Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana.
Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia wasafirishaji wa mizigo yangu toka Dar kwenda mikoani. Imagine mzigo wa Dar - Tunduma unaweza chukua hata wiki 2 haujafika..!!! Inasikitisha, inafadhaisha, inakera na kuudhi sana. Hata wasafirishaji wazawa kutoka China - TZ wengi wao ni matatizo matupu. Mizigo inachelewa na huduma mbovu mno. Simu hazipokelewi na zikipokelewa ni majibu ya kibabe na kihuni.
Ukimtoa Silent Ocean ambayo ni kampuni ya wazawa wenye asili ya Asia, hizi zingine ni takataka ila ndo tunakuwa hatuna mbadala.
Sisi wazawa huwa tunachukuliaje suala la muda? Yaani mbongo kitu cha kufanya leo atajivuta na kujisubirisha hadi kesho. Kama ni Ijumaa atakwambia "Tutafanya Jumatatu"... pia utakuta mtu mdhambi kinyama ila atasingizia Jumapili hafanyi kazi ni siku ya kuabudu. Tusipojirekebisha tutaendelea kuwa maskini milele.