suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Unachikisusia wenzio wanakitafuta
ukinipenda ntakupenda ila kujipendekeza sio fani yangu
Unachikisusia wenzio wanakitafuta
1. Gari la kuvutwa haliovateki.
2. Mganga haagizi tembele.
3. Wimbo wa taifa haupigwi
disko.
4. Feni haiwashwi beach.
5. Mbwa hanenepi miguu.
6. Mjini shule, kijijini tuition.
7. Heshima pesa,shikamoo
makelele.
8. Hata bibi alikuwa kijana.
9. Mshikaki hauchomwi kwa
jiko la gesi.
10. Kipara bila pesa ni kovu.
Mshikaki hauchomwi kwa jiko la gesi,....hata bibi alikuwa kijana
Hata saa iliyosimama kuna wakati inasema kweli!
nikikujibu litakuchefua nimenyamza linakusugua
Binamu maneno gani haya....
mamaafacebook nimekuvulia kofiakumueka na ukalala nae sio fani................fani kujua kucheza nae
mamaafacebook nimekuvulia kofia
Wewe hii naona idara yako sikuwezi.Ahhha chukua hiii
Chukieni mpendavyo semeni mtakavyo
Waja ndivo mlivyo na mim ntabaki kama nilivyo
Ahhhahhhaaaaaa binamuuu nimekumiss kweli
binamu majukumu yamenibana sana, aningi kwa kwa beep sana, wajua escrow tena .....Shida tupu
Wewe hii naona idara yako sikuwezi.
Ngoja na mimi nikuongezee hii:-
Wape wape vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yao - KHADIJA KOPA(Malkia wa mipasho)
Endelea kuweka vyomba mimi vyangu vya kubabaisha vimeisha kila nikifikiria sipati chombo cha kuweka.Nina utamu wa kuku naliwa hadi mifupa
Utajiju ww mwenye utamu wa samaki unaliwa miba inatupwa
Endelea kuweka vyomba mimi vyangu vya kubabaisha vimeisha kila nikifikiria sipati chombo cha kuweka.
Babu jinga inama ufikiri mali yako inaliwa - Mzee Majuto