sasa hapa povu la nini wakat juu umeanza vizuri tuuuuuuu..jana katika kipindi cha maswali kwa ma rais wote yaani rais obama na mwenyeji wake rais kikwete, ulikua ni muda uliotufumbua macho wengi wetu na muda uo ulinakishiwa sana na waandishi wa kigeni kuliko wazawa waliokuamo ndani,ma swali mbali mbali yaliulizwa huku ya waandishi wazawa yakiwa ni mepesi kujibika sana tena short and clear answers kutoka kwa obama ingawa rais kikwete alikua akiyajibu kwa urefu na kwa ufasaha, kwa mtazamo wangu sikuona swali gumu sana kutoka kwa hawa waandishi wetu! Swali liliulizwa na mwaandishi wa BBC jina simkumbuki vizuri, aliuliza swali lilikua limeyabeba maswali yote aliuliza ivi"swali langu kwenu nyote! Ni nini faida ya ziara ya raisi obama kwa tanzania? Na tunaona ya kua kesho rais obama na aliekua rais wa marekani bush watakutana hapa ndani ya tanzania kuna nini wanataka wakiongee? Kuna siri gani kati yao? Na pia alimuuliza obama kuhusu uongozi wa raisi wa misri na umuhim wa mtu kama yeye kwenda huku, NB:mwandishi uyu alionesha ni namna gani kazi inatakiwa ichapike na si kushangaa au kuogopa viongozi, binafsi nakupongeza rais wangu j.kikwete kwa kua mchangamfu sana na kumfanya mwenyeji wako atabasamu kila wakati ulipokua unaongea, maana humu kuna wapumbav kazi yao ni kukosoa hata kama vingine ni vizuri! Eti wanakosoa lugha yako sasa sijui baba zao wangevishwa uhusika wangeweza au wao wanajua sana kuliko wewe?mbona sasa wao hawajawa marais?
Sasa wewe mbona ndiye unayeonekana kumkadia JK kwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa!jana katika kipindi cha maswali kwa ma rais wote yaani rais obama na mwenyeji wake rais kikwete, ulikua ni muda uliotufumbua macho wengi wetu na muda uo ulinakishiwa sana na waandishi wa kigeni kuliko wazawa waliokuamo ndani,ma swali mbali mbali yaliulizwa huku ya waandishi wazawa yakiwa ni mepesi kujibika sana tena short and clear answers kutoka kwa obama ingawa rais kikwete alikua akiyajibu kwa urefu na kwa ufasaha, kwa mtazamo wangu sikuona swali gumu sana kutoka kwa hawa waandishi wetu! Swali liliulizwa na mwaandishi wa BBC jina simkumbuki vizuri, aliuliza swali lilikua limeyabeba maswali yote aliuliza ivi"swali langu kwenu nyote! Ni nini faida ya ziara ya raisi obama kwa tanzania? Na tunaona ya kua kesho rais obama na aliekua rais wa marekani bush watakutana hapa ndani ya tanzania kuna nini wanataka wakiongee? Kuna siri gani kati yao? Na pia alimuuliza obama kuhusu uongozi wa raisi wa misri na umuhim wa mtu kama yeye kwenda huku, NB:mwandishi uyu alionesha ni namna gani kazi inatakiwa ichapike na si kushangaa au kuogopa viongozi, binafsi nakupongeza rais wangu j.kikwete kwa kua mchangamfu sana na kumfanya mwenyeji wako atabasamu kila wakati ulipokua unaongea, maana humu kuna wapumbav kazi yao ni kukosoa hata kama vingine ni vizuri! Eti wanakosoa lugha yako sasa sijui baba zao wangevishwa uhusika wangeweza au wao wanajua sana kuliko wewe?mbona sasa wao hawajawa marais?
Tatizo JK alikosa kujiamini 99% of the time. Isitoshe hakuna aliyemlazimisha kutumia Kiingereza ambacho hakifahamu kwa ufasaha. Matokeo yake alikuwa ana-scratch, scratch (kukwama) kama DVD za kichina.jana katika kipindi cha maswali kwa ma rais wote yaani rais obama na mwenyeji wake rais kikwete, ulikua ni muda uliotufumbua macho wengi wetu na muda uo ulinakishiwa sana na waandishi wa kigeni kuliko wazawa waliokuamo ndani,ma swali mbali mbali yaliulizwa huku ya waandishi wazawa yakiwa ni mepesi kujibika sana tena short and clear answers kutoka kwa obama ingawa rais kikwete alikua akiyajibu kwa urefu na kwa ufasaha, kwa mtazamo wangu sikuona swali gumu sana kutoka kwa hawa waandishi wetu! Swali liliulizwa na mwaandishi wa BBC jina simkumbuki vizuri, aliuliza swali lilikua limeyabeba maswali yote aliuliza ivi"swali langu kwenu nyote! Ni nini faida ya ziara ya raisi obama kwa tanzania? Na tunaona ya kua kesho rais obama na aliekua rais wa marekani bush watakutana hapa ndani ya tanzania kuna nini wanataka wakiongee? Kuna siri gani kati yao? Na pia alimuuliza obama kuhusu uongozi wa raisi wa misri na umuhim wa mtu kama yeye kwenda huku, NB:mwandishi uyu alionesha ni namna gani kazi inatakiwa ichapike na si kushangaa au kuogopa viongozi, binafsi nakupongeza rais wangu j.kikwete kwa kua mchangamfu sana na kumfanya mwenyeji wako atabasamu kila wakati ulipokua unaongea, maana humu kuna wapumbav kazi yao ni kukosoa hata kama vingine ni vizuri! Eti wanakosoa lugha yako sasa sijui baba zao wangevishwa uhusika wangeweza au wao wanajua sana kuliko wewe?mbona sasa wao hawajawa marais?
Kama unafikiri huyo mwenzetu wa Jambo leo aliyeuliza swali alichapia, basi Kikwete ndiye aliua kabisa. Tatizo la kulazimisha vitu msivyokuwa na uwezo navyo.Kwa aibu ya jana walioileta waandishi wetu wa habari juu ya maswali ya kitoto kabisa waliyomuuliza Rais wa Marekani Barrack Obama,ni wazi kua sasa imefika wakati wanataaluma hawa wajitafakari mara mbili,na waache kutumika ili hali wakijiweka uchi wa mnyama,kudharaulika na kupuuzwa kupita kiasi na jamii ya ndani ya nchi na hata jamii ya kimataifa!press conference ya jana imeonekana dunia nzima,alafu muandishi wa habari unapewa nafasi ambayo inawezekana ni moja katika maisha ya taaluma yako unaisaliti taaluma yako na kwenda kuuliza swali la kijinga kabisa!nilifurahishwa sana na waandishi wa habari wa nje jinsi walivyo uliza maswali critical,hata yule muandishi wa habari wa Congo kwa kweli aliuliza swali la msingi kabisa!sio clap questions kama waliyouliza hawa waandishi wetu walio andaliwa,kwa jana wamejidhihirisha wazi kuwa Watanzania wana haki ya kuwapuuza na kuwadharau hawa waandishi wa habari vilaza (ingawa si wote)!Kwa upande wa aibu kubwa tuliyoipata kutokana na uwezo mdogo na lugha mbovu toka kwa mjibu maswali wetu mpaka kumuacha Obama akiwa anacheka,ilo lilishajulikana mapema!kikubwa ni kua Watanzania tujijengee tamaduni ya kusoma vitabu,kwani usomaji wa vitabu utujengea ukuaji wa uelewa wetu na hata uwezo wa kuongea lugha nyingine pia!!yafuatayo ni moja ya maswali toka kwa muandishi wa Jambo leo,na moja ya majibu toka kwa Rais Kikwete: My name is Peter Ambilikile from Jambo Leo Newspaper.
My question is from both of you starting with the President Obama.
President Obama, are you satisfied with the aid that your country provide to Tanzania, especially the MCC.
Second question goes to President Kikwete. Do you believe that USA is doing enough to support our country Tanzania. That's all Thanks. Na moja ya majibu ya Rais Kikwete ni haya hapa: I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.
MCC has been great assistance from the United States government to the people of Tanzania.
There are three.... three... three sectors here. There is the road sector. And the good thing about the MCC is that we decide on the..... on the areas or sectors that we need assistance. But even we decide on where. For example in the case of roads. There are roads that we spo.... we talked to many donors, who were not ready to support us. But when... when you said there is going to be support on roads I said "Let's try these roads, let's see what the American are going to say." The American said fine, if you think you need these roads fine, we will give you the money.
Those fellow Tanzanians know Namtumbo-Songea-Mbinga, Tunduma-Sumbawanga, Tanga-Horohoro, the roads in Pemba. But we chose those roads because, these roads are actually in our bread basket area. This is where we get the corn: Ruvuma, Rukwa and Mbeya.
We decide.. we chose the US to assist us to increase water supply in Dar es Salaam. It is our decision. The project is now being implemented.
With electricity we said, one of our biggest problems is access to electricity for people in the rural areas. The US said fine. We have m m .. in grid 10 regions of Tanzania. Coverage of electricity has increased from 10% to 21%, is phenomenal increase.
So I want to underscore the fact that I am satisfied with the support from MCC.
Is US doing enough? The US has done a lot, but if I say they have done enough, then the President will not listen to my new requests... hahahahahaaaaaaaaaaaa
But so far so good.
Deaths from malaria have declined by over 50%, infant mortality rates have declined, HIV infections have declined. Through PMTCT (Prevention of Mother to Child Transmission) more children born by HIV infected mothers are born free of the disease. More people now...
The US has supported us now with over 2 million books. And today I asked the president we want another 2.4 million and he said we will ... to .... and I see from their face that they are in agreement with the president. So that when it comes to science and mathematics books, we will have every Tanzanian child .. have a book of his or her own, instead of the ratios that we are talking today 5 to 1 now reduced to 3 to 1. So the list is endless.
We have a lot of support, we are very appreciative, we are very thankful, it has really helped changing the lives of our people.
But if they can do more.... please. Hahahahaaa!
Kudadek nami ntakuwa natoroka shule kwa maana hata mukulu nae hakuwa anahudhuria mapind ya kinglish
Ambilikile ututwalile Isoni twe bhanyakyusa!
Hasa ukizingatia kuwa shetani mtoa kucha na meno bila ganzi anawapenda zaidi Wanyakyusa...Kwa kuwa Waandishi wetu huwa wanapigwa mabomu, wengine kutolewa kucha na macho...binafsi sikutegemea kama kutakuwa na mwandishi wa Kitanzania mwenye kuthubutu kuuliza maswali yenye kuleta udadisi au mashiko...
Hivyo wakuu tusiwalaumu sana Waandishi maana wale waliothubutu kuikosoa serikali hapa ndani, nadhani hatma yao mmeiona na sina haja ya kubainisha majina yao hapa
Jibu la Kikwete ni la kinyonge, la mtu ambaye ni mtegemezi na haoneshi kama ana efforts zake. Kuomba kuomba na kuomba. Maneno kama haya toka kwa Rais ni aibuHivi ndivyo mwandishi huyo alivyouliza swali. Nimerekodi maneno kama yalivyo bila kupunguza wala kuongeza kitu.My name is Peter Ambilikile from Jambo Leo Newspaper.
My question is from both of you starting with the President Obama.
President Obama, are you satisfied with the aid that your country provide to Tanzania, especially the MCC.
Second question goes to President Kikwete. Do you believe that USA is doing enough to support our country Tanzania.
That's all Thanks.
Pia ki inglish cha mkuu wetu ni cha kuonea aibu. MfanoIs US doing enough? The US has done a lot, but if I say they have done enough, then the President will not listen to my new requests... hahahahahaaaaaaaaaaaa
Sijui ni ku panic au vipi, lakini the issue of satisfied with MCC!!!! should have been asked me!!!! Aibu aibu aibu.I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.
Mkuu nimefuatilia kwenye video hiiJibu la Kikwete:
I... I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.