Elections 2010 Waangalizi washinikiza kutangazwa Mnyika na Mdee

Kama ni kweli, basi naomba ruhusa hapa kazini ili nikalale maana raha niliyonayo na usingizi yahitaji kupumzika kutokana na kucheleweshwa kwa haki yetu. Yaani NEC through CCM wanafanya makusudi kuchelewesha matokeo kwenye majimbo yaliyoshinda CHADEMA au vyama vingine vya upinzani, hii ni hatari ya kuzua vurugu na maafa yasiyo ya lazima kwenye nchi yetu tulivu. Congrat's JJ Mnyika!

Sasa hivi kwa shinikizo kutoka kwa waangalizi ni kwamba Mnyika kashinda ubungo
na pia mdee kashinda Kawe



habari ndo hiyo
 
Babu wamevuliwa nguo hadharani kwahiyo wanaogopa


hahaha unamaanisha bailojia zimeonekana? haogopwi mtu hapo...bado kama dk 5 kieleweke rasmi

next tujue habari ya mpiganaji Tundu Lisu

Nasikia mkuu ODM kafunga valeur tangu juzi jumapili!
 
tunaitaji figure jameni siamini mtu hapa
na NEC kwa hali hii ya nchi-matokeo lazima watoe sababu zenye akili kwanini walichelewesha kutoa majibu??
maana tofauti za kura ni kubwa mnooooo

pili wanainchi wenzangu kura za Urais ndizo zinachakachuliwa kishenzy yani,
ss utashangaa eti JK kashinda hapo kwa 80%?
JK ana la kujibu nyie ngojeni its a matter of time
 
I'm freezing guy's !!! I can't wait anymore !!! where are the final result plzzzzzz !!!

People'sssssssssss Powerrrrrrrrrr !!!!!!
 
Jamani haya matokeo kuna yamekuwa -authenticated na nani?

Maan tusianze kushangilia kumbe tumeliwa!!!
 
Bila ya NEC kuwa huru na kuwa na watumishi wa kudumu wa kusimamia chaguzi za majimbo na kuacha kuwategemea ma-DED wa serikali za mitaa ambao CCM huwashinikiza kufanya watakavyo kilio hiki kitaendelea kwa muda mrefu mno ujao............
 
wamebeba junia la nazi ngata kifuuu wakunje miguu shuka fupi wakifanya Mchezo mmbu watawaluma watake hivyo hivyo wasitake hivyo la sivyo wanywe sumu ya panya waende kwa amani
 
Jamani tunataka uhakika!!! Sio tetesi au yasemwayo tuuuu....:nono:
 
Back
Top Bottom