suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
huyu mama atakuwa anaimba taarabu si bure, manake loh!
Bahati mbaya taarab na mim n.vitu viwili tofaut
Nichambe nikunyambe uone changu kimbembe
huyu mama atakuwa anaimba taarabu si bure, manake loh!
Bahati mbaya taarab na mim n.vitu viwili tofaut
Nichambe nikunyambe uone changu kimbembe
Forofhani ndo mitaa yangu ya kupoteza mawazo full kijiachiaaa na kale ka upepo mwanana usijali zimefika
poleni nasikia stendi imehamishiwa kange
Mbona muda sana na tangamano itaenda nema
Aisee itakua balaa tangamano tuifate nema??? Ila forodhani wasiihamishe tu
Ahhha mida hii nipo tanga mitaa ya bombo area
Mwenzio ndorobo kasepa kwa
d:d:d:d
Ukichezea kokiii utaloaaa
Ukichezea kokiii utaloaaa
Iba uibiwe
Kuuuumbeee!!
Ndo maana!!
hata samaki avuliwe vipi hawezi ishinda chupi
Una hila ya jipu kujiotea popote