FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 733
Home ni home hata kama ni shambani au pangoni, ukiwa home popote unapoenda unapata heshima yako. Majuu hata ukiwa na pesa na kama hujulikani ukienda viwanja vya juu bado hupati heshima au kuthaminiwa kama mtu mweupe.
Hapana. Hiyo siyo absolute. Hapa Tanzania unapata heshima ukiwa fisadi. Ukiwa mwizi mwizi, tapeli tapeli. Ndio watu watakuona wa maana na kujipendekeza pendekeza kwako na kukusiliza. Kama unafuata taratibu na sheria utaonekana mjinga tu, huna akili, siyo mjanja, au siyo hustler. Ni akili fupi sana.
Vitapeli tapeli na vijizi jizi vya hapa bongo ndio vinaheshimika. Sisi upstanding, law abiding citizens hatupewi heshima kama wanayopewa hawa wezi na matapeli.
what?au na wewe mmojawapo bro?mafisadi bongo kila kona utayoenda wapo na dili zao za kuumizana tu,utake leseni,pasport,ukiumwa,ukiibiwa yaani ndo utalia maana unaenda polisi kuripoti na kutaka msaada polisi nao wanataka uwahonge tena hapo ndio nnapochoka,acha niitwe majina yote lakini maisha ya bongo mmmh hapana mtanisamehe sana ntajibanza hukuhukuPartly true, ila kumbuka hao mafisadi hawapo wengi..
what?au na wewe mmojawapo bro?mafisadi bongo kila kona utayoenda wapo na dili zao za kuumizana tu,utake leseni,pasport,ukiumwa,ukiibiwa yaani ndo utalia maana unaenda polisi kuripoti na kutaka msaada polisi nao wanataka uwahonge tena hapo ndio nnapochoka,acha niitwe majina yote lakini maisha ya bongo mmmh hapana mtanisamehe sana ntajibanza hukuhuku
Partly true, ila kumbuka hao mafisadi hawapo wengi..
Mkuu, unatania au?
Hapana. Hiyo siyo absolute. Hapa Tanzania unapata heshima ukiwa fisadi. Ukiwa mwizi mwizi, tapeli tapeli. Ndio watu watakuona wa maana na kujipendekeza pendekeza kwako na kukusiliza. Kama unafuata taratibu na sheria utaonekana mjinga tu, huna akili, siyo mjanja, au siyo hustler. Ni akili fupi sana.
kukatika katika kwa umeme na kupanda na kushuka lazima hizo bulb zitakuwa chali tuuuHilo la vitu feki bongo usiseme,wizi mtupu.Mfano hai energy saving bulbs bongo life yake haizidi miezi 3 hadi minne.Nilibahatika kupata free sample energy saving bulbs( British Gas switch to Green Promo )leo miaka bado zinadunda,labelled 10 years life based on 10,000 hours
Wabeba mabox wapo na wala vumbi wapo na waliobeba mabox na sasa wanakula mavumbi pia wapo, pia kuna wala mavumbi wanaokwenda kuwatazama wabeba mabox kila mara.
wala vumbi wanaenda kuwatazama wabebabox kila mara???????? labda mafisadi, wacha uongo.........
Kwa maoni yangu kuishi nchi za watu na kuyamudu maisha, bila 'kupiga' mahali ni kuonesha una akili nyingi. Mazoba hawawezi kuishi nchi za watu maanake inabidi uwe na kila kitu proper in order. Bongo kila kitu slow na ujanja wa kubomoa nchi, na hata hao wanaojiita wana pesa sijui wana-enjoy nini..
Kila kitu kwa misele tu..huduma za jamii ovyoovyo, watu wamenunanuna tu..hata sehemu za 'kujinyoosha' zenyewe mgogoro, achilia mbali vitu katalogi wanakubambikizia feki au wanakuwekea bei za kupiga. Ahh ukiwa nchi za watu salala...wala vitu online, huduma za jamii fresh bin murua, hata kama unaishi maisha ya kati naamini unajichanua kuliko milionea fisadi wa bongo.
Kwanini usiwekeze nyumbani kama Mwakalinga kuliko kusifia sifia nchi za wenzenu...rudi home uwekeze mliopo majuu mkiwekeza home bonda bongo itakuwa tambarare.
Mzee mbona unaleta assumption juu ya assumption? Umejuaje kuwa sipo bongo? Vitu vizuri lazima visifiwe kiwe chako au sio chako, kibaya na kizuri ni kama usiku na mchana na ukweli lazima usemwe.
Chuki ya nini wakati wote ni waTZ. Tupendane tu na tusaidiane. Tuachane na ubishi usiokuwa wa maendeleo. Tuungane kupiga vita ufisadi.Tukae pamoja tuijenge Tanzania yetu.
Taifa linateketea kwa kupoteza nguvu kazi kama wewe rudi ujenge nchi yako using'ang'anie kwenye nchi walizo jenga wenzio rudi uwe mfano wa kuigwa kama Mwakalinga alivyo fanya.
wekezeni makwenu bana!taifa linajengwa na vijana,wataalamu wa nyanja mbali mbali!sio unaenda kusoma ki mastaz chako ukimaliza unaamua kubaki hukohuko UBEBE BOKSI,kisa bongo kuna njaa!.........Kwani kujenga taifa wewe una ku-define vipi? Nachukia sana mijadala isiyosogea!