Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
mwanaume ni kumwaga ndani, "withdrawal" achia atm..!!
lol...................
mwanaume ni kumwaga ndani, "withdrawal" achia atm..!!
chuki si solution ya kunipaka machafu....... na si mkidole machoni kama utanipa upofu
Mla mla leo mla jana kala nini?
anaenithamini ndie ninaemjali umeniona wa nini name potelea mbali
Kwa mjomba hakuna urithianaenithamini ndie ninaemjali umeniona wa nini name potelea mbali
Kwa vyombo wewe! nakupa pongezi.
Haya mimi hapo chini nakuja na hii:-
Kwa mjomba hakuna urithi
Umaridadi huficha umasikinihata kama tupo mia mie ndo pepo yake ya dunia
lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na kujumlisha kuna 'x' na kuzidisha hahaUmaridadi huficha umasikini
Uki-delete,mie naformat
Nitaipitia soon
Kuna watu wa pwani huku naona wanatiririka
umeshindwa kurusha vocha utaweza kurusha roho!!
aiseeh.....!
Zawadi hii ni yako nakukumbuka mwenzakolazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na kujumlisha kuna 'x' na kuzidisha haha
Zawadi hii ni yako nakukumbuka mwenzako
anaependa kukusema usimseme mgeuze big g umle umteme
kwake mm malkia taji ameshanivika
hata mnichukia bure tahangaika
umeshindwa kurusha vocha utaweza kurusha roho!!
kama unataka kutamba ngojea taa zizimwe.....
kwnye mwanga huna nambanguo zenyewe mpaka azimwe............
ahhah unanichosha bana