Wababa kununua nguzo/taulo za ndani watoto wa kike dhambi

Jamani nimesikia leo hili swala nkasema naweza pata mawazo hapa yenye maana
kuna topic walikuwa wakijadili clouds fm ,,lakini ikanigusa nina mtoto wa mama mdogo ana miaka 23 mpaka leo ananuliwa Taulo la ndani(PD),nguo za ndani,..

kwa mchango wa wengi wakawa wanakunusha na kusema inategemea mazingira gani na umri gani@!##

kwenu wana JF dhambi kumnunulia mwanao Nguo za ndani????[/QUOTE]

size ya kiuno utauliza??? "ufataki unaaanza taratibu"
 
sioni cha ajabu hapo!mimi nimelelewa katika single family na mama tu!!nilipokuwa na umri wa kuanza ku do, (nadhani mama alihisi nimeanza ku do) nilikuwa nikikuta box la kondom chumbani kwangu!!na hakuwa akiniambia chochote!!nilikuwa nikizitumia, sijui alikuwa akija kuangalia zimebaki kiasi gani lakini alikuwa akileta box jingine kila lile la awali lilipo karibia kuisha!!

kwa maana hiyo siyo vibaya kuwanunulia,ukiona huwezi kuwapatia direct just ziache kwenye wash-room!!
 
iyo aiji na aiko kiivyo jamani sisi ni ni wabongo na waafrika ivyo ni lazima tuuenzi ubongo wetu pamoja na uafrika wetu pia'
 
Huu ni mtazamo tu! Baba mmoja ambaye ni marehemu sasa, nusura awe mkwe wangu. Huyu mzee alikuwa na mabinti watano, alichofanya mara nyingi ni kununua carton ya hizo pedy na kumkabidhi mama yao.
Hapa hakuna dhambi hata chembe. Kwani tafsiri ya dhambi haina uhusiano kabisa na tendo hili la upendo wa baba kwa binti yake aliye mlea tangu akiwa mimba.

Nunulieni mabinti zenu zawadi zote njema hakuna dhambi hapa .......
 
Jamani nimesikia leo hili swala nkasema naweza pata mawazo hapa yenye maana
kuna topic walikuwa wakijadili clouds fm ,,lakini ikanigusa nina mtoto wa mama mdogo ana miaka 23 mpaka leo ananuliwa Taulo la ndani(PD),nguo za ndani,..

kwa mchango wa wengi wakawa wanakunusha na kusema inategemea mazingira gani na umri gani@!##

kwenu wana JF dhambi kumnunulia mwanao Nguo za ndani????[/QUOTE]

size ya kiuno utauliza??? "ufataki unaaanza taratibu"

Size ya kiuno? Vimehusu?
Hii siyo underwear ndugu hivyo huhitaji size ya kiuno --- unachotakiwa kujua ni light, heavy, medium, mini, maxi. Hapo itabidi uchanganye na utaona zipi zinatumika zaidi ndipo upate jibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom