Wabongo acheni kukariri maisha


Hii kampeni ya kataa ndoa inakuja kwa Kasi Sana. Ila bado ndoa itasimama.
 
Kubali mawili. Uwe mwanamke,uendelee kwenda. Au uwe mwanaume,simamia unachokiamini.
Unapiga sound ili usiende? Hujiamini! Iko hivi. Kwenda huendi,ila akitaka aende. Akiona hawezi kuishi na wewe,aende. Yupo ambaye nae haendi.
Mkuu yan sitaki nimtoe yeye kwenye beliefs zake moja kwa moja so nlivyosema napiga saund ni namna naongea nae asijisikie vibaya yeye kwenda na asione mimi nimekosea kubaki and it works ,
 
Funga ndoa brother ili wamuunge rasmi kwenye VIKOBA. ..[emoji23][emoji23]
 
Unaweza ukajiona uko sahihi kumbe hauko sasa naanza kukuonyesha namna gani hauko sahihi:-

1. Kila jambo lina utaratibu, na utaratibu ndio unaotengeneza ustaarabu, kanisa lina utaratibu kwamba mwanamke na mwanaume hawawezi ishi pamoja bila kufunga ndoa, kwa hiyo wewe uko nje ya utaratibu, kwa sababu mke wako anasali kanisani na ndiko wanakomwambia akuhimize mfunge ndoa maana ndio utaratibu wa kanisa.

2. Kufunga ndoa hakuna maana kwamba ndani ya ndoa hakutakuwa na migogoro au kupishana kauli huko uwe umefunga au haujafunga lazima mtapishana kauli na kukwaruzana tu.

3. Ili mtazamo na msimamo wako uwe sawa mwambie mkeo asiende kanisani ili wote msisali na kwa hapo hakuna imani itakayokuwa inawaongoza zaidi yenu wenyewe.

4. Kubatizwa, kupata kipaimara hakuna maana kwamba ndio umekuwa mtakatifu na mbinguni utaenda la hasha, ni takwa la kiimani kulingana na utaratibu wa kanisa na bibilia na Yesu anasema lolote lililokubalika duniani na mbinguni limeekubalika, kama una mpango wa kwenda mbinguni basi kubatizwa ni lazima lakini kama hauna mpango sio lazima
 
Ishu Ni kupanick siyo kingine

Ila Kam ujaata kipaimara una tatizo kubwa Ni vyema uanze mafundissho haraka sna jitu Zima Kama wee ujui liturugia Wal upo upo tu ,unadhani hvyo pesa zako zitakusaidi nn ,

Alfu kingine kipimo Cha kufanikiwa wee unakipimaje ?usije kuta umenunua bufa alfu unaazna kuwasema wenzio eti hawana mafanikio

Wee Ni mjinga na hyo ndoa yako haifungwi Hadi ubatizweee na kupokkeaa kipaimaraa
 
Sswaaa kbsaa ushauri murua huu
 
Aliekwambia Mimi nataka kufunga ndoa ni nani??? SIFUNGI NDOA!
Halafu Sasa wale waumini vichwa maji niliokua nawasemea ndio nyie mshaanza kuja wenyewe, eti mtu mzima sijabarikiwa, hizo dini mlizoletewa na wazungu zimefanya mmekuwa wapumbavu sana Yani hamjielewi
 

Najibu kutokana na namba zako

1. Unasema siwezi kukaa na mwanamke bila kuoa kutokana na utaratibu WA kabisa, MIMI NISHASEMA NDOA SIFUNGI! Mnanilazimisha??

2.migogoro ndio upo sijasema kua hakuna ukifunga ndoa, hat usipofunga migogoro ipo! Lakini NDOA SIFUNGI

3. Mke yeye ni uamuzi wake, akitaka aende asipotaka asiendehiyo simkatazi, Mimi naamini Mungu yupo na ndie nnaemtwgemea lakini KANISANI SIENDI

4. Sibatizwi, wewe mababu zako kabla ya ujio wa hizo dini walibatizwa vipi? ACHENI kua watumwa WA Imani huo ni upumbavu
 
Hivi, wewe labda,kubatizwa na hicho kinagaubaga chako,vimekusaidia nini maishani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…