Elections 2010 Waangalizi washinikiza kutangazwa Mnyika na Mdee

Jamani mbona hawamtangazi rasmi Mbunge wangu mheshimiwa Halima Mdee?:doh::doh::doh:
 
ndio tupo hapa Loyora tunashangilia ushindi wa Mnyika

kashinda kwa kishindo

Acha USWAHILI bana......kapata kura ngapi? yule wa CCM nae kapata ngapi?

Angalieni msishangilie sana na kuzubaa wakati CCM wanachakachua za Urais
 
Yaani mi sasa hivi siamini hata kidogo habari zisizo na source na Data...
 
:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:

Wamebana Wameachia na chupi imechanika!!!!
 
Jamani zimeidhinishwa na "mamlaka" husika...manake dogo wa Kibaha wamashamchakachua...
 
Sauti ya watu ni sauti ya Mungu! hatimaye Ubungo sasa tutaanza safari ya nchi ya ahadi bravo! pampja na hila zao za kupunguza kura kwa kuzuia wanafunzi hatimaye tumeweza! IF GO IS WITH US, WHO WILL BE AGAINST US?
 
Mkuu Pj hongera sana kwa kazi TAKATIFU jana hapo geneva ya africa......watu laki moja almost agaist polisi wangapi sijui? waliachia wenyewe!
Mkuu walikuwa zaidi sana ya KILO!...Nilikuwapo kati ya makundi ya hao watu, mi nakadiria watu laki3!
Kwakweli wasingemtangaza Lema, mngesikia calamity ya ajabu mno A-Town!...Labda nikwambie kwamba tayari kulikiwa na vidumu kibao vya petrolikwenye kila bodaboda, na sime za hatari!...BOT(Arusha Branch) ingekuwa ya kwanza kupigwa kiberiti, then oFISI YA RC, then manispaa, mount meru hosp, Central Police na taasisi zinGinezo zote za serikali!
Kwakweli serikali ya ccm ndiyo muanzishaji mkuu wa vurugu na UMWAGAJI DAMU!
 
That is great,cheer to all who real need CHANGE :smile-big: :smile-big: :smile-big: :smile-big:
 
Mkuu walikuwa zaidi sana ya KILO!...Nilikuwapo kati ya makundi ya hao watu, mi nakadiria watu laki3!
Kwakweli wasingemtangaza Lema, mngesikia calamity ya ajabu mno A-Town!...Labda nikwambie kwamba tayari kulikiwa na vidumu kibao vya petrolikwenye kila bodaboda, na sime za hatari!...BOT(Arusha Branch) ingekuwa ya kwanza kupigwa kiberiti, then oFISI YA RC, then manispaa, mount meru hosp, Central Police na taasisi zinGinezo zote za serikali!
Kwakweli serikali ya ccm ndiyo muanzishaji mkuu wa vurugu na UMWAGAJI DAMU!

PJ jana niliangalia kwenye TV ule umati wa watu pale arusha nikasema doh! doh! doh! kweli watu wamechoka na hawataki ujinga na mtu
 
Back
Top Bottom