Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
Uzuri wake siku hizi wanawake nao wanajituma sana kuleta kipato nyumbani na bado wanatimiza majukumu yao kama mama kwa watoto na kama mke kwa mume.Enzi za ujima mtoto wa kiume alianza kuandamana na baba tangu akishajua kujisafisha baada ya kujisaidia. Wanakwenda kuwinda pamoja.
Hata kama unapenda mpira weka DSTV usngalie nao. Wakikozoea hata shida zao watakuambia.
Heshima zenu kwa hilo.