Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Alienda akiwa na elimu gani? Malengo ya safari yalikua nn?kuna jamaaa yangu alikaa USA zaidi ya miaka 28 amerudi mpaka mitaa ya kwao Buhuruni haikumbuki lakini yupo choka mbaya...kafikia kwa dada yake kapewa chumba cha uani..hana mbele wala nyuma
mkuu huyo nani aliyelala na viatu daining room????? kama namjua hivi. au ndo akili kubwazzzLes Miserables
Kitambo sana, ulipotelea wapi?Yaani ndo umenitelekeza kabsa huku dunia ya tatu ili niendelee 'kula vumbi' eeh? vibaya ivyo
Hahaha Le usingizi mzitoLes Miserables
Aah...ok..Asante Kig kwa kunielewesha.Vijana wengi wa kiafrika waliokwenda ulaya au marekani kazi rahisi kuzipata ni za kwenye maduka na supermarkets. kazi zenyewe zinakuwa hasahasa ni kubeba maboxi ya bidhaa mbalimbali na kuyapanga au kupanga bidhaa vizuri ndani ya duka. inaweza kuwa kubeba box toka store hadi dukani au kutoka sehem moja hadi nyingine ndani ya supermakert. ndio maana hawa wanaitwa wabeba box.
Duuuuh!!!!!!! Kaaaazi kweli kweeeel.Ni kitendo cha kuinama unaacha makalio wazi huku nyuma mzungu anakufanya kitu mbaya! Si unajua unapotaka kubeba mzigo mzito lazima uiname? Mwulize Mzee Mwanakijiji, Nyani Ngabu, King'asti (huyu yeye huwa anashuhudia kaka zake wanavyosota), Le Mutuz yeye yalimchosha akaachia kamba!
Kitambo sana, ulipotelea wapi?
kama hana mbele wala nyuma anajisaidia vipi sasa?/kuna jamaaa yangu alikaa USA zaidi ya miaka 28 amerudi mpaka mitaa ya kwao Buhuruni haikumbuki lakini yupo choka mbaya...kafikia kwa dada yake kapewa chumba cha uani..hana mbele wala nyuma
Ndugu zangu wawili wamesharudi nabanana nao hapa nyumbani kwangu,walichoambulia ni kengereza tu na stori za london hakuna la zaidi
Hahaaa age. Inaelekea kibraaa.....jf bna! Ila wabonggo tunabaniana nakumbuka 2012 kuna gepu limetokea botswana kuhusu mambo ya wanyama (vetinary) washikaj wote walioko botswana nilipowachek no respond....anyway huu uzi umenikumbusha miaka hiyoHahahaa Mkuu umenichekesha sana. Wanagonga ngeli za malikia wakati mfukoni goto hamna. Afu ukute na age nayo inaelekea kibra. Daah mtihani sana.
Kama vile kuchimba makaburi, kuosha vyombo hotelini, kulea wazee kwenye senior citizen homes, house boy/house girl n.kKazi za ovyo ovyo.
Hahaaa age. Inaelekea kibraaa.....jf bna! Ila wabonggo tunabaniana nakumbuka 2012 kuna gepu limetokea botswana kuhusu mambo ya wanyama (vetinary) washikaj wote walioko botswana nilipowachek no respond....anyway huu uzi umenikumbusha miaka hiyo
Ninon Marapachi Managing director Bank of America Merrill Lynch from Tanzania | African Millionaires and EntrepreneursWaliondoka na ndoto za kwenda kupata maisha bora huko ng'ambo. Baadhi yao waliondoka kwa mikogo mingi na kila mtu alijua kuwa wameondoka Bongo. Tuliwaaga kwa huzuni huku tukiwaonea wivu kuwa wenzetu wameukata kimaisha.
Sasa wamefika kwenye capitalist World na wameshindwa kutusua. Wamejaribu mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu mpaka wengine wamejaribu kwa miaka kumi ila mwishowe wamekata tamaa na kuamua kurudi nyumbani Bongo.
Sasa tulitegemea watakaporudi warudi na mali walizochuma huko, ila mwisho wa siku wamerudi na ndoto tu za kuja kuanza kutengeneza maisha huku Bongo.
Tunawakaribisha sana nyumbani, Nyumbani mtu hafukuzwi. Nawakaribisha na wengine walioshindwa kutusua huko ughaibuni mwache kubeba box mje hapa nchin tushirikiane kulijenga taifa. Sasa hivi opportunities nyingi zipo katika nchi zinazoendelea. Wenzetu wako saturated kwa kuwa wameshajitosheleza kwa kila kitu hivyo opportunity mpya sio nyingi na rahisi hasa kwa ngozi nyeusi.
Karibuni nyumbani wabeba box wooote... Njooni mumuone kaka yenu Le Mutuzi huku akitoa mfano wa kuigwa kwenye ujasiliamali...