Waarabu na Wazungu ni wabaguzi. Francis Ngannou anyang'anywa ushindi wa wazi

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Ni katika pambano la Masumbwi lililofanyika jana usiku katika ukumbi wa Boulevard Hall, katika jiji la Riyadh nchini Saudi Arabia.

Watu wengi Duniani katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii wameonekana kuuzunishwa na matokeo ya pambano hilo la Boxing ambapo Bingwa mtetezi wa Masumbwi uzito wa juu "WBC Heavyweight Champion" Tyson Fury ambaye alifuana na Bingwa aliyepita wa pambano la UFC "UFC Heavyweight Champion" Fransic Ngannou, ambapo walishinda katika pambano la Heavyweight Professional Crossover Boxing.

Yani hili ni pambano ambalo mfano wanachukua bingwa wa Dunia Boxing na Bingwa wa Dunia wa UFC (MMA-Mixed Martial Arts), au tu mabingwa kutoka tasnia tofauti tofauti ya michezo na burudani, wanaweka kwenye ulingo wanapambana boxing.

images (25).jpeg

Katika pambano hilo lililofanyika jana huko Uarabuni katika ya Muafrika kutoka Cameroon "Fransic Ngannou" na Mzungu kutoka Uingereza "Tyson Fury", majaji walimamiza pambano kwa "Split" kuwaachanisha na kisha kugawa point kama zifuatavyo;

JAJI
1. Alan Krebs: Fury 95 - Ngannou 94
2. Carlos Pelayo: Fury 96 - Ngannou 93
3. Ed Garner: Fury 95 - Ngannou 94

View: https://x.com/MichaelBensonn/status/1718432217544700365?s=20

Ukitizama Pambano vizuri mwanzo mpaka mwisho utagundua kabisa, raia kutoka Cameroon, bwana Fransic Ngannou yeye ndiye aliyetawala mchezo, kwa kifupi alipaswa kupata point nyingi kulingana na namna alivyopeleka kichapo kizito kwa Tyson. Hata hivyo Fransic Ngannou alionekana kuuzunishwa na matokeo hayo baada ya kunyanganywa ushindi huo mnono dhidi ya muingereza katika ardhi ya waarabu.

View: https://youtu.be/tHFdnJsz9Uc?si=GyiQ4XG2a1HJyhQb

Pambano hilo liliudhuriwa na mastaa kibao akiwemo Mike Tyson, Eminem, Christiano Ronaldo, Kanye West, na Lil Baby.
 
Ni katika pambano la Masumbwi lililofanyika jana usiku katika ukumbi wa Boulevard Hall, katika jiji la Riyadh nchini Saudi Arabia. Watu wengi Duniani katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii wameonekana kuuzunishwa na matokeo ya pambano hilo la Boxing ambapo Bingwa mtetezi wa Masumbwi uzito wa juu "WBC Heavyweight Champion" Tyson Fury ambaye alifuana na Bingwa aliyepita wa pambano la UFC "UFC Heavyweight Champion" Fransic Ngannou, ambapo walishinda katika pambano la Heavyweight Professional Crossover Boxing, yani hili ni pambano ambalo mfano wanachukua bingwa wa Dunia Boxing na Bingwa wa Dunia wa UFC (MMA-Mixed Martial Arts), au tu mabingwa kutoka tasnia tofauti tofauti ya michezo na burudani, wanaweka kwenye ulingo wanapambana boxing.

View attachment 2796400

Wazungu wabaguzi, waziri mkuu wa Uingereza mhindi.
Wazungu wabaguzi, rais wa Marekani Obama mkenya.
Watanzania siyo wabaguzi Mrema ameporwa kura za urais dhidi ya Mkapa, matokeo yamefutwa ichaguzi kurudiwa kwa makundi!
 
mapambano ya ngumi ni kumaliza kwa kumkalisha chini mpinzani wako

Tofauti na hapo rabda uwe mweusi alafu uwe raia wa Marekani au Uingereza

Kama:

Nk
Nimetazama highlight tu. Round ya 9 Nganou kafanya kosa kubwa sana kutomkalisha chini Fury. Fury alichoka kabisa ile round aliponea golden chance.
Nganou nadhani ni ugeni wa boxing ndio uliomuangusha.
Tukumbuke Boxing ni biashara kubwa na waamuzi nadhani mda mwingine wanapangwa. Kumbika Shindano la maywether na mtailand, inaoneka maywether alipendelewa.
Mimi ningependa kuwe na ROBOT referee.
Tu mtrain AI awe referee vinginevyo ulalamishi hautaisha, hata hapa TZ huwa kuna malalamiko ya upendeleo.
 
Hio robot labda itengenezewe madaba au tunduru, lakini kama itatengenezwa na weupe inaweza wekewa sensor maalum kudetect rangi/sura ya mpiganaji wanaemtaka ashinde au kumuokoa mweupe pekee
 
Kwenye technolojia hakunaga biasness maana scientist huwa ni team from different corner of the world.
Wanasiasa ndio watu wa figisu figisu wawe wazungu, wachina, warabu, wahindi au weusi.
Issue ya rangi nayo ina mitazamo tofauti sana kwa sisi tuliofuatilia mambo kwa kina.
Spain, Italy even Greece wazungu wa kaskazini huwaona hawa wenzao kuwa ni weusi. Waispaniola hawahesabiki kuwa ni weupe. Warabu, wahindi, wabrazili, layino au mexican hawahesabiki kuwa ni weupe.
Wachina wanahesaboka kuwa ni wanjano.
Kuna waafrika wapi sawa rangi ni warabu au wahindi mfano wa Khoi, etheopisn, warangi na baadhi ya wabantu.
Mimi nina dada yangu mbantu nweupe pe kama warabu ila sura ndio ya kibantu
Jifunze sana kuhusu race utapata mtazamo tofauti.
 
Ni katika pambano la Masumbwi lililofanyika jana usiku katika ukumbi wa Boulevard Hall, katika jiji la Riyadh nchini Saudi Arabia. Watu wengi Duniani katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii wameonekana kuuzunishwa na matokeo ya pambano hilo la Boxing ambapo Bingwa mtetezi wa Masumbwi uzito wa juu "WBC Heavyweight Champion" Tyson Fury ambaye alifuana na Bingwa aliyepita wa pambano la UFC "UFC Heavyweight Champion" Fransic Ngannou, ambapo walishinda katika pambano la Heavyweight Professional Crossover Boxing, yani hili ni pambano ambalo mfano wanachukua bingwa wa Dunia Boxing na Bingwa wa Dunia wa UFC (MMA-Mixed Martial Arts), au tu mabingwa kutoka tasnia tofauti tofauti ya michezo na burudani, wanaweka kwenye ulingo wanapambana boxing.

View attachment 2796400

Katika pambano hilo lililofanyika jana huko Uarabuni katika ya Muafrika kutoka Cameroon "Fransic Ngannou" na Mzungu kutoka Uingereza "Tyson Fury", majaji walimamiza pambano kwa "Split" kuwaachanisha na kisha kugawa point kama zifuatavyo;

JAJI
1. Alan Krebs: Fury 95 - Ngannou 94
2. Carlos Pelayo: Fury 96 - Ngannou 93
3. Ed Garner: Fury 95 - Ngannou 94

View: https://x.com/MichaelBensonn/status/1718432217544700365?s=20

Ukitizama Pambano vizuri mwanzo mpaka mwisho utagundua kabisa, raia kutoka Cameroon, bwana Fransic Ngannou yeye ndiye aliyetawala mchezo, kwa kifupi alipaswa kupata point nyingi kulingana na namna alivyopeleka kichapo kizito kwa Tyson. Hata hivyo Fransic Ngannou alionekana kuuzunishwa na matokeo hayo baada ya kunyanganywa ushindi huo mnono dhidi ya muingereza katika ardhi ya waarabu.

View: https://youtu.be/tHFdnJsz9Uc?si=GyiQ4XG2a1HJyhQb

Pambano hilo liliudhuriwa na mastaa kibao akiwemo Mike Tyson, Eminem, Christiano Ronaldo, Kanye West, na Lil Baby.

So sad
 
Kama sisi wenyewe watu weusi hatupendani, unategemea nani huko duniani akupende.
 
Lengo kuu la huo mpambano lilikuwa kuleta motisha ya ngumi Saudi Arabia na hata mkanda wake ni mkanda wa tofauti kabisa na mikanda mingine.
 
Back
Top Bottom