Kiss FM ni moja kati ya media inayopromote kwa kasi sana imani ya ushirikina na uganga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
Wakati serikali ikipambana dhidi ya Imani za kishirikina pamoja na Imani potofu Kuna media/redio inayoitwa kiss FM ikirusha matangazo/tangazo lenye nusu saa nzima lenye maudhui ya mganga mwenye uwezo wa kuwasaidia watu wenye matatizo.

Hili tangazo ukilisikiliza Kuna watu wanatoa ushuhuda namna walivyosaidiwa na mganga.

Kuna watu walikua wagumba wakazaa, Kuna watu walikua hawana kazi wakapata kazi, nk.

Media kusambaza jumbe Kama hizi katika jamii ni hatari sana maana jamii itaendelea kutumbukia katika kiza kinene Cha Imani Potofu.

TCRA iingilie Kati/ iweke maelekezo katika media kuhusu matangazo yenye negative impact kwani jamii inakufa kifikra maana redio zinawasikilizaji wengi sana haswa vijijini.

Juzi juzi tulisikia Vifo vya watoto Mapacha waliopelekwa kwa mganga ili wakuziwe matiti mwisho wa siku kikatokea kifo hii ni hatari sana.

Nawasilisha hoja.
 
Redio nyingi watangazaji wanapiga umbea wanaexpose Mambo Yao binafsi na zaidi kuhamaisha kucheza kamari yaani zimekuwa hovyo
Value ya redio imepotea
 
Back
Top Bottom