Wababa wanalalamika kuwa watoto wanawajali mama zao zaidi

Wanaume tunapambana vita kubwa sana isiyoelezeka ili familia isimame isianguke ila ndio hivyo Mchango wa Mama unaonekana sana baadae huko ndio unasikia Nani kama Mama? Wababa tujipige kifua tuseme sisi ni Washindi
 
Sawa.

Vizuri, usijiachie ukizeeka kusema watoto watakusaidia japo ukizeeka pesa sio kipaumbele kama upendo kwa sababu nguvu ya kutafuta na ubunifu za kuongeza pesa unapungua kwa kiwango kikubwa.

Vijana (watoto) wana mambo mengi sana, na wanakuwa biz kupambana na maisha yao. "UPENDO HAMISHIA KWA WAJUKUU" kufill gap.
Nakubaliana na wewe mkuu.

Mie majukumu yangu kwa watoto ni kuwaandaa kujitegemea hili watumze familia zao. Yani kuwapa elimu na kuwafundisha mbinu za kufanikiwa kimaisha.

Hakuna kitu sikipendi kama kuona watoto wanagombea urithi au kutegemea urithi. Mie sitaki mali yoyote ya wazazi wangu na nishawaambia kama kuna kitu natakiwa kupewa wampe dadangu.

Na swala la kuzeeka pia tunatakiwa kuanza kujiandaa sasa hivi. Nguvu tulizo nazo sasa hivi kutafuta kipato hatutakuwa nazo baadae. Kwahio ni muhimu kutenga fungu ambalo litatulinda baadae tukizeeka badala ya kusubiri kutegemea watoto wetu.
 
Hii hali wababa mnaijenga wenyewe. Hivi baba ulishawa kutaka kujua mwandiko wa mtoto wako, rafiki zake au hata mwalimu wa mtoto wako. Mapenzi si pesa tu unaziacha nyumbani. Kujenga bound na mtoto, unajenga mazoea ya kumuogesha hata mara moja kwa wiki tangu anazaliwa mpaka akiweza kuoga mwenyewe.

Kuwa na familia ni jukumu mfano wake ni jukumu la kusoma ukiwa mwanafunzi. Una uamuzi wa kuwa brother men au mwanafunzi bora. Wa Baba muelewe kuwa unavuna ulichopanda. Mtoto anaogopa hata kukuomba hela ya kalamu kalamu yake ikipotea.

Unapokwenda kula nyama choma, ulishawaza watoto wako pia wanaipenda. Kama uwezo nunua kilo mbili za nyama, unamwambia mke wako achome na wote wagaiwe. Hizi ni kumbukumbu mtoto anakua nazo.

Hakuna sumu tunayowapa watoto ni kwakua wanakumbuka wavyotapikia mikono yetu wakiwa wagonjwa na jinsi tunavyoamua kuwaachia nyama zote mezani mboga ikiwa ndogo na baba yuko kwenye tungi.
Nasikitika sana naturally malezi ya BABA ni tofauti kabisa na malezi ya MAMA japo yote ni muhimu sana kwa mtoto,

Mfano tu kwa watoto wavivu anasingizia kuumwa haendi shule responce ya Baba ni kukemea na kuhimiza aende shule kwa souti ya ukakamavu, mama yeye atakuja na souti ya huruma pole nyingi bila kujua anamdekeza na kumharibia kbs ujasiri.

Mtoto mwelevu baadae atatambua ni nani hasa aliye mjenga kufikia hapo alipo mjinga akiendelea kudanganywa na mama yake huyo ni wa mama.

BABA NA MAMA WOTE HATUWEZI KUWA WAMAMA eti ndio malezi

Bado ulinzi wa kifamilia, mfano family nzima imelala jambazi anawaingilia angalia matokeo pande zote mbili hayo sio malezi ?

Baba amuogeshe mtoto ? ? mwisho mtasema HATUWANYONYESHI ndio maana ?
 
Katika issue ya mtoto asiyetaka kwenda shule wazazi wote wanapaswa kufahamu ni kwanini mtoto hataki kwenda shule. Inawezekana kuna wanaomnyanyasa. Hapa ndipo kuna umuhimu wa kumfahamu vizuri mtoto wako.
 
Changamoto ya malezi inaanzia kwenye mgawanyo wa asili wa majukumu!!

Baba umekwenda kutafuta, ukifika home kama umebeba furushi la nyama unampa mama aweze kuwaandalia watoto!! Hawaambii kuwa baba yenu anawapenda kawaletea zawadi, atawawekea hapo na kuwaambia kuleni!!

Pili, mtoto atafanya kosa mchana ukirudi jioni unaambiwa mwanao kafanya hivi na vile, baba unakamata bakora unatandika!! Kinachofuata mama anamchukua mtoto na kumbeleleza.

"wakati mwingine uwe unasikia baba yako ana mkali atakuja kukuua siku yake." Anamwogesha na kumpa chai na msosi, mtoto anabaki na hasira na baba!!

Watoto wakitaka mahitaji, wanamwambia mama! Mama anafikisha ujumbe kwa baba na anapewa mahitaji, matokeo yake mama hasemi ni jitihada za baba yenu!! Hapo inakuwa imekula kwetu wanaume.

Nini cha kufanya:
Adhibu mtoto anapokosa mbele yako, wote ni wazazi tuna mamlaka sawa za kuadhibu watoto. Achana na uchochezi!!

Kaa na watoto, pata matatizo yao direct na uyasolve kwa upendo.

Toka outing na wanao siku moja moja, watoe beach wacheze huko mkitoka wapitishe kwenye nyama wale mpaka waseme sasa basi!!

Kama hakuna tatizo huna haja ya kuwa mkali nyumbani!! Watoto wacheze nawe vinginevyo itakula kwako!!

Tupo busy, ila tuwe na hata siku moja katika wiki ya kukaa na watoto
Shukran kwa ushauri wako mzuri, kwa maana hiyo tutabadili asili yetu wa baba ili kufanana na wa mama ? hata wanyama tofauti ya malezi ya baba na mama naturally ipo pale pale,

Ni mama mjinga na mtoto mjinga hasa aliyedanganywa na mama yake mjinga ndio hata ona umuhimu na mchango wa malezi ya BABA kifamilia.
 
Kuna familia asubuhi baada ya kifungua kinywa mama anakwenda shambani na watoto baba anacheza bao na marafiki zake. Wakati wa mavuno Baba anasimamia mauzo.

Hela ikipatikana anaolea mke mdogo ili kuongeza nguvu kazi.
Hii tunaiita touch point umenigusa sana
 
Mtoto hata umuhudumie namna gani, kukujali mzazi ni majaaliwa tu. Unaweza kumpa kila kitu mtoto wako lkn kukujali baadae ni bahati tu. Upendeleo wanaoufanya watoto kwa mama ni tofauti na kwa baba kiasi cha kuwapa stress na unyonge kwa baba.

Siku zote mtoto ni wa mama.
Mtoto niwa mama ndio, Lakini mtoto kuwa tajiri kwa urahis anaitajika sana baba.
 
Kwa style hii, no wonder wanaume tunakufa mapema. Stress kila sehemu.

Niwashauri wanaume wenzangu, lazima tutafute mbinu mbadala ya kuwafanya watoto wetu kutambua uwajibikaji wetu katika familia.

Tuhakikishe watoto wote wenye miaka kumi na kuendelea juu tunakaa nao mezani kupanga bajeti pamoja na fungu tutoe mbele yao ili waone mzigo tunaobeba. Tabia ya kujifanya tunawapenda wake zetu na kuwapa heshima ya ku-provide kila kitu kupitia hela tunazowapa kwa siri chumbani itatupinguzia siku za kuishi na kutuongezea chuki toka kwa watoto.

Mama anapewa kila kitu na baba lakini hata siku moja kuwaambia watoto mambo haya kafanya baba mshukuruni, hakuna. Unategemea watampenda baba?
 
Baada ya kisa cha Sandra na Abdul kumuubua Nyange, wanaume wengi tumeingia ktk sintofahamu kuhusu wanawake, mtoto yupo kwa mama anampenda zaidi mama yake, baba yupo kivyake hana hata nauli ya daladala maskini.
Mtoto anatumia jina la ubini wa babaye.

Enyi wanawake ndio chanzo kikubwa cha kuwalisha sumu watoto ili wawachukie baba zao, kwa tabia yenu hiyo mbaya mlaaniwe nasema tena mlaaniwe na hivyo vitoto vyenu 😡 😡
 
braa braa braa
kungekua na option ya kutuma voice ningetuma

ilaa ni hiv hizo tabia hujengwa na mama ikiwa familia imeingia mgogolo

CASE CLOSED
 
Hii hali wababa mnaijenga wenyewe. Hivi baba ulishawa kutaka kujua mwandiko wa mtoto wako, rafiki zake au hata mwalimu wa mtoto wako. Mapenzi si pesa tu unaziacha nyumbani. Kujenga bound na mtoto, unajenga mazoea ya kumuogesha hata mara moja kwa wiki tangu anazaliwa mpaka akiweza kuoga mwenyewe.

Kuwa na familia ni jukumu mfano wake ni jukumu la kusoma ukiwa mwanafunzi. Una uamuzi wa kuwa brother men au mwanafunzi bora. Wa Baba muelewe kuwa unavuna ulichopanda. Mtoto anaogopa hata kukuomba hela ya kalamu kalamu yake ikipotea.

Unapokwenda kula nyama choma, ulishawaza watoto wako pia wanaipenda. Kama uwezo nunua kilo mbili za nyama, unamwambia mke wako achome na wote wagaiwe. Hizi ni kumbukumbu mtoto anakua nazo.

Hakuna sumu tunayowapa watoto ni kwakua wanakumbuka wavyotapikia mikono yetu wakiwa wagonjwa na jinsi tunavyoamua kuwaachia nyama zote mezani mboga ikiwa ndogo na baba yuko kwenye tungi.
Kuna ile mtoto kawekwa sell kimakosa ya barabarani

Baba yupo anakoki bia na marafiki zake

Akirudi usingizi mtamuuu

Japo mama hapalaliki atakimbia hata peku mpaka kituo cha polisi mpaka afanikiwe kumtoa nje mwanae.

Ila baba zetu huu ukweli hawataki.
 
Hamna guarantee, pona pona yetu ni mke akitangulia kufa tu. Watoto wanakua hawana option zaidi ya kustick na baba.
Ila mama akiwepo ni hati hati tu 😂😂😂 hasa watoto wakienda Ulaya ndio dah, mama atamiminiwa zawadi kila kukicha baba unapewa suti moja kwa mwaka mzima.
Kuna huyu mqenzako mke alitangulia watoto wakafanya km uwazavyo mwisho wa siku wakagundua pamoja na uzee alionao baba anagombaniwa na wanawake rika ya watoto wake

Watoto wao walichofanya ni Ku mute.

Mpaka leo wakimkumbuka wanabeba misosi na nguo chache wanampelekea mpaka siku wanarudi mjini ile misosi nayo washaila imebaki michache.
 
Wabaaba wezangu!tutaftee pesa kwa Hali na Mali,tuwapende na kuwasomesha watoto wetu,wakisha fanikiwa waamue wenyewe.unazani mzee bharesa wanae hawampendi?mzee deujiii baba ake more.....tukisha kuwa napesa mapenzi huja natural,baba daimond angekuwa Kama manji moja kwa mojaa mtoto angemnyenyekea na kimjali,ukisha kuwa oheaheee watoto Mara nyingi Wana engemea upande wa mama
 
Hii hali wababa mnaijenga wenyewe. Hivi baba ulishawa kutaka kujua mwandiko wa mtoto wako, rafiki zake au hata mwalimu wa mtoto wako. Mapenzi si pesa tu unaziacha nyumbani. Kujenga bound na mtoto, unajenga mazoea ya kumuogesha hata mara moja kwa wiki tangu anazaliwa mpaka akiweza kuoga mwenyewe.

Kuwa na familia ni jukumu mfano wake ni jukumu la kusoma ukiwa mwanafunzi. Una uamuzi wa kuwa brother men au mwanafunzi bora. Wa Baba muelewe kuwa unavuna ulichopanda. Mtoto anaogopa hata kukuomba hela ya kalamu kalamu yake ikipotea.

Unapokwenda kula nyama choma, ulishawaza watoto wako pia wanaipenda. Kama uwezo nunua kilo mbili za nyama, unamwambia mke wako achome na wote wagaiwe. Hizi ni kumbukumbu mtoto anakua nazo.

Hakuna sumu tunayowapa watoto ni kwakua wanakumbuka wavyotapikia mikono yetu wakiwa wagonjwa na jinsi tunavyoamua kuwaachia nyama zote mezani mboga ikiwa ndogo na baba yuko kwenye tungi.
Ujinga huu ndio anaoukataa rais Magufuli, kwanini unajilazimisha kuandika lugha usiyoijuwa na kuchanganganya watu? "Kujenga Bound na mtoto" inakujaje hapa katika sentensi yako? Usikute wewe ni msomi wa Mlimani na hata pengine unajifanya hujuwi kuongea lugha yako Mama. Msipende kujifanya wajuaji wa lugha za watu huku mnaleta vicheko, mnakera jamani. Ntakupiga vidole weweee🖕, shauri yako!
 
Hii hali wababa mnaijenga wenyewe. Hivi baba ulishawa kutaka kujua mwandiko wa mtoto wako, rafiki zake au hata mwalimu wa mtoto wako. Mapenzi si pesa tu unaziacha nyumbani. Kujenga bound na mtoto, unajenga mazoea ya kumuogesha hata mara moja kwa wiki tangu anazaliwa mpaka akiweza kuoga mwenyewe.

Kuwa na familia ni jukumu mfano wake ni jukumu la kusoma ukiwa mwanafunzi. Una uamuzi wa kuwa brother men au mwanafunzi bora. Wa Baba muelewe kuwa unavuna ulichopanda. Mtoto anaogopa hata kukuomba hela ya kalamu kalamu yake ikipotea.

Unapokwenda kula nyama choma, ulishawaza watoto wako pia wanaipenda. Kama uwezo nunua kilo mbili za nyama, unamwambia mke wako achome na wote wagaiwe. Hizi ni kumbukumbu mtoto anakua nazo.

Hakuna sumu tunayowapa watoto ni kwakua wanakumbuka wavyotapikia mikono yetu wakiwa wagonjwa na jinsi tunavyoamua kuwaachia nyama zote mezani mboga ikiwa ndogo na baba yuko kwenye tungi.
Utasikia mie natafuta pesa, wakati hizo pesa zinatumia na kila mtu mpaka michepuko inayomchelewesha nyumbani
 
Wababa tunapambana kutafuta pesa ili familia iishi vizuri na watoto wasome, sometime tunashinda njaa na kukutana na vizingiti vingi,ila jioni lazima tuje na chochote kwa ajili ya familia zetu, ingawa wao hawajui tumevipataje, hiyo inabaki kuwa Siri yetu kumoyo,
Ila wakishakuwa wanakuja kuimba nani Kama mama,
Baba unawekwa kando kwa ajili ya fitina na uongo wa mama yao,
Cha kufanya sasa, baba kama baba lazima ujiwekeee kakitega uchumi kako,ambako katakuwa kanakulisha polepole mpaka unakufa,
NB watoto wa kiume wote jitahidini kuwapenda baba zenu, kwani na nyinyi mnaelekea hukohuko
 
Kuna familia asubuhi baada ya kifungua kinywa mama anakwenda shambani na watoto baba anacheza bao na marafiki zake. Wakati wa mavuno Baba anasimamia mauzo.

Hela ikipatikana anaolea mke mdogo ili kuongeza nguvu kazi.
Kusini wanaita safisha ghala, utasikia mama yao kawalisha sumu watoto ili wasinikumbuke, hapo anachapika na maisha
 
Sisi wazee wetu mbona walikuwa hawafany hayo ila bado tunaukubali mchango wao

Ukiona humpend mzee wako au humtunzi vzuri na alikuhudumia vizur utakuwa na matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom