Waandishi wa Kitanzania kichekesho

Waandishi wa Kitanzania kichekesho

Mh! Ndo waandishi wetu hao! Media is full of politics! Real journalists are discouraged with the working environment and they quit and join as communication officers or PR practitioners. As such, there would never be serious journalism in Tanzania. Another weakness lies with training: Today if you get first class, you are asked to remain at the university as a tutorial assistant! So we have T/As and Lecturers who have never been to any newsroom! All they know is what is news? What are qualities of news? Ask them to write and ask questions that is when you would notice that probably Ambilikile's question is well constructed than those we could expect from T/As!
 
Mimi sikuangalia sana lugha kwani sio lugha yetu ila context. Yaani sisi tunaona kupata misaada ndio jambo la muhimu kabisa kwa taifa letu? Tunahitaji ushirikiano wa haki kwenye biashara, makampuni yalipe kodi stahiki na kurejeshwa kwa utajiri ulioporwa kutokana na ufisadi au madhara ya vita baridi.
 
Jana tulishuhudia waandishi wahabari wakiwa na wakati muafaka wa kuuliza maswali kwa marais Mh JK na Obama. Swali toka kwa mwandishi wa Tanzania, wengi wetu tumeliponda, swali toka kwa mwandishi wa nje kila mmoja amelisifia. Je wananchi tuna chuki binafsi na waandishi wetu? Je bado tuna dhana na kasumba za kibaguzi na kuthamini vya kutoka nje? Je Ikulu ilimuandaa mwandishi kutudhalilisha watanzania kwa kuuliza utumbo?
 
Katika siku nilizoona aibu kuangalia runinga ni Jana 01.07.2013. Tuna tatizo kubwa, raisi anachemka waandishi ndio usiseme. Jamani nini kinachowakwaza watu kujifunza na kufanya mazoezi ya kujibu maswali kabla ya tukio????aibu
 
Jana tulishuhudia waandishi wahabari wakiwa na wakati muafaka wa kuuliza maswali kwa marais Mh JK na Obama. Swali toka kwa mwandishi wa Tanzania, wengi wetu tumeliponda, swali toka kwa mwandishi wa nje kila mmoja amelisifia. Je wananchi tuna chuki binafsi na waandishi wetu? Je bado tuna dhana na kasumba za kibaguzi na kuthamini vya kutoka nje? Je Ikulu ilimuandaa mwandishi kutudhalilisha watanzania kwa kuuliza utumbo?
Kushabikia sisiemu ni wazi lazima uwe na upungufu wa akili...Waandishi wanaoshabikia serikali hii na ushetani wake hawana akili timamu ni punguani kama wapumbavu wengine tu hivyo sikutarajia swali la maana hata moja toka waandishi walioingia kwa kadi za Ccm na uvccm kisha wale makada ndio wakaambiwa waulize maswali yao kwa woooooooooooooooooooooooga tena kwa kubembeleza njaa zao
 
Kwakweli shame, mtu anaonyesha kapangwa kabisa.
Hii nchi hovyo hovyo kabisa.

Sasa mkuu mbavu zangu zinauma! Kama wanapangwa mbona lugha inashindikana tena? Rejea swali alilouliza huyo wa jambo leo!
 
Mimi sikuangalia sana lugha kwani sio lugha yetu ila context. Yaani sisi tunaona kupata misaada ndio jambo la muhimu kabisa kwa taifa letu? Tunahitaji ushirikiano wa haki kwenye biashara, makampuni yalipe kodi stahiki na kurejeshwa kwa utajiri ulioporwa kutokana na ufisadi au madhara ya vita baridi.

Mkuu salute! Hata lugha ikiwa gongana lakini hata kuelewa ni nini kama taifa tunatakiwa tusimamie inashindikana? Mtu anauliza swali la ''kudai misaada zaidi'' badala ya kuuliza swali la ''kujikomboa kuwa tegemezi''
 
Kwa nini asingeuliza kwa kiswahili kama wachina wanavyofanya kuliko kung'ang'ania kuongea lugha za watu matokeo yake haueleweki lakini kwa kuwa lilikuwa swali la kupangwa ndo maana kikwete alielewa
 
kwanza, hivi ni kwa nini wasiwe wanaongea Kiswahili halafu awepo mkalimani awatafsirie kwa kizungu chao hicho? mbona baadhi ya nchi wasioongea kiingereza wanafanya hivyo?shida ya wabongo kutaka misifa kumbe tunajidhalilisha tu na kuonekana mamburula!
 
hapa ni kweli_tatizo lipo......hata kama watatoa mapovu...mwandishi wa Jambo Leo_gazeti ambalo hata sijawahi kulishika_achia mbali kulisoma.
ndugu yangu hongera wewe hujawahi lishika hilo gazeti. Mwenzio niliwahi fungiwa vitumbua uswahilini nilipoona ni kipande cha gazeti la jambo leo nilitupa vitumbua vyote chini kwa hasira.
 
Jibu la Kikwete:

I... I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

MCC has been great assistance from the United States government to the people of Tanzania.

There are three.... three... three sectors here. There is the road sector. And the good thing about the MCC is that we decide on the..... on the areas or sectors that we need assistance. But even we decide on where. For example in the case of roads. There are roads that we spo.... we talked to many donors, who were not ready to support us. But when... when you said there is going to be support on roads I said "Let's try these roads, let's see what the American are going to say." The American said fine, if you think you need these roads fine, we will give you the money.

Those fellow Tanzanians know Namtumbo-Songea-Mbinga, Tunduma-Sumbawanga, Tanga-Horohoro, the roads in Pemba. But we chose those roads because, these roads are actually in our bread basket area. This is where we get the corn: Ruvuma, Rukwa and Mbeya.

We decide.. we chose the US to assist us to increase water supply in Dar es Salaam. It is our decision. The project is now being implemented.

With electricity we said, one of our biggest problems is access to electricity for people in the rural areas. The US said fine. We have m m .. in grid 10 regions of Tanzania. Coverage of electricity has increased from 10% to 21%, is phenomenal increase.

So I want to underscore the fact that I am satisfied with the support from MCC.

Is US doing enough? The US has done a lot, but if I say they have done enough, then the President will not listen to my new requests... hahahahahaaaaaaaaaaaa

But so far so good.

Deaths from malaria have declined by over 50%, infant mortality rates have declined, HIV infections have declined. Through PMTCT (Prevention of Mother to Child Transmission) more children born by HIV infected mothers are born free of the disease. More people now...

The US has supported us now with over 2 million books. And today I asked the president we want another 2.4 million and he said we will ... to .... and I see from their face that they are in agreement with the president. So that when it comes to science and mathematics books, we will have every Tanzanian child .. have a book of his or her own, instead of the ratios that we are talking today 5 to 1 now reduced to 3 to 1. So the list is endless.

We have a lot of support, we are very appreciative, we are very thankful, it has really helped changing the lives of our people.

But if they can do more.... please. Hahahahaaa!

Nina wasi[SUP]2[/SUP] hata na hizo safari anazofanya huko ughaibuni, pengine kila wanalomwambia huko anaitika ''YES'' . Na hatimaye anatusababishia mikataba ya ''kimangungo''. Hili ndiyo tatizo la ''nepotism'' katika nchi hii, wale wenyeuwezo hawapewi nafasi wanapewa Vilaza.Na hii ipo hata kwa wanasheria wengi wa serikali kama alivyosema AG.
 
ndugu yangu hongera wewe hujawahi lishika hilo gazeti. Mwenzio niliwahi fungiwa vitumbua uswahilini nilipoona ni kipande cha gazeti la jambo leo nilitupa vitumbua vyote chini kwa hasira.

indoor, Mkurugenzi wake ni Juma pinto bila shaka, kutokana na ukaribu wake na wakuu wa huko juu wakampa nafasi atuletee aibu Tz. Bora wangempa wanahabari wakongwe na wanaojiamini kama Kibwana Dachi au Kajubi hivi au hata wale wanaotangaza taarifa za kiingereza hapa Nchini.
 
Jamani mie mwenzenu wala sielewi alichouliza huyu bwana Ambilikile,kama vp mnisaidie kunijuza kwa Kiswahili.
 
ndugu yangu hongera wewe hujawahi lishika hilo gazeti. Mwenzio niliwahi fungiwa vitumbua uswahilini nilipoona ni kipande cha gazeti la jambo leo nilitupa vitumbua vyote chini kwa hasira.

Mkuu umenichekesha sana kwa kweli
 
Mkuu ni kweli,ilo jambo nalitarajia sana,ila hata wakinitukana haitasaidia,maana matusi hayatakua na ukweli kwangu,na wao ujumbe utakua umefika!unajua always matusi na kejeli ndio uwa silaha ya mtu mjinga na asiyekubali kukosolewa na kubadilika!so usiogope sana matusi mkuu,maana hayana athari kwa mtu anaejitambua[/QUOTE
]
Sidhani kuna atakaye thubutu kukutusi, kila kitu kipo bayana na wenyewe walishuhudia ulichofanya ni ku highlite tu.
mtu wa jamba leo kauliza swali ovyo na mkulu alivyokuwa anajipiga piga nalo kwenye vikuta mpaka jasho la uso lilitutoka kwa aibu!
tuliomba amalize haraka ila kweli nimegundua watanzania tu wazalendo ,maana jana wote hatukumuona tena kama rais wa magamba,tulijihisi kuabishwa na rais wetu bila kujali itikadi zetu.
 
siku zote mjinga huwa anacheka mara mbili
 
Back
Top Bottom