suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Uwiiiiii😱
ukiwaona huwadhani kazi kusema wenzao....ya kwao hawayaoni wana aibu kibao
Uwiiiiii😱
#mamafacebook una washaili pembeni kama sjakosea
Mwenzio ndorobo kasepa kwa
d:d:d:d
Umekubali eeh?
hivi watu waamue kweli kukuchamba we si utahama mji..... hebu nyamaza tunyamaze
Nimenyamaza mama nyamaza
mamaafacebook hivi unatokea mitaa gani maana hiyo misemo heheheh
mpaka nimetamani kula ugali na maharage
Ahhha mida hii nipo tanga mitaa ya bombo area
Tanga kunani??? Kuna jipya huko?! Nimeondoka siku mingi kidogo
Hakuna jipya
ooh salamu zao forodhani, jet, na tangamano
daah kweli wabongo mna misemo, loh! manake nimejikuta kila mahali nataka kugonga like tu
mamaafacebook uko vizur hii ni mipasho loooo