Waangalia mpira bar wana kelele sana

Waangalia mpira bar wana kelele sana

Wanywa maji hao katikati ya Wanywaji pombe ndo huonyesha uwepo wao kwa kelele zisizo na msingi
 
Mpira ukiisha bar ina baki tupu

USSR
 
Usiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
Kwani unakuwa umelazimishwa kukaa hapo Bar..si ukae tu nyumbani uangalie na shemeji
 
Usiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
Kama vile umekaa karibu na kanisa la walokole!
 
Ningeomba Mods wanifanyie editing ya kichwa cha thread yangu kiwe "

"Waangalia mpira bar wana kelele sana kama vyura wa kwenye dimbwi la maji"​

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom