unaenisubiri nishuke tafta kiti ukalie maana utasimama saanaSikuchoshi bana, wewe mwenyewe unafahamu fika kuwa mimi sikukaribii hata theluthi linapokuja suala la vyombo.
Mimi nakuchokoza tu ili utuwekee vyombo. Tunapata burudani kutoka kwako.
Hebu angalia ulivyoshuka vyombo kama hauna akili nzuri.
Haya hapo chini nakuja hivi:-
Mchumia juani hulia kivulini
Ngoma ya kitoto haikeshiunaenisubiri nishuke tafta kiti ukalie maana utasimama saana
Ngoma ya kitoto haikeshi
Ukitaka kujua usiku mfup jikojolee ugenini
Cheka sana lakini omba yasikukuteUkitaka kujua usiku mfup jikojolee ugenini
Usijisifu una mbio.......msifu anae kukimbiza..........
Hawakawii kifirisi ukabakia na UPEMIUkibebwa kunja miguu.......
usilete jeuri........na hela ya mkopo...........
ulishndwa asbh na mwanga wa mungu utaweza jioni na mwanga wa mzungu?