Waarabu kuchukuwa fedha zetu za mafuta?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,911
Kama Waarabu wamepewa Bandari zote, ina maana bomba la mafuta kotoka Uganda linaloishia Tanga Port ambayo itakuwa chini ya Waarabu au mali ya Waarabu, fedha watachukuwa Waarabu?

Ina maana tutagawana na Waarabu faida ya mafuta? Ikumbukwe bomba la kutoka Uganda lita pump > 240 000 barrels kwa siku, hii ni zaidi ya mafuta wanayopump baadhi ya opec members, think abou it.

Hii ni vita Mwarabu, anabomb Somalia sababu ya Mafuta na Gesi.
 
Kama Waarabu wamepewa Bandari zote ina maana Bomba la mafuta ktk Uganda linaloishia Tanga Port ambayo itakuwa chini ya Waarabu au mali ya Waarabu fedha watachukuwa Waarabu? Ina maana tutagawana na Waarabu faida ya mafuta ? Ikumbukwe bomba la ktk Uganda lita pump > 240 000 barrels/ day hii ni zaidi ya mafuta wanayopump baadhi ya opec members, think abou it, hii ni Vita Mwarabu anabomb Somalia sababu ya Mafuta na Gesi …
Atakachofanya ni kuliteka soko,kwa kumwaga mafuta yake na kumhujumu mganda ili kusiwe na ushindani katika soko,kwani mganda akiuza sana mafuta yake mwisho yatarudia kwenye soko atakalokuwa ameliteka mwarabu.
 
Back
Top Bottom