Waarabu wa sasa na Uarabu feki

Waarabu wa sasa na Uarabu feki

story kama hizo ndo zinaniaminisha kuwa waafrika tulikuwa nyani, mana kwenye kila historia tupo.
Una haki kwa sababu hujui historia yako, wewe ni mtukufu hapa duniani, ila kuna watu wanaficha ukweli usijielewe, ujione huna thamani, na wanafanya hvyo makusudi kupitia propaganda zao,
 
Wale ni babylonians kutoka iraq huko. Wengne wanatoka Yemen na baadhi ya maeneo mengne pale middle east
Kihistoria Yemen ya Sabaeans iliwahi kuwa himaya inayojumuisha Habashi (Ethiopia kwa sasa) na Eritrea.
 
Kwa mantiki hii tukikubaliana na mtoa mada kwamba waarabu ni watu weusi, kama Arabiya ni msafara basi hao weusi walikuwa na misafara gani mpaka wastahili kuitwa waarabu na sio hao wanaojiita sasa waarabu?
Misafara huwa ni ya kibiashara na lugha waliyotumia watu wa Mataifa mbali mbali ili kuelewana katika misafara na kufanya biashara ni lugha ya msafara "lugha t al arabiya" na misafara kwa kuwa ilijumuisha watu wa Mataifa tofauti wakawa na tamaduni yao ya misafara ndiyo tamaduni hiyo na lugha hiyo ikazaa Mwaarabu.

Na iwapo huna lugha hiyo na umefata tamaduni njema za watu wa misafara basi unakuwa na ustaarabu (wasta Al Arab) au "Arabic Influence". Kama tulivyo Tanzania tuna ustaarabu wa hali ya juu.
 
Ni kama vile vijana wengi wakiafrika walivyokuwa waki-copy lifestyle za waamerica weusi sanasana miaka ya 90 mpaka 2000, tulishuhudia mpaka wakibadili namna ya uvaaji iendane na ile ya wamarekani weusi, na ndivyo hawa wanaojiita waarabu na kutuaminisha kuwa wao ni waarabu walivyojibadilisha na kujivisha identity ya uarabu.

Tuanze kuwekana wazi waarabu wenyewe asilia hawakuwa weupe kama hawa wa leo, ukifuatilia historia utagundua chimbuko la waarabu linaanzia kwa Ismail, ambaye ana damu ya mtu mweusi kwa upande wa mama yake ambaye alikuwa ni mmisri, lakin pia baada ya Ismail kuondoka na mama yake, na kwenda kuanzisha makazi sehemu nyingine, akiwa huko na mama yake, alipofikisha umri wa kuoa mama yake alimpeleka misri ambapo ndipo alikuja kuoa mwanamke (mweusi, kama mama yake) wa kimisri, na kuondoka nae kurudi eneo alilokuwa akiishi na mama yake ambalo ndio eneo maarufu nchini saudi arabia kwa sasa (MAKA). Na ismaili na uzao wake ndo waasis wa jamii/kizazi kilichoitwa waarabu.
=Swali hawa waarabu weupe wa leo wanaojiita na wao waarabu huu uarabu wameutoa wapi??. Tafiti za kihistoria zinadai kipindi hicho hawa jamaa hawakuwepo Saudia, walikuwa wanapatika, iraq, Yemen na maeneo mengine ya karibu na pale,

Ni wazi waarabu wenyewe asilia walikuwa Dark, ila hawa wa leo wamejivisha tu identity ya uarabu. Sijui ni kwa malengo gani.

Na pia hata dini yenyewe ya uislamu ambayo inatambua mtu mweusi ktk uasisi wa dini, ukiangalia kwa makini utagundua baadhi ya ishara pale MAKA, kwanza kuna jiwe jeusi pale kwenye kaaba tukufu, pia hata lile tambala lililovishwa juu ya al kaaba ni jeusi pia, ile ni kama Legacy kwa kizazi asili cha waarabu wenyewe.
Jiwe Jeusi na Tambara jeusi la Kaaba,halina asilina na mada yako


Chief
Nakushauri usome Historia vzr
Waarabu weupe walikuwepo tokea zama na weusi wapo mpaka Leo hususan Maeneo ya Yemen
 
Vitabu vinaonesha asili ya wayahudi( Wazungu) ni Is-haqa na Waarabu( Mchanganyiko) ni Ismail. Sisi waafrika sijui tumetokana na nani hapo?? Ukisema watu weusi walikuwepo MAKA ni UONGO maana mpaka mwaka 570- 700 mtu mweusi alikuwepo MAKA ni mmoja tu naye ni Bilal.
Si kweli

Walikuwepo watu Weusi
Ukoo wa Yaasir
Walikuwepo kina Zayd na mfano wao

Kiujumla walikuwepo
 
Jiwe Jeusi na Tambara jeusi la Kaaba,halina asilina na mada yako


Chief
Nakushauri usome Historia vzr
Waarabu weupe walikuwepo tokea zama na weusi wapo mpaka Leo hususan Maeneo ya Yemen
Tupe wewe historia ya jiwe jeusi na tambala inaonekana unaijua vzr mkuu, then mimi nilielezea vitu hivi kutumika kwake kama legacy ya watu weusi kwenye uislamu,
Anyway wewe nawe ni muhanga wa hizi propaganda
 
Vitabu vinaonesha asili ya wayahudi( Wazungu) ni Is-haqa na Waarabu( Mchanganyiko) ni Ismail. Sisi waafrika sijui tumetokana na nani hapo?? Ukisema watu weusi walikuwepo MAKA ni UONGO maana mpaka mwaka 570- 700 mtu mweusi alikuwepo MAKA ni mmoja tu naye ni Bilal.
Wahshiy aliyemuua Hamza vita vya uhud kwa amri ya Hind Bint Utbah mke wa kiongozi Wa Makka. Je alikuwa mweupe?
 
Kumbuka lile jiwe jeusi lipo hata kabla ya gharika la Nabii Nuhu, kipindi ambacho hakukuwa na makazi yeyote pale zaidi ya kuwa jangwa. Nabii Ibrahim (A.S) aliyesimamisha kuta za Alqaaba tukufu, kazaliwa kalikuta
 
Ni kama vile vijana wengi wakiafrika walivyokuwa waki-copy lifestyle za waamerica weusi sanasana miaka ya 90 mpaka 2000, tulishuhudia mpaka wakibadili namna ya uvaaji iendane na ile ya wamarekani weusi, na ndivyo hawa wanaojiita waarabu na kutuaminisha kuwa wao ni waarabu walivyojibadilisha na kujivisha identity ya uarabu.

Tuanze kuwekana wazi waarabu wenyewe asilia hawakuwa weupe kama hawa wa leo, ukifuatilia historia utagundua chimbuko la waarabu linaanzia kwa Ismail, ambaye ana damu ya mtu mweusi kwa upande wa mama yake ambaye alikuwa ni mmisri, lakin pia baada ya Ismail kuondoka na mama yake, na kwenda kuanzisha makazi sehemu nyingine, akiwa huko na mama yake, alipofikisha umri wa kuoa mama yake alimpeleka misri ambapo ndipo alikuja kuoa mwanamke (mweusi, kama mama yake) wa kimisri, na kuondoka nae kurudi eneo alilokuwa akiishi na mama yake ambalo ndio eneo maarufu nchini saudi arabia kwa sasa (MAKA). Na ismaili na uzao wake ndo waasis wa jamii/kizazi kilichoitwa waarabu.
=Swali hawa waarabu weupe wa leo wanaojiita na wao waarabu huu uarabu wameutoa wapi??. Tafiti za kihistoria zinadai kipindi hicho hawa jamaa hawakuwepo Saudia, walikuwa wanapatika, iraq, Yemen na maeneo mengine ya karibu na pale,

Ni wazi waarabu wenyewe asilia walikuwa Dark, ila hawa wa leo wamejivisha tu identity ya uarabu. Sijui ni kwa malengo gani.

Na pia hata dini yenyewe ya uislamu ambayo inatambua mtu mweusi ktk uasisi wa dini, ukiangalia kwa makini utagundua baadhi ya ishara pale MAKA, kwanza kuna jiwe jeusi pale kwenye kaaba tukufu, pia hata lile tambala lililovishwa juu ya al kaaba ni jeusi pia, ile ni kama Legacy kwa kizazi asili cha waarabu wenyewe.
Ni kweli mkuu, mie nimefanya analytical study na kugundua mengi ambayo hayafundishwi shule.Swali la muhimu sana nilijiuliza hivi iweje bara la Afrika liwe na warabu na waafrika, haw warabu wa misri, moroco, libya, Tunisis Sudani walitoka wapi? Jawabu mojawapo ni kwamba warabu walivamia zile nchi na kuweka tawala zao ambazo nazo zilivamiwa na Alexandra the great kutoka Roman empire na baadae benzinite empire ambayo ni dola ya waturuki na ilianguka karne ya 19. Mafedhuli haya yamekalia nchi zile mpaka leo na kujifanya majitu ya asili ya pale.Wamisri(Egyption) ni watu weusi au brown kama waethiopia ndio wazawa na bado wapo mpaka kesho na wameisha anzisha harakati za kutoitwa warabu.
 
Ni kama vile vijana wengi wakiafrika walivyokuwa waki-copy lifestyle za waamerica weusi sanasana miaka ya 90 mpaka 2000, tulishuhudia mpaka wakibadili namna ya uvaaji iendane na ile ya wamarekani weusi, na ndivyo hawa wanaojiita waarabu na kutuaminisha kuwa wao ni waarabu walivyojibadilisha na kujivisha identity ya uarabu.

Tuanze kuwekana wazi waarabu wenyewe asilia hawakuwa weupe kama hawa wa leo, ukifuatilia historia utagundua chimbuko la waarabu linaanzia kwa Ismail, ambaye ana damu ya mtu mweusi kwa upande wa mama yake ambaye alikuwa ni mmisri, lakin pia baada ya Ismail kuondoka na mama yake, na kwenda kuanzisha makazi sehemu nyingine, akiwa huko na mama yake, alipofikisha umri wa kuoa mama yake alimpeleka misri ambapo ndipo alikuja kuoa mwanamke (mweusi, kama mama yake) wa kimisri, na kuondoka nae kurudi eneo alilokuwa akiishi na mama yake ambalo ndio eneo maarufu nchini saudi arabia kwa sasa (MAKA). Na ismaili na uzao wake ndo waasis wa jamii/kizazi kilichoitwa waarabu.
=Swali hawa waarabu weupe wa leo wanaojiita na wao waarabu huu uarabu wameutoa wapi??. Tafiti za kihistoria zinadai kipindi hicho hawa jamaa hawakuwepo Saudia, walikuwa wanapatika, iraq, Yemen na maeneo mengine ya karibu na pale,

Ni wazi waarabu wenyewe asilia walikuwa Dark, ila hawa wa leo wamejivisha tu identity ya uarabu. Sijui ni kwa malengo gani.

Na pia hata dini yenyewe ya uislamu ambayo inatambua mtu mweusi ktk uasisi wa dini, ukiangalia kwa makini utagundua baadhi ya ishara pale MAKA, kwanza kuna jiwe jeusi pale kwenye kaaba tukufu, pia hata lile tambala lililovishwa juu ya al kaaba ni jeusi pia, ile ni kama Legacy kwa kizazi asili cha waarabu wenyewe.
Hata nabii Issa ambaye wakristo wanamuita Yesu, naye alikuwa mweusi na siyo mzungu.
 
Ukisoma kitabu kiitwacho "Definition of Arab" .Muandishi anasema Uarabu unaingia kwa watu wa aina tatu :

1. Wale wenye kuongea lugha ya kiarabu kama lugha yao mama.

2. Wale wenye nasaba ya uarabu kwa maana ya uzao.

3. Wale wote walio ishi maeneo ya waarabu yaani kuanzia Arab Peninsula mpaka kule yemeni ukitoa wale walio ishi Shaam.
Hicho kitabu ni propaganda za kuwa accomodate tu.
 
Back
Top Bottom