliwa unajipanga upya ili kesho ucheze vizuri karata zako. Ila sasa hakikisha hufilisiki kwenye hii game.

pili, wewe upo kwenye relaltionship tu ila unaichukulia too serious wakati hata ndoa zenyewe watu hawachukulii serious hivyo maana waweza pata stroke bure.

take it easy, we imagagine tu kwamba unacheza karata tena ule mchezo wa LAST CARD then mtu kalamba kadi zako zeto, hapa changa upya karata anza another game ikibidi kucheat ili ushinda we fanya tu, ur too young to be serious

Kweli kabisa ila tatizo moyo wangu unachukia kuvuliwa nguo na wanaume wengine,najioana kama wanauvua utu wangu.
 
ah mapenzi ni kamali, ukiona leo umeliwa unajipanga upya ili kesho ucheze vizuri karata zako. Ila sasa hakikisha hufilisiki kwenye hii game.

pili, wewe upo kwenye relaltionship tu ila unaichukulia too serious wakati hata ndoa zenyewe watu hawachukulii serious hivyo maana waweza pata stroke bure.

take it easy, we imagagine tu kwamba unacheza karata tena ule mchezo wa LAST CARD then mtu kalamba kadi zako zeto, hapa changa upya karata anza another game ikibidi kucheat ili ushinda we fanya tu, ur too young to be serious
How poor!hivi ku-cheat ni rahisi kiasi hicho?mi nadhani hii habari cheating sio mpango,kuna maisha mazuri ya mahusiano pasipo kudanganyana.....
 
Sio bahati, ni kutumia akili badala ya moyo
Mwanamme kama hakupendi kivile wew kwake utakuwa sex partner tu, hawezi jifunza kukupenda sanasana atakuheshimu tu. Ila siku akikuchoka hakuna njano hutaiona

Ngastuka mapema, nkajinyakulia yule anayenipeeeenda, afu mie kawaida
SO nakula shushu tu

Hata huyo wangu niliona ananipenda sana akanikusanya nikajitoa moyo wangu kwa ujumla nahisi hapo ndio nilipokosea.
 
How poor!hivi ku-cheat ni rahisi kiasi hicho?mi nadhani hii habari cheating sio mpango,kuna maisha mazuri ya mahusiano pasipo kudanganyana.....

Hata mimi naona nimzigo kucheat ndiyo maana nalia na huyu msumbufu wangu.
 
May be, may be not

Mie naamini angalau wanawake wanaweza ku-fake ama growing to love, ndio maana zamani mwanamme ndio alikuwa anachagua kuoa anayempenda afu mwanamke anakutana naye siku ya ndoa.

Na hata akikuchoka kama unampenda, kuna uso wa haya kiaina, though doesnot work for everybody

hahaha sawa anakupenda sana lakini kama wewe humpendi mwisho utaona kero tuu na utaanza kutoka nje....matters of the heart are tricky kusema kweli
 
Ujue upendo inabidi uupime kwa 3D

Vinginevyo utakonda, ila kumbuka hili ni funzo tu
Ukivuka hapa hutakaa ubabaike kirahisi tena, maisha ni darasa kila siku

Hata huyo wangu niliona ananipenda sana akanikusanya nikajitoa moyo wangu kwa ujumla nahisi hapo ndio nilipokosea.
 
Hata mimi naona nimzigo kucheat ndiyo maana nalia na huyu msumbufu wangu.

Kucheat hapana ila jipange kwa inshu nyingine...kuendelea pia kusumbuana na huyo mtu ww ndo unaumia yy anakula maisha.Tena watu wa aina hyo wanafurah kuona mtu anasumbuka kwa ajil yke.
 
Ndiyo maana nikasema wabongo wengi true love hatuiwezi.
Kwa haraka haraka tu inaonekana we una I mean u have a good heart!its just Huyo pipo Ana-abuse pendo Lako,pamoja na yote mi siamini ktk kuishi kwa cheating na maisha yasiyo ya kujali simply kwa sababu ya kuzinguliwa,zungumzeni Kama hatoelewa let go of him ,sometimes love means letting go of what we love so much!........
 
May be, may be not

Mie naamini angalau wanawake wanaweza ku-fake ama growing to love, ndio maana zamani mwanamme ndio alikuwa anachagua kuoa anayempenda afu mwanamke anakutana naye siku ya ndoa.

Na hata akikuchoka kama unampenda, kuna uso wa haya kiaina, though doesnot work for everybody

philosophy ya wahindi...u marry first then love grows au sio.
 
Hata mimi naona nimzigo kucheat ndiyo maana nalia na huyu msumbufu wangu.
Pole beauty!just be strong kila relation Ina changamoto zake,lkni mtu anayecheat he/she lost respect for himself/herself na kwa mwenzie,hivi Kama mtu hatosheki nawe nw ,itakuaje once married?in case hii kitu yenu ni ya kulast long!.........mi siamini kama mtu wa kucheat anadeserve any second chance ....
 
Back
Top Bottom