Anthony Joshua amchapa Francis Ngannou kwa K.O raundi ya pili

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
chapa
Bingwa wa zamani wa uzito wa juu, Anthony Joshua amefanikiwa kumpiga kwa Knock Out (K.O) Francis Ngannou bingwa wa zamani wa UFC wa uzito wa juu katika pambano lililofanyika Riyadh nchini Saudi Arabia.

Joshua alimwangusha Ngannou katika raundi ya kwanza ya mchezo na baadaye katika dakika ya 2:38 ya raundi ya pili alimwangusha tena kwa ngumi nzito ya mkono wake wa kulia, hatua iliyosababisha Mwamuzi kumaliza mchezo huo.

Ushindi huo unakuwa ni wa 4 mfululizo kwa Joshua tangu aliposhindwa kutamba mbele ya Bondia Oleksandr Usyk wa Ukraine na ameweka wazi kuwa anataka kurudi uliongoni dhidi yake pamoja na Tyson Fury.

=============

Former heavyweight champion Anthony Joshua stopped Francis Ngannou in the second round on Saturday, dominating his matchup with the ex-UFC heavyweight champ in Riyadh, Saudi Arabia.

Joshua floored Ngannou in the first round and again in the second with right hands at Kingdom Arena in Riyadh. He finished the fight with one punch immediately after the second 10-count, apparently knocking Ngannou out cold with an unblocked right hand.

The 37-year-old Ngannou eventually got up to his stool, but the mixed martial arts star was dazed and clearly hurt after his encounter with Joshua (28-3, 25 KOs) in only his second pro boxing match. Joshua and Ngannou embraced and talked afterward.

"I told him he shouldn't leave boxing," Joshua said. "He can do well. Remember, he's two fights in, and he's fought the best. He can go a long way if he stays dedicated, but it's up to him."
 
Dunia inahitaji kushuhidia Joshua vs Fury, hawa jamaa wakae mezani
Furry atachezea kichapo kwa moto wa Joshua wa sasa.
Ila Furry ameshasaini kucheza na yule mrusi aliyemchapa Joshua mala mbili. Usky.

Ilibidi wacheze Mwezi wa Pili Furry akaumia.
Hivyo wamesogeza Hadi Mwezi wa Tano.
 
Joshua kiboko yake ni kibonge mwepesi Andre Ruiz , jamaa ana minyama ila ana pumz , Joshua alipelekewa moto mpk akaomba pambano liishe tu.
 
Back
Top Bottom