Waarabu wa sasa na Uarabu feki

Waarabu wa sasa na Uarabu feki

Panua ufahamu utajuwa tu. Kunao pia ambao wanajiita waisraeli.

Inaelelekea haufahamu maana halisi ya neno propaganda.

Nafahamu ndio maana nimekuuliza swali hilo na nilijua tu huwezi kujibu swali hilo.

Ajabu unarukia pasipo husika. Tunawzungumzia waarabu unaleta habari za Waisraeli.

Sasa kama wewe unasema ukweli kosoa nilicho kiandika,ajabu humjui hata muandishi wa kitabu hicho na lini kitabu hicho kiliandikwa na kwanini ? Hili ni tatizo tulio nalo vijana wengi sana,yaani kuwa na pupa pasi na elimu.

Nipo....
 
Nani anarukia?Wewe ndiyo unarukiwa!
 
Wakati wa ismail hakukuwa na kabila la kiarabu,
lugha ya kiarabu imeanza karne ya 6.
Zaidi ya miaka elfu moja baada ya ismail,hata kiebrania vilevile hakikuwepo,
lugha mama za kipindi hicho ni akkadian,sumerian,aramaic,
wakati abraham anafika caanan,tayari Damusca ni mji mkubwa tu,
sasa ilikaliwa na watu gani wakati hakukuwa na kiarabu?,

ili ujue kiarabu na kiebrania zinatoka kwenye tawi moja la lugha na ndo maana zinaandikwa toka kulia kwenda kushoto,
tuchukue neno la kiebrania
Beithel ambalo maana yake ni nyumba ya mungu,
sawa na kiarabu BytAllah
 
Kwanza inabidi tutambuwe ni nini Uarabu.

Juzi kuna mtu kaweka uzi humu na kufafanua kuwa Uarabu ni "culture", tamaduni. Nami nakubaliana nae.

Kwa kuongezea tu, asili ya neno " Arabia" ni arabiya au msafara (caravan).
ivi we kimama huzeeki tu
 
Binafsi nasema Mwaarabu feki ni yeyote ambae lugha yake mama si Kiarabu.

Na yeyote ambae lugha yake mama ni Kiarabu basi haijalishi yu rangi gani au wa nchi au Taifa lipi.

Uarabu si rangi, si utaifa, si kabila. Uarabu ni lugha na utamaduni.
Unazidi ni changanya sasa utamaduni wa uarabu ni upi
 
Back
Top Bottom