Waarabu wa sasa na Uarabu feki

Waarabu wa sasa na Uarabu feki

Kwanza inabidi tutambuwe ni nini Uarabu.

Juzi kuna mtu kaweka uzi humu na kufafanua kuwa Uarabu ni "culture", tamaduni. Nami nakubaliana nae.

Kwa kuongezea tu, asili ya neno " Arabia" ni arabiya au msafara (caravan).

Yaani we ni mpuuzi sana, unataka kutuambia kuwa wewe ni mwarab kwa kuwa unajilazimisha kuiga waarab? Hivi unajiita mwarab kweli wewe mbele ya waarab wenyewe? Unatia kinyaa kwa kweli.
 
Yaani we ni mpuuzi sana, unataka kutuambia kuwa wewe ni mwarab kwa kuwa unajilazimisha kuiga waarab? Hivi unajiita mwarab kweli wewe mbele ya waarab wenyewe? Unatia kinyaa kwa kweli.
Soma tena uoneshe wapi nilipolazimisha Uarabu. Unaonesha hata unachokisoma hukielewi.

Wewe mstaarabu? Au huna chembe ya ustaarabu?

Kumbuka, kinyume cha ustaarabu ni ushenzi.

Hapo sasa.
 
Soma tena uoneshe wapi nilipolazimisha Uarabu. Unaonesha hata unachokisoma hukielewi.

Wewe mstaarabu? Au huna chembe ya ustaarabu?

Kumbuka, kinyume cha ustaarabu ni ushenzi.

Hapo sasa.
Daaaah amakweli mtu mweusi ni mtumwa, kwahiyo unaikacha asili yako ya Kibantu??
 
Daaaah amakweli mtu mweusi ni mtumwa, kwahiyo unaikacha asili yako ya Kibantu??

Wewe hata jina umelikacha. Jisome ID yako, au ni baniani wewe?

Soma tena uoneshe wapi nilipolazimisha Uarabu. Unaonesha hata unachokisoma hukielewi.

Wewe mstaarabu? Au huna chembe ya ustaarabu?

Kumbuka, kinyume cha ustaarabu ni ushenzi.

Hapo sasa.
 
Kwani race lazima uwe mzungu au mweus, umeisha ambiwa race yao ni warabu.Kwani wale watailand au wairani ni race gani?
Umeelewa kweli? Utakuwa una matatizo kidogo, amesema hawa waarabu wanaojiita waarabu ni fake ndio nimemuuliza kwa hiyo kama sio waarabu ni race gani?
 
Ni kama vile vijana wengi wakiafrika walivyokuwa waki-copy lifestyle za waamerica weusi sanasana miaka ya 90 mpaka 2000, tulishuhudia mpaka wakibadili namna ya uvaaji iendane na ile ya wamarekani weusi, na ndivyo hawa wanaojiita waarabu na kutuaminisha kuwa wao ni waarabu walivyojibadilisha na kujivisha identity ya uarabu.

Tuanze kuwekana wazi waarabu wenyewe asilia hawakuwa weupe kama hawa wa leo, ukifuatilia historia utagundua chimbuko la waarabu linaanzia kwa Ismail, ambaye ana damu ya mtu mweusi kwa upande wa mama yake ambaye alikuwa ni mmisri, lakin pia baada ya Ismail kuondoka na mama yake, na kwenda kuanzisha makazi sehemu nyingine, akiwa huko na mama yake, alipofikisha umri wa kuoa mama yake alimpeleka misri ambapo ndipo alikuja kuoa mwanamke (mweusi, kama mama yake) wa kimisri, na kuondoka nae kurudi eneo alilokuwa akiishi na mama yake ambalo ndio eneo maarufu nchini saudi arabia kwa sasa (MAKA). Na ismaili na uzao wake ndo waasis wa jamii/kizazi kilichoitwa waarabu.
=Swali hawa waarabu weupe wa leo wanaojiita na wao waarabu huu uarabu wameutoa wapi??. Tafiti za kihistoria zinadai kipindi hicho hawa jamaa hawakuwepo Saudia, walikuwa wanapatika, iraq, Yemen na maeneo mengine ya karibu na pale,

Ni wazi waarabu wenyewe asilia walikuwa Dark, ila hawa wa leo wamejivisha tu identity ya uarabu. Sijui ni kwa malengo gani.

Na pia hata dini yenyewe ya uislamu ambayo inatambua mtu mweusi ktk uasisi wa dini, ukiangalia kwa makini utagundua baadhi ya ishara pale MAKA, kwanza kuna jiwe jeusi pale kwenye kaaba tukufu, pia hata lile tambala lililovishwa juu ya al kaaba ni jeusi pia, ile ni kama Legacy kwa kizazi asili cha waarabu wenyewe.
Ni kweli muarabu ni mtu mweusi,hawa weupe ni baada ya mababu zao kuoana na wazungu wanawake weupe,wa mashariki,waliopelekwa kama watumwa nchi za kiarabu.Yapo maeneo bado waarabu weusi wa asili wanapatikana,kabila la kiarabu la asili,ni kabila linalopotea kwa kasi ulimwenguni
 
M
Ni kweli mkuu, mie nimefanya analytical study na kugundua mengi ambayo hayafundishwi shule.Swali la muhimu sana nilijiuliza hivi iweje bara la Afrika liwe na warabu na waafrika, haw warabu wa misri, moroco, libya, Tunisis Sudani walitoka wapi? Jawabu mojawapo ni kwamba warabu walivamia zile nchi na kuweka tawala zao ambazo nazo zilivamiwa na Alexandra the great kutoka Roman empire na baadae benzinite empire ambayo ni dola ya waturuki na ilianguka karne ya 19. Mafedhuli haya yamekalia nchi zile mpaka leo na kujifanya majitu ya asili ya pale.Wamisri(Egyption) ni watu weusi au brown kama waethiopia ndio wazawa na bado wapo mpaka kesho na wameisha anzisha harakati za kutoitwa warabu.
Muarabu ni mtu mweusi,in baada ya kuoana na watu wa weupe wa kizungu,ndio mwanzo wa kubadilika na kuwa weupe.Na waarabu wanatokea Afrika,na inademekana hata jina Afrika,ni jina la mtawala wa kiarabu(mweusi).Hawa,weupe ni waarabu waliochanganya na damu za kizungu.
 
Vitabu vinaonesha asili ya wayahudi( Wazungu) ni Is-haqa na Waarabu( Mchanganyiko) ni Ismail. Sisi waafrika sijui tumetokana na nani hapo?? Ukisema watu weusi walikuwepo MAKA ni UONGO maana mpaka mwaka 570- 700 mtu mweusi alikuwepo MAKA ni mmoja tu naye ni Bilal.
Mtu mweusi hakuwa bilali tu pekee history imechakachuliwa ile ''... Kama unakumbuka makkah ilishawahi kuvamiwa na kundi la utawala unaotumia usafir wa tembo ' jamii ya wale watu ilikuwa ni jamii ya watu weusi kutoka habesh ethiopia na kama unavyo jua katika vita kuna mambo mbali mbali huwa yanatokea ambayo hayana ustaarabu moja wapo ikiwa ni kubakwa wanawake..

Wataka kutuambia wanawake wote waliibakwa kwenye ule uvamizi hakuna hata mmoja aliyeshika mimba ''!?? History za waarabu na wazungu zimeficha mambo mengi sana kuhusu watu weusi... Hawatak kusema kweli kuwa tulishawah kuwapa vichapo .. Wanataka jamii ya watu wetu itambulike kuwa ni jamii ya watu dhaifu...
 
Huko deep sana huwa nakufuatiliaga sana nondo na madini
 
Naam kiongozi na mtume Muhammad (s.a.w) alizaliwa zama hizi za uvamizi wa watu weusi waliokuwa wakitumia Tembo kusafiria, ndo maana kwenye msahafu tunaambiwa mtume alizaliwa mwaka wa Tembo, huo mwaka uliitwa hvyo kutokana uvamiz wa jamii hii ya watu weusi waliokuwa wanatumia usafiri wa tembo
 
Eewaaa . Nitarudi nipate info zaidi
 
Back
Top Bottom