mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,950
- 131,283
Kiingilio bei gani??Karibu kwenye chama. Mbona kwenye vikao vyetu kina dada wengi tu.
Sare nazo unagawa bure??
Chama kina faida gani??
Kiingilio bei gani??Karibu kwenye chama. Mbona kwenye vikao vyetu kina dada wengi tu.
10% ni lazima kutoa wala siyo ombi kama michango ya kanisa n.kSIFUNGI, SADAKA NATOA KWA WASIOJIWEZA NA WAHITAJI HATA MITAANI WAPO SIO LAZIMA NIMPELEKEE 10% MCHUNGAJI
Unataka umtapeli mtoto wa watu , wewe janja sana😁😁Mimi sikihitaji
Kwanza lazima ule kiapo kabla ya kujiunga kwamba hutoolewa wala kuoa.Kiingilio bei gani??
Sare nazo unagawa bure??
Chama kina faida gani??
Hivi mnaposema ndoa ni ajira kwa mwanamke huwa mnamaanisha nini, like jukumu la mwanaume kwenye ndoa linatakiwa kuwa lipi, sababu majukumu ya mwanamke tayari yanajulikanaNdoa ni kujipa stress.
Ndoa ni utapeli.
Ndoa itakuharibia maisha yako.
Ndoa ilikuwa zamani sio hiki kizazi cha AI.
Ndoa ni ajira kwa mwanamke.
Kama walivyosema ikimbieni zinaa, basi ikimbie ndoa hivyo hivyo.
Ipo tofauti kubwa Kati ya kuacha na kufukuzaKwahio hakuna utofauti
Mbona ipo wazi.Hivi mnaposema ndoa ni ajira kwa mwanamke huwa mnamaanisha nini, like jukumu la mwanaume kwenye ndoa linatakiwa kuwa lipi, sababu majukumu ya mwanamke tayari yanajulikana
Mkuu wanawake wanaofanya hivyo lazima kuna mambo yalipelekea kuwa hivyo iwe kapitia yeye mwenyewe au kayaona kwa wanaomzunguka, wameshajua siku hizi wanaume hawana mapenzi ya dhati hivyo nao wanakaa kwenye uchumba au ndoa kwa kujihami, fikiria unakaa na mtu anayeongea kauli kama "mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja" au "mwanamke akizingua kidogo tu piga chini tafuta mwingine wanawake ni wengi sana"Mbona ipo wazi.
Wanawake wengi ni hypergamy na hilo liko wazi, wanataka kuolewa na mwanaume mwenye status ya juu au ana pesa, sasa unaweza elezea kwa nini wanawake ni hypergamy?
Wanawake wanageuza wanaume kama sehemu ya kujipatia kipato, unakuta mtoto anaumwa dawa elfu tano mwanamke anasema elfu 50. Inabidi utoe.
Mwanamke hata awe ana milioni 100 bank, anataka na laki yako moja ailambe japo ndio umebaki nayo.
Mwanamke unampa pesa nyumbani wale vizuri, anapika vyakula vya ajabu kisa atunze pesa ajenge kwao pasipo kukushirikisha.
Wanawake ni wabinafsi na hilo silaumu ndivyo walivyo umbwa its just a fact of female nature, kazi ya mwanaume kwa mwanamke ni kum entertain muda wote awe na furaha
It doesnt mean to hate them for it or start being bitter and angry towards them.
Wanawake wanajijali wao tu, they care about their own needs being met, they care about their own survival.
Mwanamke hajali eti mapenzi uliyoweka kwake na kutia kwako huruma, miaka mliokaa pamoja, kiasi gani cha pesa mmetumbua pamoja.
Mwanamke anchojali ni kupata mwanaume wa hadhi ya juu kuliko wewe, seeking out the highest value male.
Ukiona mwanamke anakupiga jicho flani hivi, dirty look au dharau flani, jua kabisa ni kiashiria tosha kwamba you are not her first choice.
Mwanamke anachojali ni vitu gani utampa na kumfurahisha, kumsisimua , yani mwanaume ni kama mshehereshaji , mwanaume anakuwa mburudishaji. Kumfanya mwenye furaha muda wote. Siku akitokea jamaa anakuzidi, mwanamke anakuacha na hatoangalia ni miaka migapi au vitu vipi uliwekeza na kutia kwako huruma wanakuacha.
Naongea ukweli mchungu .
Nimepita relationship nyingi, hakuna mtu ataniambia kuhusu navyofahamu wanawake, nime experirnce pia kwa ndugu na rafiki wa karibu, na likija suala la kuwasoma akili zao nishawaelewa kitambo sana na umri wangu wa ujanani kabla sijazeeka.
Na date nao kama kawaida tena hot girls, na mahitaji natoa kama kawaida kwa sababu najua ni nature yao, siwezi badilisha.
Nazidi kusisitiza sidharau wala kuchukia mwanamke lakini nachosema ni uhalisia
Mimi singagi, mwaka WA 15 huu, anaenda ni mwanamkeUkishaenda kanisani ambako watu wanakulazimisha kufunga ndoa kinyume na maoni yako tu unakosa haki ya kuwaambia watu wasikariri maisha.
Kwa sababu hata wewe itaonekana unakwenda kanisani kwa kukariri maisha.
Kanisani kama.ninsehemu ambako watu wanaamini katikankufunga ndoa, na wewe huamini katika hilo, kwa nini bado unakwenda na kuwaharibia watu imani zao?
Kama ni lazima sana kwenda kanisani angalau atafute kanisa lililoendelea kidogo ambalo halina watu washamba wanaowapa watu pressure za ndoa.Mimi singagi, mwaka WA 15 huu, anaenda ni mwanamke
Wapendwa wanapenda kukalia wenzako kooni sana, wanajiona wamemalizaKama ni lazima sana kwenda kanisani angalau atafute kanisa lililoendelea kidogo ambalo halina watu washamba wanaowapa watu pressure za ndoa.
Suala la ndoa no suala la mtu binafsi.
Mbona Yesu hakuoa na kanisa zima linamfuata?
Pole, ndio uhalisiaHii thread imenisikitisha sana
Siku nikifa, ndio mfano mnaouona, kwahyo ndoa ni Kwa ajili ya mtu akifa tuu ausioWewe na demu wako mnaishi matu matu ...kuoa sio lazima ila angalia siku ukifa na hao watoto wa nje na hakuna ndoa hapo.
Na hicho ndio kinazid kufanya nisimamie msimamo wangu, mna vitisho sanaFunga Ndoa acha maneno mengi, ipo siku utajua nini maana ya kushiriki mambo ya Kanisa bado hujapatwa na changamoto.
Bora we una msimamo wako sio rahisi kutapeliwa
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Hawa watu wanachekesha sana, huku wameambiwa wasihukumu wenzao na yule asiye na dhambi ndiye awe wa kwanza kurusha jiwe, huku hawaishi kutupa mawe.Wapendwa wanapenda kukalia wenzako kooni sana, wanajiona wamemaliza
Mkuu,Funga Ndoa acha maneno mengi, ipo siku utajua nini maana ya kushiriki mambo ya Kanisa bado hujapatwa na changamoto.
Hapana lazima uendane na jamii yaani kama hufuati dini ni sawa ila ndoa ni muongozo hata wa kiserkali..Siku nikifa, ndio mfano mnaouona, kwahyo ndoa ni Kwa ajili ya mtu akifa tuu ausio
Siyo kuogopa ila napenda.Mkuu,
Kwa hiyo wewe kimsingi unashiriki mambo ya kanisa kwa kuogopa kupatwa na changamoto bila ya kuwa msharika wa kanisa?