suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Anaweza, mimi mwenyewe namchombeza tu ili alete vyombo
Haya tuendelee mimi naanza na hii:-
Alaaaaa kumbe
Nikinyamaza mwacheka
Nikisema mwateta
Je nikiimba si mtaniweka ringtone kila saa tararira pararira